24/12/2023
Watu wa Chelsea mnafaa kumlaumu Jackson na yeye ndiye amefanya tupigwe leo.
Lakini Crystal Palace.watafanyiwaje
Lakini Kocha wa Chelsea amesema kuwa atamwanzisha Christopher.Labda kutokea mchezo utakao fuata Chelsea watakuwa na mchezo utakao kuwa wa kupendeza
This version of Facebook uses less data and works in all network conditions.