QUIZ Radio

QUIZ Radio ๐ŸŽ™๏ธ๐ŸŽคYOUR BEAT, YOUR MUSIC๐Ÿ“ป๐ŸŽง๐Ÿ•บ๐Ÿ’ƒ

Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili..Betty Bayo amefariki dunia akipokea matibabu katika hospitali ya Kenyatta Betty Ba...
10/11/2025

Mwimbaji maarufu wa nyimbo za injili..Betty Bayo amefariki dunia akipokea matibabu katika hospitali ya Kenyatta
Betty Bayo amekuwa akiugua saratani ya damu ....(Lukemia )

Leo magazetini
10/11/2025

Leo magazetini

Yaliyomo Leo magazetin
24/10/2025

Yaliyomo Leo magazetin

Kiongozi wa ODM Raila Odinga aaga dunia. Habari za kifo chake zimethibitishwa asubuhi ya leo. Maisha ya Raila kisiasa ya...
15/10/2025

Kiongozi wa ODM Raila Odinga aaga dunia.

Habari za kifo chake zimethibitishwa asubuhi ya leo.

Maisha ya Raila kisiasa yanachukua zaidi ya miongo minne, kwani ni mhusika mkuu katika vita vya Kenya vya demokrasia ya vyama vingi na aliwekwa kizuizini mara kadhaa wakati wa utawala wa Rais Moi.

Baada ya demokrasia kurejeshwa, alikuwa mbunge wa Langโ€™ata mwaka wa 1992 na tangu wakati huo amekuwa kitovu cha siasa za Kenya.

Raila amewahi kuwa Waziri wa Nishati, baadaye wa Barabara na Makaazi na alikuwa Waziri Mkuu wa Kenya katika serikali ya mseto ya mwaka 2008 na Rais Mwai Kibaki.

Amewania urais mara tano - mwaka wa 1997, 2007, 2013, 2017 na 2022 - akibaki mmoja wa viongozi wa upinzani wenye ushawishi mkubwa na mtetezi wa mageuzi nchini Kenya.

Mola ailaze roho yake pema panapofaa ๐Ÿ•Š๏ธ๐Ÿ•Š๏ธ๐Ÿ•Š๏ธ๐Ÿ•Š๏ธ๐Ÿ™๐Ÿ™

Magazetini Leo Asuunbui
07/10/2025

Magazetini Leo Asuunbui

Leo Magazetini
03/10/2025

Leo Magazetini

Good morning Leo Magazetini
01/10/2025

Good morning Leo Magazetini

Miongoni ya liomo Magazetini Leo
29/09/2025

Miongoni ya liomo Magazetini Leo

27/09/2025
Rais mstaafu Uhuru Kenyatta amewarai wafuasi na wanachama wa Chama cha Jubilee kuwa na fikra pana katika kuwachagua vion...
26/09/2025

Rais mstaafu Uhuru Kenyatta amewarai wafuasi na wanachama wa Chama cha Jubilee kuwa na fikra pana katika kuwachagua viongozi walio na maono ya maendeleo ili kufanikisha ajenda ya wananchi.

Magazetini Leo
25/09/2025

Magazetini Leo

Address

Kitale Town
Kitale
30200

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when QUIZ Radio posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share