Felix Mwendwa

Felix Mwendwa The faces of young people are the faces of our past,our present and our future. Somewhere in future.

21/05/2026

Jumapili ii tarehe 24 mwezi wa tsano 2026, karibuni Mnagoni,Bamba.

Kwa historia,Raisi wehu William Ruto andafika Bamba,Mnagoni. ゚viralシ

18/05/2026

“Fikirini wewe ni bingwa, kiti ya ubunge nimesalimu amri nitakuachia,”

Mhe. Tungule

゚viralシ ゚

17/05/2026

Ufisadi unarudisha nyuma jamii na kunyima wananchi huduma muhimu zinazostahili.

16/05/2026

K**a jamii, tutasimama kidete kuhakikisha wale waliohusika kula pesa za ndovu kuachiliwa Bamba wanachukuliwa hatua za kisheria.
゚viralシ ゚

Huu ndio uwezeshaji wa kweli kwa content creators wa Ganze — siyo ahadi tu, bali ni kuunda fursa, kujenga chapa, na kufu...
11/05/2026

Huu ndio uwezeshaji wa kweli kwa content creators wa Ganze — siyo ahadi tu, bali ni kuunda fursa, kujenga chapa, na kufungua nafasi kwa vijana wabunifu kustawi.

Sio kuwaita nyumbani na kuwapa pesa ndogo ndogo za kuwazima akili, bali ni kuwajenga ili wawe na uwezo wa kujitegemea na kufanikiwa kwa muda mrefu.

Huyu ni Balozi wa Bamba alias Karisa kutoka Bamba, mmoja wa vijana wabunifu wa maudhui walioalikwa binafsi na PS kushiriki Mkutano wa Vijana wa Afrika uliohudhuriwa na zaidi ya Wakuu wa Nchi 30.

09/05/2026

Tumuombee Fikirini Jacobs ndiye mkombozi wetu katika siku zijazo.

Kijana mkakamavu mwenye maono ataikomboa Kilifi yetu kupitia utendaji kazi, uongozi bora na kujali wananchi.

Tukimkuza na kumpa nafasi, huenda akawa Rais wa kwanza wa Kenya kutoka Kilifi. ゚viralシ ゚

08/05/2026

Katika Wadi ya Sokoke, Eneo Bunge la Ganze, leo Katibu wa Vijana na Uchumi Bunifu Fikirini Jacobs amepokelewa kwa upendo mkubwa na wananchi.

Aliandamana na mgombeaji wa kiti cha udiwani wa Sokoke ambaye pia ni Mwenyekiti wa chama cha ODM katika Eneo Bunge la Ganze, mhe. George Fondo, ambaye alitangaza rasmi kuwa Fikirini Jacobs atagombea kiti cha ubunge cha Ganze mnamo mwaka 2027.

07/05/2026

Mzee Ngala legend! ゚

03/05/2026

Mudzini

01/05/2026

Bamba

29/04/2026

Sawa fusikira asena,huku mwendo ni wa kuchambwa sio😂😂😂

Address

Machakos Mwala
Machakos

Telephone

+254718459741

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Felix Mwendwa posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Felix Mwendwa:

Share