Kipngetich web design

Kipngetich web design Designing business websites you may want

02/12/2024

My guys 💗📌
It has been long

06/01/2024

Habari zenyu,,, habari zenyu ,, habari zenyu tena

12/05/2023

Reputation ya jaba (2)

Venye boss alinipea 1k ya maziwa niliamua niende nikae kwa gari nitegee😊😔😔kukaa ka 20 minutes nikaona simu ya boss akaniita tena🙄🙄kufika ndio akaniambia nitabaki kwa office juu ilikua atoke na secretary ameenda pia😔😔🕺sema kunice juu boss hajajam🙄🕺kuskia hivo nikarudi kwa lorry teke na nikachukua jaba nilikua nimebakisha😂kurudi nikaamua nitulie hapo kwa desk ya secretary ni chane tu polepole 😏😏nikiwa tu medi zangu ndio nikanotice Kuna kampyuta🤦🤦ndio nikakumbuka nilikua ni print kra pin yangu🙋nikaamua niwashe mashine ni print😁Sasa shida ilikua kuwasha😂😂yaani nilifinya button zote 300 na haikuwaka😂nikajaribu nizime stima kwa main switch niwashe tena 😂😂 venye ilikataa kabisa nikaamua nisukume tu jaba🫂kuteremsha macho kidogo nikaona woofer 😁nikaamua niweke ngoma atleast jaba ishike😂kuweka flash hivi kuwasha ngoma computer ikawaka😂😂sema kutense wakuu.kufinya tena ikazima computer na ngoma haiimbi😁😁nikaamua mambo ya IT niachie kabarak😂😂Kisha nikaona printer...hii haiwezi nihanda naijua😁😁ndio nikaona nikiweza photocopy Ile Thao mara kumi ikiwa coloured😁na malizana na traffic kwa barabara juu nikwasalimia hawaangaliagi😁😂😂😂kutoa kumi za kwanza nikazieka kwa wallet nikafunga story...kukaa dakika tatu zingine zikatoka😁yaani within 30 min nilikua na 100 k😂😂na nikizima haizimiki😁😁kugeuka hivi nyuma nikaona kivuri ya boss kwa mlango😭ilibidi nimemeza jaba kwanza. ......

Part 2 loading (300 likes)

27/07/2022

Akikuyu man was walking from work akiwa msoto😔😔 akaanza kujiongelesha aty
""Sahii mungu ukifanya niokote 100bob 🤷10bob n yako ya sadaka
Nkiokota 200bob 20bob n yako
Nkiokota 500bob 50bob n yako
Nkiokota 1000 bob 100bob ni yako ya sadaka
While talking dat way akaona wallet kwa road akainama kuiokota
Akapata Iko n 900 bob
Akacheka kisha akasema ""aky ww sagody uko mjanja yany umetoa 100 bob yako tayari😹😹😹

Please follow for more ✌️🥰

06/06/2022

Everything in life that matters requires risk. web

17/05/2022

✌️💪🙏

13/05/2022

What is your opinion to kipngetich web design.kindly share you request 🙏🙏

C++
22/02/2022

C++

29/01/2022

Welcome to my website

Address

P. O. Box 94 Amalo
Mau Narok
6259

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kipngetich web design posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kipngetich web design:

Share

Category