ikigai life change

ikigai life change Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from ikigai life change, Internet Marketing Service, kandone, Mombasa.

05/01/2026

Iko Na Maji Na Sio Kisima๐Ÿ’ฆ, Ni Tamu Na Sio Asali ๐Ÿฅฐ,inafichwa Na Sio Bangi๐Ÿคฃ Niko Kati Kati Na Sio Njia ๐Ÿคฃ
je Mimi Ni Nani ๐Ÿคฃ๐Ÿฅฐ

30/12/2025
30/12/2025

๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ˜Š









Chochote unachokizingatia katika maisha yako ni lazima kitanuke na kukua. Haijalishi kitu hicho ni kizuri au kibaya, uki...
29/12/2025

Chochote unachokizingatia katika maisha yako ni lazima kitanuke na kukua. Haijalishi kitu hicho ni kizuri au kibaya, ukikizingatia, utakipata.

K**a unazingatia matatizo na akili yako kila muda ikawa hapo kwenye kuwaza matatizo, lazima ukae ukajua matatizo hayo yatakua makubwa siku hadi siku.

K**a unazingatia hofu, elewa hofu hizo zitakua na kuwa kubwa mpaka kushindwa kufanya kitu, maana hicho ndicho unachokizingatia.

Mawazo yetu yana nguvu sana. Kwa chochote kile unachokizingatia mawazo yetu yana uwezo wa kutupa kitu hicho kwa uhakika na asilimia zote.
๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ˜Š ๐Ÿ’ก
๐Ÿ˜Š follow me ikigai life change and God bless

Kila wakati kataa kuwa na mawazo, ya kufikiria mambo ambayo huna, k**a vile pesa, nyumba, au gari. K**a unafikiria sana ...
29/12/2025

Kila wakati kataa kuwa na mawazo, ya kufikiria mambo ambayo huna, k**a vile pesa, nyumba, au gari. K**a unafikiria sana vitu ambavyo huna unajiumiza tu bure.

Unatakiwa ufikiri vipi sasa, badala yake, fikiria yale mambo yale ambayo unayataka uyapate maishani mwako. K**a ni pesa, nyumba au gari, waza utapataje na sio kujilaumu kwa nini huna.

K**a unakazana kufikiria mambo ambayo huyataki au huna na unajilaumu kwa nini huna, nakwambia hayo mambo utayapata tu hata k**a huyataki, kwa sababu unayafikiria.

Shukuru kwa mazuri na vile vitu ulivyonavyo, na kisha weka nguvu zako kufikiri juu ya mambo ambayo unayataka yatokee kwenye maisha yako si kifikiria fikiria mambo ambayo huna.
๐Ÿ˜Š

K**a unawasaidia watu na unafanya mabadiliko makubwa sana, kwenye maisha ya watu hao, basi hata wewe utaona matokeo ya m...
29/12/2025

K**a unawasaidia watu na unafanya mabadiliko makubwa sana, kwenye maisha ya watu hao, basi hata wewe utaona matokeo ya mabadiliko makubwa pia kwenye maisha yako binafsi.

Maisha jinsi yalivyo, sio yapo kwa ajili ya sisi kupokea tu. Maisha yanaleta maana sana k**a unabadili maisha ya watu wengine pia kwa kuwapa vitu au mawazo ya kuwasaidia.

Fanya kila jitihada ya wewe kuwa na mchango kwenye maisha watu, ikiwa pamoja na kuwasaidia shida zao na kuwapa furaha ya kweli, nao watu hao watakupa kile unachokita.

Narudia wasaidie watu wengi kwa jinsi unavyoweza, tatua changamoto zao kwa kadri uwezo wako unavyoruhusu, na hao watu nao watakusaidia kufanikiwa kwako.
๐Ÿ˜Š

28/12/2025

Usizime data bila kujibu hii post
PRAISE GOD Facebook Marketplace Assistant

Hata mashabiki wanaweza wakawa marafiki wa Kweli na wakanena kwa Upendo ๐Ÿ’—.... .Wakilisha bendera ya nchi yako nikutambue...
28/12/2025

Hata mashabiki wanaweza wakawa marafiki wa Kweli na wakanena kwa Upendo ๐Ÿ’—.... .Wakilisha bendera ya nchi yako nikutambue ๐Ÿ‡ฐ๐Ÿ‡ช๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡จ๐Ÿ‡ฉ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ฌ๐Ÿ‡ง๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ท๐Ÿ‡ผ๐Ÿ‡ฟ๐Ÿ‡ฆ๐Ÿ‡ฒ๐Ÿ‡ผ๐Ÿ‡บ๐Ÿ‡ธ

28/12/2025

MUNGU ni mkubwa siku zote ๐Ÿ”ฅ Amen

"Kufanikisha Malengo Yako" ni mchakato muhimu sana katika maisha yetu. Tunafahamu kwamba binadamu tuna tabia ya kutafuta...
28/12/2025

"Kufanikisha Malengo Yako" ni mchakato muhimu sana katika maisha yetu. Tunafahamu kwamba binadamu tuna tabia ya kutafuta malengo, lakini changamoto ni kujua malengo yetu ni yapi.

Zamani, malengo yetu yalikuwa wazi: kupata makazi, kuepuka hatari, kupata chakula, na kunywa maji. Lakini leo, tuna malengo mengi yanayopishana na wakati mwingine hatujui ni lipi la kutanguliza.

Uchunguzi wa Harvard MBA unaonyesha kwamba 3% ya wahitimu walipata pesa mara 10 zaidi ya 97% wengine. Kwa nini? Ni kwa sababu walikuwa na malengo wazi, waliliandika, na walikuwa na mpango wa kuyafikia.

Ili kufanikisha malengo yetu, tunahitaji:

- Kujua malengo yetu ni yapi
- Kuyandika na kuweka mpango wa kuyafikia
- Kuchukua hatua za kuelekea malengo yetu.

28/12/2025

Promote your page here let's follow Itz Tallie

Address

Kandone
Mombasa
MUTUATI

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ikigai life change posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share