03/09/2022
DREAM Girl 💔
PART 10😭
The following day Tukaamkia habari za Kusisitiza na , My heart was in pain, My Heart was bleeding ,My eye's turned into a water fall ,my Head was Empty Hadi nilikuwa na sikia Echo nikimeza Mate.
Ilikuwa K**a Ndoto ,Nikawish my dream girl angekuwa tu wa Ndoto na nilikuwa naota.
Nikaanza Hadi kutetemeka Nik**a mwenye Niko ndari ya fridge na Nimenyang'anywa Jiko.Hiyi time ungeniambia nikutilee piece Singeweza coz my head was empty buy full of Stress.Siku Njema huonekana asubuhi but hapa nik**a Njema ilikuwa silent.
The birds were singing but I don't think k**a ilikuwa wimbo za furaha coz ata sikuelewa Nyimbo zao.
A sad day it was😞,
Milly alikitia Kitanzi na si ATI kamba alitumia ilikatika....
Aliwacha K**a ameandika Barua
(spoken word)
"is it that I sikuwa nakuhug tight ama sikuwangi tight ndio maana uliamua kuniloose na Kuniuliza,
Ama uliskia my heart is made of steel ,
You stole my heart but still uliamua kunihurt.
I gave you everything na K**a haukuona nimekupea enough then I'm very sorry coz I have nothing and that was my all.
Nilikuwa na Dreams za kuwa nawe in future but hiyo ilikuwa Ndoto tu kumbe kwangu.
Nimeamua kujilaza na kujiweka kwa ndoto ya milele ndio Niwe na wewe forever in my dreams.
Heart yangu inalia damu.
Ulisema hautawai niwacha na nimeamua kufull fill your promise juu nimechoose kukuwacha first.
I'm sorry coz this is a stupid decision ."
😭😭
Till we Meet .Hii siku ilikuwa siku ya Kilio.Maisha nayo hapa ukaamua kuchukuwa mkondo Mwingine.
DREAM 🧎🏾♂️
DREAM Girl part 11 tupatane kesho