01/09/2023
πππππππ: πππππ ππ’ππ’π³ππ§ ππ― Monday πππ ππππ
Follow Mayah 01 tv
ππππ π
Becky wanakunwya chai kwa mandazi na Jeff anasema hizi mandazi ni tamu sana ju zimepikwa kwa kutumia unga wa (sitaki kumarket watu). Jeff kashakula mandazi sita kanaitisha zingine hadi mamake akamwambia oya,huku ni Nairobi bna,unakula kidogo bora itengeneza mnyambo basi uko sawaπππJeff kanakula k**a uncle ya Nandwa.Mamake alimwambia kula kidogo,kisha zingine utakula baadaye. Kisha Jeff kakaomba uncle Toto simu kacheze game kiasi na kisha hakoo kakaenda kucheza game.
Tito akapata nafasi ya kuuliza Becky mbona uliacha job ama walikuudhi? Becky akamwambai apana,ni venye hawakua wananipea pesa mzuri nikaona tu haina haja. Tito akamwambia haina noma,kuna msee namjua naeza ongea na yeye ama ukuje hapo base tufanye kazi na wewe? Lakini Moh aliingilia,akasema zii, Becky huwezi acha kazi bna kwa mansion,mbona uache kazi ju Jeff? Becky alimwambia mimi siachi kazi ju ya Jeff alah. Tito alimtetea akamwambia Becky anasema ukweli na kazi ingine atapata tu.
Huku kwa madam Boss,bado amemngoja Junior,lakini Junior alikuja akamwambia mum,aki sitaeza kukupeleka,acha Sally akudrop. Sally hakukataa,but sasa inabidi aende aoge kwanza ndio akuje plus kwa Sally ni fiti ju ashawai drop Becky hiyo place even though hakumbuki fiti but atasikiza tu harusi basi ajue ni hukoππ
Jeff kako huku kanacheza kwa simu na Sanchez akakuja akamwambia Jeff,unaonaje twende tucheza foota? Jeff akamwambia alikatazwa asiwai toka kwa gate,but SAnchez akamwambia wee ni mtu mkubwa,hepaππTito na Sanchez hao walitoka wakaenda zao na wakiwa kwa baro,Tito akaambia Sanchez,itabid afuatilie hao wasee ju Becky ameacha kazi a inabidi sasa hao wasee awasunde na wife yake wafanye kitu.
Kwa Madam,wakato Trisha anatoka,Madam alimwambia oya,make breakfast yako na ya bwanako sawa? Trisha akashtuka,akauliza na kwani maid mgeni amekuja? Madam hakumjibu akatoka,lakini Trisha akiimagine kuenda jikoni,alifake illiness akasema hata haezi simama anashikwa na kizunguzungu hadi ikabidi ni Junior ameenda kupika chai,kwanza akaitisha daniaππ
Shan na yeye,alikuja kwa Becky mapema sana ati waende kudai haki yao kwa kina Junior,but Moh alimwambia deal iliungua,Becky ameacha kazi huko. Shan alishindwa sana mbona Becky ameacha kazi lakini Becky alimwambia decision ni yangu na ni final. Moh akamwambia sikiza hata si lazima uoe Junior,cha muhimu ni pesa tu,lakini Becky akawauliza,kati yenu nyi wawili nani ako na mtoto? Hakuna sindio,so mnataka kutumia mtoto wangu kwa manufaa yenu sindio? Muende mtafute kazi alah.ππwaone macho hizi.
ππππ π
Becky aliondoka kuenda kutafuta kazi na akakuja akaamboa Jeff,asitoke aende kutembea tembea,awe indoors,lakini wakiwa tu hapo,nyuma yao, Sally na mamake. Jeff kumuona Martha akamkimbilia akisema mama Junior amefika. Martha aliuliza Becky k**a ako sawa. Becky alimwambia yeye ako sawa na akawauliza wako huku kufanya nini? Sally akamuuliza ama Trisha alimkosea but ,Moh na Shan walikuja,Moh akaambia Martha sikiza, Becky hakuacha kazi kwa ubaya,ni venye yafaa awe na kazi yenye anaenda na arudi mapema kuona mtoto. Martha alisema haina noma,k**a ni hivyo,then we can change the terms of your contract,as simole as that. Becky aliosa otherwise lakini hakutaka but sasa atadu....arudi kazi sasa.
Haa! Huku kwa kina Junior, walisikia gari imefika,Trisha akasema lazima Becky aliwafukuza ndio wamerudi mapema hivi lakini Junior akamwambia maybe Becky alikubali kurudi thats why hawajakawia and true to their word, Sally,Jeff,Martha na Becky wakafikaπππTrisha aliumwa,lakini the only thing anaeza ni kumeza wembe.
Trisha na yeye akajifanya mzuri,akauliza Jeff,kwani huwezi nisalimia ama ushanisahau? Jef akamwambia zii,siezi kusahau,nakukumbuka sana,si wewe ndio ulikua unachokora kibet ya mumπ€£π€£π€£π€£ Trisa akajifunza kunyamaza na sasa Becky, Junior,Martha wakajua Trisha amekua kwa kibet ya Becky. Trisha ilibidi adanganye,akasema zii,nilikua natengeneza vitu zilikau zimeanguka.
Junior na Jeff washaanza kuingiana hadi waliitana wakatoka nje kuenda kucheza football Trisha akaachwa hapo akishindwa aanzie wapi ama afanye nini,na asisahau mambo ni matatu, abaki hivyo,aende ama asikie vibaya na hukooπ€£π€£π€£
Becky na yeye kufika jikono,wah,jikoni imechafuliwa,mbaya mbovu. Trisha alimfuata jikoni na Becky akamuuliza unatakaje? Trisha akamwambia nilidhani sitakia naona hii ugky face tena,ni nini unataka huku Becky? Becky akacheka,akamwambia sikiza, ushawai na birika ikiita pot black? Ni wewe sasa kuniita mimi ugly na hujajiangalia k**a umenawa uso umetroa hizi make upsπ€£π€£π€£Trisha aliumwa an akamwambia I promise you Becky,you will regret coming back to this house.
Trisha after hapo alikuja huku nje kwenye Juniotr na Jeff wanachezea,akachukua ball akarusha hukoo mbali. Junior akamuuliza Trisha shida ni nini? Trisha akamuuliza kwani huna kazi ya kufanya? Mimi huku nakusburi wewe uko hapa unacheza na vitoto. Junior alimuuliza kichwa yako iko sawa? Trisha akamwambia Iam not ok,tushaoana,yafaa ukae na wife si kucheza na watoto wa wenyewe hapa. Trisha ako an wivu ingine,k**a ya caretaler akiona uko an wife supu kuliko bibi yakeπππππwah! Hii nimechoma.
Sally,alikuja kumeet na beshte yake huku nje,kuna file ya mamake alikua ameitisha na ashaletewa. Hii file iko na kila kitu chenye Sally anataka kujua, She has officially started DCI on her mum,
Tito na yeye alikuja akaambia Sanchez kuna kitu Becky anajua na anacheza chini,kwanza acha nimpigie kwanza anioe direction. Tito akaamua kumpigia Becky ampe direction ya kuenda kwa kina Junior lakini chenye Tito hajui ni Becky ashaenda kazini already na amerudi kuko huko na akuambia Tito amerudi hukoπ€£π€£π€£
Kwa wambea wetu,Shan na Moh. Moh aliuliza Shan,huu Becky alipataje hii kazi kwa mababi hivyo? Shan akamwambia ni madhe fulani alikua anafanya huko akaconnect wakajuana. Kisha Moh akaambia Shan sikiza, ju Becky ameamua kufanya hivi, tumchezee ile mbaya,mimi niende niambie Junior ukweli,mako...makosa,kwa nini? Kwa sababu wakati Moh anaroboka hivyo,nyuma yake,Tito na ashasikia kila kitu. Kimeumana sasa...