ART ICON CHEGE

ART ICON CHEGE AM AN ACTOR,WRITER,DIRECTOR,CONTENT PRODUCER,POET,MIMICRY,MC,MUSICIAN, ALUMNI AT LEGACY ARTS PRODUCTION AND A COMEDIAN.

🤣🤣🤣 wanaume Soma hizi traffic rules. 😁 Zitakuokolea maisha siku Moja🤗1)ukiwa Kwa jam Hakikisha umelock mlango 😁 sana san...
14/04/2026

🤣🤣🤣 wanaume Soma hizi traffic rules. 😁 Zitakuokolea maisha siku Moja🤗
1)ukiwa Kwa jam Hakikisha umelock mlango 😁 sana sana k**a gari ni ya kuomba, unaeza patana na mwenye gari aingie ndani😢ama hata mwizi.

2)k**a gari ni ya kuiba, usipite nayo area ya kwenyu🙆utashikwa nanii

3)k**a gari ni mpya, eka gear pole pole usije ukaharibu gearbox😌

4)k**a kuna traffic light ya red 🚨 usiingie hiyo barabara..utapata accident 😊

5) usiendeshe gari usiku,😌 afadhali mchana ndo uone mahali unapita😊

6) usiendeshe gari kukiwa kunanyesha😁 ni hatari. Achana nayo, 😂 ichukue siku climate Iko best,🤣

7) gari ikipandisha gauge, I park kando kiasi ipumue. Juu inaeza knock engine.☝️😜

8) gari si kuzungusha stearing pekee na kueka GIA😁gari ni kuichambua kila pahali😊

9) usiendeshe gari k**a hakuna Ngoma😜eka mix ya Dj moja ujibambe.

10) ukitaka gari ikimbie sana sana Kwa mteremko, kanyaga clutch ndani🤣

11) ukiona gari haitoi sauti Kwa mlima, Anza kutoa sauti hata wewe🤣

12) Kwa highway, zoea kupita kando kando...katikati ni ya gari kubwa☝️😁

13) ukisimamishwa na karao, usisimame, fikisha mzigo kwanza😂

14) ukimaliza Hakikisha umedunga hiyo gari mia Tano ya mafuta..isiende kuzimia mbele.
ART ICON CHEGE.
15) ........ongeza yako Moja tuiskie🤣
Na k**a unadhani naongelea gari uko nayo ama uko na kasoro my dear🤣🤣😆.Na usisahau kunifollow ....🤠

Anakuanga shy akiwaomba pesa,Ni mchafu kila time sijui vile mnamubeba.Hajaikosa mtoto kwa mgongo miaka nenda,Anapolala, ...
04/04/2026

Anakuanga shy akiwaomba pesa,
Ni mchafu kila time sijui vile mnamubeba.
Hajaikosa mtoto kwa mgongo miaka nenda,
Anapolala, labda ulie ukiomboleza.

Hananga wazazi acha Leo niiweke wazi.
Japo anapumua ni tukio la kukosa nafasi ya kazi.
Kwa masomo alipita kukuliko familia akiieka mbele ya mavazi.
Watoto ni baraka ila kwake hunyesha kila mwaka juu ya kutumikiwa akilisha walio wazi.
Kila asubuhi huomba akitokea mtaa na sharti amuhurumie apande ngazi🤔.
Bali jukumu la mzazi lishamsukuma hadi machozi ikibaki kwake huyavuta na k**asi.😭😭

Najua munamjua juu si kuku mgeni mjini hapo karibu na basi. 🥲

Siwezi pita bila kusema ukweli kuwa huyo ni dada yangu wa TOKA NITOKE na sina wasi wasi.Subira huvuta heri,yeye huvuta bangi..TO BE CONTINUED😭😭😭😭😭

The last option from zero is one.Never give up when at down..😎
30/03/2026

The last option from zero is one.Never give up when at down..😎

Address

Kiambu
Nairobi
00100

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when ART ICON CHEGE posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share