Dazen Online Store

Dazen Online Store Ukurasa wa kuuza na kununua bidhaa/huduma mtandaoni. Pia tunatangaza bidhaa/hudumayako ili kuongeza mauzo katika biashara yako. Verified

04/01/2022
14/05/2021

SMART ANDROID TV
Badilisha muonekano wa ndani kwako bila jasho wala stress..
Waache midomo wazi majirani zako kwa kuchukua mzigo uHD kutoka Dazen kwa bei ya kiMuungano zaidi.
Hapa unapata mwanga usioumiza macho, sauti isiyokoroma, mororo k**a ya na matumizi madogo ya umeme..
Size 32 & 40 zimebaki chache, Chagua kupata au kukosa!

Pazia nzito, original quality zinapatikana sasa kwa bei nafuu sana!!  Wahi sasa kabla offa hii haijakupita!!
03/01/2021

Pazia nzito, original quality zinapatikana sasa kwa bei nafuu sana!! Wahi sasa kabla offa hii haijakupita!!

Pata shuka kubwa za mtumba, 100% cotton kwa bei poa kabisa. Ubora uliothibitika... Chukua yako leo zimebaki chache.
14/11/2020

Pata shuka kubwa za mtumba, 100% cotton kwa bei poa kabisa. Ubora uliothibitika... Chukua yako leo zimebaki chache.

Badilisha muonekano wa nyumba yako kwa mazulia bora na yakuvutia tuliyonayo kwa ajili yako.Yanapatikana kila size kuling...
15/06/2020

Badilisha muonekano wa nyumba yako kwa mazulia bora na yakuvutia tuliyonayo kwa ajili yako.
Yanapatikana kila size kulingana na hitaji lako.
Bei zetu ni nafuu sana kiasi cha kukushangaza wewe mteja wetu. tuwasiliane kwa simu namba 0758248155.Tupo Moshi Mjini.

Badilisha muonekano wa nyumba yako kwa mazulia bora na yakuvutia tuliyonayo kwa ajili yako.Yanapatikana kila size kuling...
13/06/2020

Badilisha muonekano wa nyumba yako kwa mazulia bora na yakuvutia tuliyonayo kwa ajili yako.
Yanapatikana kila size kulingana na hitaji lako.
Bei zetu ni nafuu sana kiasi cha kukushangaza wewe mteja wetu. tuwasiliane kwa simu namba 0758248155.Tupo Moshi Mjini. 🇹🇿

Portable hand sanitizer.. Unapata zenye harufu tofauti tofauti kuanzia strawberry, vanilla na coconut. Karibu sana
18/05/2020

Portable hand sanitizer.. Unapata zenye harufu tofauti tofauti kuanzia strawberry, vanilla na coconut. Karibu sana

Mask ya Kitambaa | Kitambaa cha pamba |Homemade  Mask| Bei elekezi 1,500 PP. 100% Pamba Halisi.Mikanda ya polyster inayo...
30/04/2020

Mask ya Kitambaa | Kitambaa cha pamba |Homemade Mask| Bei elekezi 1,500 PP.

100% Pamba Halisi.
Mikanda ya polyster inayovutika
Saizi moja inafaa wote FREE SIZE
Imetengenezwa na kitambaa bora na cha kudumu
Pumua kwa urahisi na starehe

> Inauwezo mkubwa wa kuchuja vumbi na bakteria.

> Inaweza kutumika kwa muda mrefu

> Husaidia kuzuia kugusa uso mara kwa mara

> Mask inaweza kuvaliwa kwa muda mrefu bila maumivu.

> Rahisi kuosha, reusable, na rafiki wa mazingira.

Mask za ya Kulinda uso Inauzwa | Mask ya Kitambaa | Kitambaa cha pamba |Homemade  Mask|100% Pamba Halisi.Mikanda ya poly...
28/04/2020

Mask za ya Kulinda uso Inauzwa | Mask ya Kitambaa | Kitambaa cha pamba |Homemade Mask|

100% Pamba Halisi.
Mikanda ya polyster inayovutika
Saizi moja inafaa wote FREE SIZE
Imetengenezwa na kitambaa bora na cha kudumu
Pumua kwa urahisi na starehe

> Inauwezo mkubwa wa kuchuja vumbi na bakteria.
> Inaweza kutumika kwa muda mrefu
> Husaidia kuzuia kugusa uso mara kwa mara
> Mask inaweza kuvaliwa kwa muda mrefu bila maumivu.
> Rahisi kuosha, reusable, na rafiki wa mazingira.

Kumbuka: muundo wa kuchapisha kitambaa hutofautiana kwa sababu ni vitambaa ni tofauti.

Protective Face Mask For Sale | Fabric Mask | Cotton Face Mask | Homemade Face Mask |100% Cotton face maskPolyester Elas...
28/04/2020

Protective Face Mask For Sale | Fabric Mask | Cotton Face Mask | Homemade Face Mask |

100% Cotton face mask
Polyester Elastic Ear Loop
One Size Fits All
Made with quality and durable fabric
Breathable material for a comfortable feeling.

>Highly effective to filter dust and bacteria.
>Can be used for a long time
>Helps to prevent frequent face touching
>Mask can be worn for a long time without pain.
>Easy to wash, reusable, and environmentally friendly.

Note: Fabric print pattern varies because it’s handmade
#

Address

-3. 374094, 36. 663897
Arusha
23106

Opening Hours

Monday 08:00 - 17:00
Tuesday 08:00 - 17:00
Wednesday 08:00 - 17:00
Thursday 08:00 - 17:00
Friday 08:00 - 17:00
Saturday 08:00 - 17:00

Telephone

0766245639

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Dazen Online Store posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Dazen Online Store:

Share