Tam Tam Matangazo

Tam Tam Matangazo Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Tam Tam Matangazo, Advertising/Marketing, Arusha.

04/12/2019

ANYBODY WANTS TO INVEST IN CRYPTOCURRENCY ESPECIALY BITCOIN....

11/04/2017

R.I.P MUM
Mtoto: mama?
Mama: bee! mwanangu
Mtoto: umepika nini?
Mama: Sijapika chochote mwanangu.
Mtoto:lakini nina njaa sana mama
Mama: mmh pole sana mwangu, nijiskii vizur
kichwa kinauma kdgo babaangu lakn ucjal ngoja
nikupikie mwanangu.
Mtoto: Mama ngoja tu nikapike mim maana wewe
unaumwa mama.
Mama: Hapana wewe bado mdgo sana mwanangu
ngoja tu nkupikie sawa mamaa?
Mtoto: oky poa mama ngoja nikatoe nguo zangu za
shule nifue,
Mama: Hapana mwanangu wewe nenda tu kacheze
nguo nitakufulia mimi, nikiivisha chakula ntakuita
mwanangu uje ule sawa?.
Mtoto: haya mama , akaenda kucheza kwa majilani
muda ukapita akaamua kwenda nyumban, akakuta
nguo zake zimefuliwa na chakula kipo tayali, lakin
hakumuona mama ake, mtoto akaanza kuita mama
mama mama! hakuna aliemwitikia mama alikuwa
amekata roho, chumbani mwake.
Mtoto alipo ingia chumban hakuamini mama akiwa
amelala milele, aliona barua mama ameandika
wosia, Nenda ukacheze mwanangu ndyo yalikuwa
maneno ya mwisho ya mtoto kuyaskia kwa mama.
mtoto huyo alilia sana Mama mamaa mamaa
mbona ukuniambia k**a unaniaga ? lakn hayo yote
mama hakuweza kuyaskia kwan alikua tayal
amekata pumzi. MUNGU AMLAZE TU MAHALI
PEMA PEPONI 'AMINA'
Jamani mama anaupendo wa pekee, kakubeba
miez9 tumbon na kukunyonyesha had umekua leo,
Mama anaumwa au hana nguo wewe uko busy na
girlfrnd au boyfriend. Pesa zote zna enda kwa
mpenz wako unamsahau mwenye mapenz ya
kweli.?
Ewe Mungu wapendelee kina mama wote uwape
maisha marefu hapa duniani na uwaepushe na
magonjwa na taabu za dunia.
AMEN

Address

Arusha
255

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Tam Tam Matangazo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share