22/09/2026
KITABU KIPYA KINAZINDULIWA! β¨π
Kitabu kipya cha Baba yetu, Senior Prophet Prof. GeorDavie, kinazinduliwa rasmi Jumapili hii, tarehe 27 Septemba 2026, katika Ibada ya Jiji β Ngurumo ya Upako, Kisongo, Arusha, Tanzania.
π JINA LA KITABU:
THE KINGDOM SYSTEM.
MFUMO WA MAMLAKA YA UFALME.
Kitabu kinapatikana katika matoleo mawili:
Toleo la Kiingereza β Kurasa 447Toleo la Kiswahili β Kurasa 488
π
Jumapili, 27 Septemba 2026
π Ngurumo ya Upako, Kisongo β Arusha, Tanzania
β° Saa 1:00 PM
π° Bei ya Kitabu:
πΉπΏ TSh 50,000
πΊπΈ $50 USD
π Kuanzia tarehe 28 Septemba 2026, kitabu pia kitapatikana kupitia Amazon.
Usikose uzinduzi huu wa kipekee! Karibu Ngurumo ya Upako, Kisongo β Arusha jumapili hiiπ₯π₯