Mallya BIMA

Mallya BIMA Insurance Expert
Internet Provider
Public Figure

Kindly follow our Page.Naomba usisahau Kulike, comment na kushare Kwa wengine pia.Asante
15/03/2025

Kindly follow our Page.

Naomba usisahau Kulike, comment na kushare Kwa wengine pia.

Asante

Bima ya Moto/ FIRE INSURANCE

Bima ya moto ni bima inayolinda dhidi ya hasara zinazotokana na majanga ya moto.

Maafa ya moto yanaweza kutokea wakati wowote, na inapotokea, huleta hasara kwa jengo hilo pamoja na Vilivyopo Ndani ya Jengo Husika.

Tupigie Kwa Huduma zaidi

MOSHI-+255 769 077 360

DAR ES SALAAM-+255 755 562 090

ARUSHA - 0624 831 076

Kheri ya Wiki ya Huduma Kwa Wateja! Asante kwa kuwa mteja wetu wa thamani, Ahadi yetu ni kuendelea kukupatia huduma bora...
07/10/2024

Kheri ya Wiki ya Huduma Kwa Wateja! Asante kwa kuwa mteja wetu wa thamani, Ahadi yetu ni kuendelea kukupatia huduma bora.

Kwetu sisi BIMA ni Elimu na Fidia

Karibu Sana Kwa Huduma za BIMA na LATRA 🙏🏾

TEMBELEA OFISINI KWETU KWA HUDUMA ZIFUATAZOBIMA ZA VYOMBO VYA MOTO {MOTOR INSURANCE}-Bima Kubwa & Bima Ndogo Bima Kwa Bi...
03/09/2024

TEMBELEA OFISINI KWETU KWA HUDUMA ZIFUATAZO

BIMA ZA VYOMBO VYA MOTO {MOTOR INSURANCE}
-Bima Kubwa & Bima Ndogo

Bima Kwa Bidhaa zinazosafirishwa{Goods In Transit}
Nyumba na Mali zilizopo ndani {Domestic Package}
* Credit Insurance
* Contractors All Risk

Bila kusahau Huduma Ya *LATRA* Kwa Magari ya ABIRIA na Mizigo

Hello 👋 BossWeek Mpya Inaanza Sasa! JE UMEKUMBUKA KUANGALIA UHAI WA BIMA YAKO???Usalama wa kesho yako unaanza kujengwa l...
25/08/2024

Hello 👋 Boss

Week Mpya Inaanza Sasa! JE UMEKUMBUKA KUANGALIA UHAI WA BIMA YAKO???

Usalama wa kesho yako unaanza kujengwa leo! Ukiwa na Uhakika wa BIMA Hai Kwa Matumizi Ya Chombo CHAKO

Jihakikishie usalama wa majanga mbalimbali, iwe NYUMBA, VIFAA VYA NDANI au GARI. Uvimbe kitaa Bila Wasiwasi wowote

Tembelea tawi letu lililopo karibu yako, uanze kuenjoy maisha bila stress,Au Wasiliana Nami Kwa Huduma Zaidi Popote Ulipo

Kwa Huduma za BIMA na LATRA sisi ndio Wenyeweee!


0624831076

Habari. Napenda kuwajulisha kuwa natoa Huduma za bima/Insurance za vyombo vya moto Yaani MAGARI, Pikipiki, Bajaji, na tr...
18/08/2024

Habari.

Napenda kuwajulisha kuwa natoa Huduma za bima/Insurance za vyombo vya moto Yaani MAGARI, Pikipiki, Bajaji, na tractor.

Bima za moto, Wizi, Bond, Contractors All Risks na nyingine nyingi.

Utapata Huduma ya Bima popote ulipo Tanzania bara na Zanzibar.

Na nitakutumia document zako Kwa njia ya Email au Whatsapp ndani ya dk 5 tu baada ya kulipia Bima yako.

Kumbuka malipo utayafanya Kwa njia ya Control number, MPESA kupitia Laini yako ya Vodacom au Kwa Bank account wewe mwenyewe. Njia Hii Ya M PESA haina Makato

Karibuni niwapatie Huduma.

Unachotakiwa kufanya ni kunitumia copy ya Kadi ya Gari lako, kupitia Whatsapp au email ili niweze kuandaa bima yako.

Kwa maswali zaidi nicheck INBOX. Watsap No

+255 624 831 076

🙏🏻🙏🏻

FAHAMU BIMA KUBWA  INAKULINDA NA MAJANGA YAPI✔️Bima kubwa Inakulinda na Majanga Yafuatayo:1. Ajali yoyote inayotokea mai...
17/08/2024

FAHAMU BIMA KUBWA INAKULINDA NA MAJANGA YAPI

✔️Bima kubwa Inakulinda na Majanga Yafuatayo:
1. Ajali yoyote inayotokea main Road na kwenye Parking
2. Ajali zinazotokana na Majanga ya Asili (natural Disasters) mfano mti / Ukuta kuangukia chombo chako
3. Ajali za moto
4. Tetemeko la Aridhi
5. mafuriko
6. wizi wa chombo chako , pia na wizi wa vifaa kutoka kwenye chombo chako
7. thirdparty liabilities zozote, k**a Kumgonga Mtembea kwa miguu, kusababisha Kifo, kusababisha Hasara za Mali ya mtu mwingine
Nk.

Karibu Kwa Huduma za BIMA na LATRA,KWETU BIMA ni ELIMU & FIDIA

Mallya BIMA
0624831076

BIMA & LATRAHello 👋 Ni Week Mpya Inaanza! Anza week Mpya Kwa Tabasam na Furaha ukiwa na Uhakika wa BIMA kutoka Kwetu.JE ...
13/08/2024

BIMA & LATRA
Hello 👋
Ni Week Mpya Inaanza! Anza week Mpya Kwa Tabasam na Furaha ukiwa na Uhakika wa BIMA kutoka Kwetu.

JE UMEKUMBUKA KUANGALIA UHAI WA BIMA YAKO???
Najua Umesahau Sasa Basi Nitumie Namba Yako Ya Gari au Bajaji,Guta, Pikipiki Nikuangalizie Bima Yako inaisha Lini.

Kwetu sisi BIMA ni ELIMU & FIDIA
KARIBU KWA BIMA
BIMA KUBWA{Motor Comprehensive insurance}
BIMA NDOGO { Motor Third party Insurance}

Bila kusahau Huduma za LATRA Kwa Magari Ya Abiria na Mizigo

Huduma Zote hizi Utazipata Popote Ulipo! Ndani ya Dakk 5 tu

ULIPO TUPO
_HUDUMA ZA BIMA ZENYE UHAKIKA_

Address

Arusha

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mallya BIMA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share