Koin Studios TZ

Koin Studios TZ My name is Innocent Christian Matogolo. I am a skilled 3D animation artist with a passion for creating immersive and dynamic visual experiences.

With expertise in Blender, Photoshop, illustrator After Effect, and Premier pro,.

Gwiji.... Zaburi 27:1
09/04/2026

Gwiji.... Zaburi 27:1

09/04/2026

Ku-animate intro logo kwa Blender 🎬🔥
Kutoka logo static hadi motion ya kuvutia—hapa ndipo ubunifu unapoishi! Nimetumia lighting, camera movement na keyframes kuipa logo uhai na vibe ya kisasa kabisa.

Kila frame inaelezea story ya brand—simple, clean, na eye-catching. Hii ndio power ya 3D animation!
Ungependa kuona tutorial kamili? 👇

09/04/2026

Speed modeling ya Ikulu ya Tanzania 🏛️🔥
Kutoka block ya mwanzo hadi detail za mwisho—hii ndio process yangu ya kuleta historia na architecture kwenye 3D. Kila vertex, kila edge, kila texture imewekwa kwa umakini ili kuipa uhalisia wake halisi.

Hii ni safari ya ubunifu, uvumilivu, na passion ya 3D modeling. Unafikiri nimecapture vibe halisi ya Ikulu? 👇

20/03/2026

Nipe Do nikupe flow..... 🇹🇿

14/03/2026

Karibu uhudumiwe, kwa mawasiliano zaidi tutafute kwa Namba 0674928544.. Karibu.

14/03/2026

kwa mawasiliano zaidi Tutafute kwa namba 0674 928 544. (Sola Peanut butter

Baba koku...
27/02/2026

Baba koku...

27/02/2026

Baba koku.....

05/02/2026

Jifunze kutengeneza mtu simple kw Blender 3d software. karibu youtube

29/11/2025
18/11/2025

The halloween dance. animation behind the scene

A new character inspired by Viking casts...
13/08/2025

A new character inspired by Viking casts...

Address

Arusha

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Koin Studios TZ posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share