Abraham TV

Abraham TV Karibu Abraham TV – suluhisho lako kwa mahitaji yote ya kidijitali. Tunatoa huduma za promotions za biashara na maudhui bunifu yanayokidhi viwango

Sisi ni wataalamu wa Graphics Design, Web Development, Web Management, Content Creation na Motion Graphics.

27/05/2026
21/05/2026

Hi #

18/05/2026

🎬 KARIBU ABRAHAM TV MEDIA & GRAPHICS OFFICE 🎨📸

Tunatoa huduma mbalimbali za kisasa za media na graphics kwa ubora wa hali ya juu. Huduma zetu ni pamoja na:

✅ Logo Design
✅ Poster & Flyer Design
✅ Banner Design
✅ Social Media Posters
✅ Business Card Design
✅ ID Card Design
✅ Video Editing
✅ Photo Editing & Retouching
✅ Motion Graphics
✅ Branding ya Biashara na Taasisi
✅ Podcast Graphics
✅ YouTube Thumbnail Design
✅ Printing Designs
✅ Website Graphics na Media Content

✨ Tunabadilisha mawazo yako kuwa ubunifu unaovutia.

📍 ABRAHAM TV – Ubunifu, Ubora na Utaalamu.
📩 Wasiliana nasi kwa huduma za kisasa za media na graphics.

🕌 IJUMAA MUBARAK 🌙✨Mwenyezi Mungu atujaalie Ijumaa hii iwe sababu ya kuongezeka kwa rehema, baraka na mafanikio katika m...
08/05/2026

🕌 IJUMAA MUBARAK 🌙✨

Mwenyezi Mungu atujaalie Ijumaa hii iwe sababu ya kuongezeka kwa rehema, baraka na mafanikio katika maisha yetu. 🤲❤️
Tukumbuke kufanya mema, kusaidiana na kumuomba Allah atuongoze katika kila hatua.

📌 ABRAHAM TV tunaendelea kukuletea: 🎨 Graphics Design
🌐 Website Design
📢 Branding
📺 Live Broadcasting
🎬 Documentaries
📹 Commercials

Karibu tufanye kazi pamoja kwa huduma zenye ubora wa kisasa. ✨

📞 +255 683 515 337
📱

LiveBroadcasting

Kazi bora ni matokeo ya ubunifu na umakini. 🎨​Hapa tunaonyesha mchanganyiko wa kazi zilizopita mikononi mwa Abraham TV, ...
07/05/2026

Kazi bora ni matokeo ya ubunifu na umakini. 🎨

​Hapa tunaonyesha mchanganyiko wa kazi zilizopita mikononi mwa Abraham TV, tukishirikiana na brand mbalimbali ili kuzifanya zionekane kwa namna ya kipekee:

​Usimamizi wa Kazi na Brand: Hapa kuna baadhi ya miradi muhimu iliyo chini ya usimamizi wetu, ikiwemo usimamizi wa kampeni na maudhui kwa baadhi ya kampuni.

​Logo: Tumefanya logo kwa baadhi ya brand zilizopo kwenye picha hii, k**a Boma Plan Experts.

​Matangazo na Kampeni: Pia tumekuwa tukiratibu matangazo na kampeni kwa ajili ya brand nyingi, tukiwa na lengo la kuongeza ufanisi na ufikiaji.

​Usimamizi wa Huduma: Tuna uzoefu wa kushirikiana na taasisi na kampuni mbalimbali, ikiwa ni pamoja na Hope Safari na VETA Arusha, ili kuboresha huduma zao na kuleta mafanikio makubwa zaidi.

​Je, unatamani kuwa sehemu ya familia yetu na kuifanya brand yako ionekane kwa namna ya kipekee? Sasa ni zamu yako!

​📞 Wasiliana nasi kwa: +255 683 515 337 au +255 779 515 337

Karibu kwenye ulimwengu wa ubunifu. 🚀

Tunakupatia kile ukipandacho tajiri heri ya siku ya wafanya kazi duniani    pambania kile unacho kiamini
01/05/2026

Tunakupatia kile ukipandacho tajiri heri ya siku ya wafanya kazi duniani pambania kile unacho kiamini

29/04/2026

Ukituamini tuna aminika njoo upate kilicho Bora boss

27/04/2026

njoo basi usinisusie office sio YANGU niyako bana #2026

27/04/2026

Address

SAKINA WHITE ROSE
Arusha
23000

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Abraham TV posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share