Vedastus Seko

Vedastus Seko You Can Either Find A Way Or Make A Way

21/06/2026

Kuwa na Mentor Mmoja Akupe Matokeo Kisha Hamia Jwa Mentor Mwingine Period

*MKAKATI Wa Siri Anaoutumia Mwijaku Kujenga BRAND Yake ONLINE...*Mwaka 2024 Mwezi 12 ndio Mara ya Kwanza nilikutana na C...
20/06/2026

*MKAKATI Wa Siri Anaoutumia Mwijaku Kujenga BRAND Yake ONLINE...*

Mwaka 2024 Mwezi 12 ndio Mara ya Kwanza nilikutana na Content ya Mwijaku

Niliona anamuomba hela Chief Godlove

Nakumbuka ile Content niliiona Tiktok

Sasa...

Baada ya Muda Nikashangaa Mwijaku akawa anaweka Content za Kumtukana Diamond

Anamuita Mwambino 😂🤣

Mi niwe Mkweli tu Huwa Sipendi Kukaa na Kitu Kinachoniumiza kichwa kwa muda mrefu wakati nina uhakika kuna Vyanzo vya Taarifa...
..Nikachimba kufuatilia kwa Kina Zaidi

Ndipo Nikagundua Hiki Kitu Kimoja Hapa Chini 👇

*"Mwijaku Anatumia Kitu Kinaitwa Attention Grabbing Strategy"*

Yaani...

Anahakikisha Anamiliki Umakini wa Watu...
..Inshu Ni Simple Yule Mwenye Umakini Mkubwa Wa Watu Kwenye Kizazi Hiki cha Kidigitali

Ndio Mwenye Uwezekano Mkubwa wa Kutengeneza Hela k**a Anaijua Jinsi ya Kugeuza Umakini Kuwa Hela...

Now...

Mwijaku Bana Anachokifanya Yeye ni:

*"Ku-Hit BIG FISH Then Attract Attention"*

Ukifuatilia Kwa Makini Hii ni Mbinu aliyoitumia Steve Jobs Pia Kipindi Anaanzisha Apple

Yeye Alitangaza Vita Na Kampuni ya Kutengeneza Komputa na Mtawala wa Soko~IBM

Sasa...

Turudi kwa Mwijaku

_"Sio Kwamba Mwijaku Anamponda Mond Kwa Sababu Anamchukia HAPANA"_

ILA:

Anamponda Mondy Ili Kuvutia Umakini Wa Watu...

Swali pekee Ambalo Watu Watakuwa nalo ni Hili Hapa chini 👇

*"Huyu Mwijaku Ana Nini Mpaka Ashindane na Mondy?"*

Tena...

Atangaze Vita Hadharani?...

Hivi Nimewahi Kukwambia Hiki Kitu Au sio wewe?...

Kwamba:

*"Binadamu Kwa Asili Ni Mbea"*

Aaanhaa Sio Wewe Na Komwe lako Na Ndonga yako Hiyo(Joking)🤣🤣🤣

Anyways...

Ninachohitaji Ufahamu ni Hiki Kitu Kimoja...

_Mwijaku Anapandilia Brand Aliyotengeneza Mondy Kwa Kumpinga_

Kisha Anawavutia Watu Wamfuatilie Kwanini Anafanya Hivyo

Kitendo Cha Kufuatilia Tu boom Kapata Attention Yenu...
..Baada ya Hapo Boom Anawawekea Matangazo ya Makampuni Tofautitofauti 😂

Boom Mnanunua Bidhaa Za Makampuni yanayotangazwa na Mwijaku 😁

Funny Fact Ni Kwamba:

_Kuna Event Nimewahi Kwenda Nikamuona Mwijaku Live Ilikuwa ni Event ya Kampuni ya Real Estate(Kikuyu Africa)_

Jamaa Anasema Kwamba:

Bei ya Kirafiki ya Kuja Kwenye Biashara yako Ni 3M(Strangers Anawacharge Tshs ngapi Sasa?) 🥲

Now...

Unaweza Kuutumia Huu Mkakati Aidha kwa Makubaliano Na Mtawala Au Kukubali Liwalo Na Liwe

Au:

Kushirikiana Na Mtawala

Otherwise...

I Hope Umepata Value Familia 🙏

Am Your Guy

Vido

Vedastus

*Nilibaki Mdomo Wazi Baada ya Mama Muuza Samaki Alipofanya Hiki Kitu Kimoja...*Kwani Ni Kitu Gani Hicho?...Swali Zuri Sa...
19/06/2026

*Nilibaki Mdomo Wazi Baada ya Mama Muuza Samaki Alipofanya Hiki Kitu Kimoja...*

Kwani Ni Kitu Gani Hicho?...

Swali Zuri Sana...

Soma Hii Mpaka Mwisho

Iko Hivii:

Ukitaka Kumfanya Mteja Arudi kununua Kwako Itabidi Utumie Hii Mbinu Ya Siri Unayoenda Kuiona Hapa Chini 👇

*A.E.C.E Framework*

Ikiwa na Maana ya...

*Always Exceed Customer Expectations*

Yaani...

Siku Zote Zidisha Kile Ambacho Wateja Wanatarajia...
..Jana Nikiwa Mitaa ya Kigogo Sambusa(Sehemu ambayo Huwa Naenda Kununua Vitu vya Kupika)

Mida ya Saa Moja Na Dkk 45 Usiku

Kuna Mmama Alinishangaza Vibaya Mno ...
..yaani:

Alinifanyia Sapraizi ya Ajabu Sana

Na:

Nilibaki Mdomo wazi Kisha Nik**alizia Maneno ya Kutoa ahadi ya Kurudi Tena Na Tena Kununua Kwake

Kwani Kilitokea Kitu Gani?...

Swali Zuri Sana...

Ilikuwa Hivii:

Nilifika Kigogo Sambusa--Nikamkuta Mama Wa Makamo(Umri Range ya Miaka 40 Hadi 45)

Sasa...

Nikaagiza Samaki Wa Buku(Tshs 1000)

Najua Millennials Hamjui Buku Nimeamua Kuchambua kwenye Mabano 😂🤣

Baada ya Kuchagua Lile Fungu...

Yule Mama Akanipa Fungu alafu Cha Ajabu Zaidi Akatoa Samaki wawili Kwenye Fungu Lingine...

Kisha Akasema Haya Maneno Kwa Msisitizo...

"Mwanangu Tatizo Leo Umekuta Samaki Ni Wachache Ila Siku Nyingine Utafurahi" 🫪😆

Nilibaki Mdomo wazi baada ya Kauli Ile na Nikatoa Ahadi Kibao Kwamba Nimeshajisajili Kuwa Mteja Wake Mazima 😂 Bila Kujiuliza Mara Mbili

Moral Of The Story?...

Well...

Ukitaka Kuwateka Wateja Wa Kibongo Hakikisha Unawaonyesha Watapata Zaidi Endapo Watalipia Bidhaa Au Huduma yako

Na:

Hapo Ndipo Utakuwa Umegusa Saikolojia ya Wateja wa Kibongo

Na:

Utauza Bidhaa Yako K**a Njugu 😎

Hopefully Umepata Value

Am Your Guy

Vido

Vedastus

19/06/2026

Ujuzi Pekee Unaotakiwa Kuwa nao Ni Ujuzi Wa Kujenga...
..Mfumo wa Kuuza Bidhaa Au Huduma yako

Baada ya Kujenga BRAND(Jina) Inayoaminika ONLINE

Na:

Ujuzi Huo Unaitwa Sales Funnel(Mfumo wa Mauzo)
❤️reelsinstagram

18/06/2026

Nyuma ya Kujenga BRAND Mtandaoni Unahitaji Kuwa na Skills Hizi Hapa chini...
1.Copywriting Skills Itakusaidia Kuandika CAPTIONS Kwenye Contents zako
2.Closing Skills Itakusaidia Kuuza Bidhaa Au huduma Utakayoiuza Baada ya Kujenga BRAND Inayoaminika Online
2l3.Sponsored Ads Itakusaidia Kurusha Matangazo yatakayowafikia Wateja Wanunuzi wa Bidhaa Au Huduma Yako
❤️reelsinstagram

17/06/2026

kuwa Mwanafunzi Kila Siku 🔥🔥🔥

17/06/2026

Siri ni Kuuza Kwanza Uaminifu Ndipo Mauzo Makubwa Yafuata

Kwasababu...

Watu Huwa Wananunua Vitu Kutoka Kwa Watu Wanaowaamini

Ukipata Nafasi Ya Kujitoa OUT Do That Kwasababu:Maisha Sio Kazi Tu Kuna Kutoka Pia
16/06/2026

Ukipata Nafasi Ya Kujitoa OUT Do That

Kwasababu:

Maisha Sio Kazi Tu Kuna Kutoka Pia

16/06/2026

SIRI Ya Kugeuza Brand yako Kuwa PESA Ni Kujifunza...
..Ujuzi Wa Marketing(Masoko) & Sales(Mauzo)

Ambapo Pia Utajifunza Jinsi ya Kupata Wateja na Kuwauzia Bidhaa Au Huduma Yako

15/06/2026

❤️reelsinstagram

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vedastus Seko posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share