21/11/2022
STAINLESS STEEL TANK 304 materials
Stainless steel tanks Tanzania
Ni watengenezaji pekee wa stainless steel tank kwa matumizi mbalimbali ikiwemo majumbani , maofisini, mashuleni,vyuo mpaka kwenye viwanda kwa kuhifadhia maji, chemical viwandani, kuhifadhi dawa mbalimbali ,,pombe, Asali,mafuta,na vitu vingine vinavyowez kuhifadhika kwenye tank
SIFA ZINGINE ZA STAINLESS STEEL TANK
👉🏿Haziwezi kushika kutu
👉🏿haziruhusu bacteria 🦠 kuzaliana ndani
👉🏿haziathiliwi na Mwanga wa jua
👉🏿Hudumu kwa muda mrefu
👉🏿unaweza kuhifadhi aina yeyote ya kimiminika kwa muda mrefu bila kuharibika
👉🏿Hudumu kwa muda mrefu tofauti na tank za plastic
👉🏿smooth nd beautiful surface
contact
0714667508