Nasaka Marketing & Advertising Agency

Nasaka Marketing & Advertising Agency Helping brands and business use marketing and advertising opportunities to launch, grow and expand their revenues enormously.

We help business reach more customers through visibility and engagement.

29/06/2023

Hakikisha biashara yako inataswira yenye ushawishi kwa kutumia professional photography kuonyesha bidhaa zako. Wasiliana...
30/05/2023

Hakikisha biashara yako inataswira yenye ushawishi kwa kutumia professional photography kuonyesha bidhaa zako.

Wasiliana nasi leo tuboreshe mwonekano wa bidhaa zako.

Product Photography is the vehicle that presents your products to potential customers. Reach out and let's help your bus...
26/02/2023

Product Photography is the vehicle that presents your products to potential customers.

Reach out and let's help your business.

📞: +255 714 141 196
📱: +255 714 141 196
✉️: [email protected]

Product Photography ni zaidi ya upigaji picha wa kawaida, ni lugha ya biashara kwa kutumia taswira ya picha kuiuza bidha...
25/02/2023

Product Photography ni zaidi ya upigaji picha wa kawaida, ni lugha ya biashara kwa kutumia taswira ya picha kuiuza bidhaa.

Ni muhimu bidhaa yako iwapate wataalaam "image consultants" tunaojua kutengeneza taswira ya kibiashara kupitia picha na video.

Changamka biashara imehahamia mitandaoni sehemu ambapo picha na video huzungumza kuiuza biashara yako muda wowote kuwafikia wateja wako popote walipo kwa uharaka na urahisi.

Wasiliana nasi
📞 : +255 7141 141 196
📱 : +255 714 141 196
✉️ : [email protected]

Ni muhimu sana picha za bidhaa zako ziweze KUWAELIMISHA wateja namna bidhaa yako inavyowafaa katika matumizi yao ya kila...
25/02/2023

Ni muhimu sana picha za bidhaa zako ziweze KUWAELIMISHA wateja namna bidhaa yako inavyowafaa katika matumizi yao ya kila siku.

Pesa ni ngumu, hivyo kabla ya manunuzi mteja hupenda kujiridhisha kuwa anafanya matumizi salama na bidhaa yako itamfaa sana katika mahitaji yake ya kila siku.

Product Photography ni zaidi ya upigaji picha wa kawaida, ni lugha ya biashara kupitia taswira ya picha.

Wasiliana nasi
📞 +255 714 141 196
📱 +255 714 141 196
✉️ [email protected]

Hakikisha mwonekano wa bidhaa zako unavutia na kushawishi kwani manunuzi huanza kwa mteja kuvutiwa na mwonekano wa bidha...
24/02/2023

Hakikisha mwonekano wa bidhaa zako unavutia na kushawishi kwani manunuzi huanza kwa mteja kuvutiwa na mwonekano wa bidhaa.

Hakikisha vielelezo vya picha unavyotumia kutangaza bidhaa zako VINAMWONEKANO UNAOSHAWISHI.

Wasiliana nasi leo tukushike mkono na kukuandalia mwonekano utakaogusa na kunasa macho ya wateja sokoni.

📞 +255 714 141 196
📱 +255 714 141 196
✉️ [email protected]

Clean work with an exclusive attention to detail and turnaround delivery timelines THATS HOW WE OPERATE 📌We understand t...
22/12/2022

Clean work with an exclusive attention to detail and turnaround delivery timelines THATS HOW WE OPERATE 📌

We understand the complexities of running a business, we are capable of accommodating your business uniqueness and deliver to outstanding remarks.
___________

Reach out and let's assist your brand and business in delivering an outstanding impact at the market place.

Customers remember the business the see more often, visibility boost consideration. Stay ahead of the curve.

Mwonekano wa bidhaa yako ndio huongoza maamuzi ya wateja kuinunua au kuiacha bidhaa yako. Ni muhimu kutambua kuwa ubora ...
23/03/2022

Mwonekano wa bidhaa yako ndio huongoza maamuzi ya wateja kuinunua au kuiacha bidhaa yako. Ni muhimu kutambua kuwa ubora wa bidhaa haujulikani kabla itu hajanunua na kutumia.

Pesa ni ngumu hakikisha bidhaa yako inamwonekano wa kushawishi VALUE FOR MONEY. Ionyeshe itaubora na thamani ya kuzidi kiwango cha fedha ambacho inauzwa. Kwa soko letu BEI huamua mengi sana hivyo boresha bidhaa zako.

Wasiliana nasi kwa msaada zaidi.

Huu ndio mwonekano mpya wa kipekee tulioipatia Hair Conditioner ya KS Products ya ujazo wa lita 5. Je unabidhaa ya ujazo...
17/03/2022

Huu ndio mwonekano mpya wa kipekee tulioipatia Hair Conditioner ya KS Products ya ujazo wa lita 5.
Je unabidhaa ya ujazo wa lita tano--unatafuta namna ya kuipa mwonekano wa ushindi sokoni?

Changamka, BIASHARA NI MWONEKANO, biashara yako inapoteza pesa na fursa muhimu za kujiuza kwa wateja wapya. Unapoteza soko kwa kukosa ushindani ki-mwonekano.

KUMBUKA: Kabla ya kutumia bidhaa yako na kujua ubora kwanza lazma nivutiwe na mwonekano.

Mwonekano umewafungulia KS Products fursa mbalimbali za kujitangaza kupitia maeneo ya manunuzi (point of sale) na kushawishi fursa mbalimbali za ushirikiano wa kibiashara kutoka kwa wadau muhimu.

Je unahitaji kuboresha mwonekano wa bidhaa zako?
Wasiliana nasi leo

Kinondoni Biafra, Delta House, Mob: 0714 141 196
Email: [email protected]

14/03/2022

Huu ndio mwonekano mpya tuliouboresha wa Hair Conditioner zinazotengenezwa na KS Products.

Mrejesho tuliopokea kutoka kwa wateja wetu wa KS Products baada ya maboresho.

Wameshuhudia ongezeko la manunuzi kutoka kwa wateja wapya.

Wamepokea pongezi na shukrani kutoka kwa wateja wa awali kwa kupendezwa na mwonekano.
Baada ya rebrand imewabidi kuongeza kasi ya uzalishaji kuendana na kukua kwa soko.

Changamka, BIASHARA NI MWONEKANO, biashara yako inapitwa na fursa muhimu za kujiuza kwa wateja wapya.

Mwonekano pia umewafungulia fursa mbalimbali za kujitangaza kupitia maeneo ya manunuzi (point of sale) na kushawishi fursa mbalimbali za ushirikiano wa kibiashara kutoka kwa wadau muhimu.

Je unahitaji kuboresha mwonekano wa bidhaa zako?
Wasiliana nasi leo

0714 141 196
[email protected]

Helping brands and business use marketing and advertising opportunities to launch, grow and expand their revenues enormously. We help business reach more customers through visibility and engagement.

Utafiti wa kibiashara na masoko unaonyesha kuwa kila rangi na madhari ya chapa na vifungashio inatoa vichocheo vingi vik...
11/03/2022

Utafiti wa kibiashara na masoko unaonyesha kuwa kila rangi na madhari ya chapa na vifungashio inatoa vichocheo vingi vikubwa kushawishi mauzo ya bidhaa au huduma husika.

KWA UFUPI IKO HIVI
Mteja yoyote kabla ya kufanya maamuzi ya kununua au kuulizia bei ya bidhaa lazma ashawishiwe na rangi na mwonekano wa bidhaa.
______________

UFAFANUZI ZAIDI...
Kwa kila kundi la biashara au bidhaa kuna rangi na mwonekano hutoa ushawishi mkubwa' kwa mteja kununua kwa haraka zaidi ya rangi na mwonekano mwingine.

Unajua hii husababishwa na nini?
(Somo la post ijayo weka notification on)
HIZI NI TAARIFA ZA KITAFITI Macho ya mwanadamu humwongoza kufanya maamuzi ambayo kwa asilimia kubwa hushawishiwa na hisia zake ambazo huguswa na rangi na mpangilio wa mwonekano.

Kila rangi inaushawishi wake kwa upekee na mpangilio wake.

* Usione rangi ukaiga iga bila kufahamu (elimu ni ufunguo)*
______________

Kabla hujafanyiwa maboresho ya mwonekano au REBRANDING ya bidhaa au huduma yako. Waulize wataalamu ni vitu gani vinachochea manunuzi ya bidhaa yako na Ni mwonekano upi itakufaa zaidi.

-----------------------

USIKURUPUKE tupo kukusaidia, muda wowote wasiliana nasi tukushauri na kukuongoza.
__________________________

Wasiliana nasi Kinondoni Biafra Delta House au kwa mitandao.
Email: [email protected]
Mob: 0714 141 196

Address

Delta House, Block 42, Kinondoni Biafra
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 09:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 18:00

Telephone

+255746141404

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Nasaka Marketing & Advertising Agency posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Nasaka Marketing & Advertising Agency:

Share