18/02/2026
Merit Digital tunakukumbusha kuwa tunatoa huduma ya maombi ya vyeti vya kuzaliwa Kwa njia ya mtandao popote Tanzania. Lakini unaweza kufika ofisini kwetu Kipawa Dar es salaam Tanzania. Wasiliana nasisi Kwa namba 0654284872 au tutumie ujumbe mfupi WhatsApp Kwa namba hiyo.