Aok Design Tz

Aok Design Tz Creative studio for graphics design, branding, printing & more. We turn ideas into visuals that speak.

BROCHURE DESIGN β€œUbunifu unaogusa hisia na kuacha alama πŸ’™βœ¨β€Hii ni moja ya kazi ya brochure tuliyoandaa kwa heshima ya ku...
08/04/2026

BROCHURE DESIGN
β€œUbunifu unaogusa hisia na kuacha alama πŸ’™βœ¨β€

Hii ni moja ya kazi ya brochure tuliyoandaa kwa heshima ya kumbukumbu ya mpendwa wetu.

Je, unahitaji brochure ya msiba, tukio maalum au hata kwa ajili ya kutangaza biashara yako?

Aok Design Tz tupo kwa ajili yako – tunakupa ubunifu wa kisasa, unaoeleweka na unaovutia wateja.

πŸ“© Wasiliana nasi tukutengenezee kitu cha kipekee!

Karibu Aok Design Tz Hapa ndipo ubunifu unakutana na biashara.Tunasaidia biashara, kampuni na wajasiriamali kupata muone...
11/03/2026

Karibu Aok Design Tz

Hapa ndipo ubunifu unakutana na biashara.
Tunasaidia biashara, kampuni na wajasiriamali kupata muonekano wa kisasa na unaovutia wateja.

Huduma zetu ni pamoja na:
βœ… Graphics Design
βœ… Branding ya biashara na bidhaa
βœ… Printing Services
βœ… Online Services (RITA, TRA, NIDA, BRELLA ..)
βœ… Business Advertisement

K**a unahitaji:
πŸ“Œ Logo
πŸ“Œ Banner / Poster
πŸ“Œ Business Cards
πŸ“Œ Sticker za bidhaa
πŸ“Œ Matangazo ya biashara

Karibu ofisini au wasiliana nasi tuanze kazi leo.
πŸ“² WhatsApp: 0755 176 669
πŸ“© Tunapokea mafaili ya kazi mbalimbali

Aok Design Tz – Ubunifu Unaotangaza Biashara Yako. πŸš€

Kwa update na taarifa zaidi unaweza ku follow Whatsapp Channel kwa kubofya link kwenye BIO

10/03/2026

Huduma za NSSF hapa Aok Design Tz!

_Usajili wa wanachama, michango, malipo ya mafurikio na mafutaeliyo ya pensheni,_ yote kwa urahisi na haraka.
Karibu tufanye mambo kwa urahisi, kwa msaada wa timu yetu yenye uzoefu. Tupo hapa kuhakikisha unapata huduma bora zaidi bila kikwazo.

02/03/2026

Products Label Design

β€œK**a unataka bidhaa yako ionekane professional na iuzike zaidi,
wasiliana nasi leo Aok Design Tz.”

β€œTupo Kinondoni B.
Tunafanya design ,branding, printing na huduma za online.”

β€œUsiache bidhaa yako ionekane kawaida.”

πŸ’˜ VALENTINE SPECIAL OFFER – AOK DESIGN TZ πŸ’˜Upendo ni kushare kila kitu kizuri ❀️Ndiyo maana Aok Design Tz tumekuletea OF...
09/02/2026

πŸ’˜ VALENTINE SPECIAL OFFER – AOK DESIGN TZ πŸ’˜

Upendo ni kushare kila kitu kizuri ❀️
Ndiyo maana Aok Design Tz tumekuletea OFFER MAALUM YA VALENTINE πŸŽ‰
🎁 Punguzo la bei kwa HUDUMA ZOTE:
βœ”οΈ Graphics Design
βœ”οΈ Branding
βœ”οΈ Printing
βœ”οΈ Online Services

πŸ“ Tunapatikana Kinondoni B,
mkabala na stand ya Mwendo Kasi 🚍
⏰ Offer hii ipo hadi tarehe ya Valentine πŸ’

Usikose nafasi ya kumpa mpenzi wako (au biashara yako πŸ˜‰) muonekano bora zaidi.

πŸ“ž Wasiliana nasi sasa – Aok Design Tz
Ubunifu wenye mapenzi ❀️🎨

πŸ“ Aok Design TzTunapatikana *Kinondoni B,mkabala na kituo cha Mwendo Kasi 🚍Karibu kwa huduma bora za Graphics Design, Br...
05/02/2026

πŸ“ Aok Design Tz
Tunapatikana *Kinondoni B,
mkabala na kituo cha Mwendo Kasi 🚍

Karibu kwa huduma bora za Graphics Design, Branding, Printing, Online Services, Photography (Outdoor) & Videography, Business Adv pamoja Huduma za catering.
πŸ“ž Wasiliana nasi leo!

04/02/2026

Aok Design Tz sasa TUMEFUNGUA! πŸš€
Ubunifu β€’ Branding β€’ Printing β€’ Online Services
Karibu mteja wetu tukuhudumie leo!

πŸ“’ TAARIFA MUHIMU – HUDUMA ZA NIDA ONLINEMaombi ya NIDA sasa yanafanyika ONLINE πŸ’»πŸ“±Huna muda au hujui jinsi ya kutuma maom...
02/02/2026

πŸ“’ TAARIFA MUHIMU – HUDUMA ZA NIDA ONLINE

Maombi ya NIDA sasa yanafanyika ONLINE πŸ’»πŸ“±
Huna muda au hujui jinsi ya kutuma maombi?
πŸ‘‰ Aok Design Tz tunakusaidia kutuma NIDA Application kwa urahisi, haraka na usalama.

πŸ“ Tembelea Aok Design Tz
πŸ“ž Wasiliana nasi leo upate huduma bila usumbufu.

Aok Design Tz – Tunakuunganisha na huduma za kidigitali kwa uhakika. βœ”οΈ

Anything about Social Media…Je, biashara yako ipo mtandaoni lakini haipati wateja unaowatarajia? Aok Design Tz tupo hapa...
22/01/2026

Anything about Social Media…

Je, biashara yako ipo mtandaoni lakini haipati wateja unaowatarajia?

Aok Design Tz tupo hapa kukusaidia πŸ’‘

Tunatoa huduma za Social Media Marketing & Management ikiwemo:

- Usimamizi wa kurasa za mitandao ya kijamii
- Utengenezaji wa content (posters, videos & captions)
- Kuongeza reach na engagement
- Matangazo ya kulipia (boosting)
- Kujenga brand yako mtandaoni kwa mpangilio wa kitaalamu

Fanya mitandao ya kijamii ikufanyie kazi, sio wewe kuifanyia kazi.
πŸ“© Wasiliana nasi (Inbox) leo
Aok Design Tz – Where Ideas meet impact

UPDATE: FINAL OUTPUTDesign βœ”οΈ | Printing βœ”οΈ | Kubandika βœ”οΈTunapenda kushiriki nawe matokeo ya kazi zetu halisi!Kutoka *i...
03/12/2025

UPDATE: FINAL OUTPUT

Design βœ”οΈ | Printing βœ”οΈ | Kubandika βœ”οΈ
Tunapenda kushiriki nawe matokeo ya kazi zetu halisi!
Kutoka *idea hadi utekelezaji*, Aok Design Tz tunahakikisha ubora unaonekana moja kwa moja kwenye bidhaa.

πŸ‘€ Angalia jinsi sticker zetu zinavyoongeza mvuto wa biashara na kuvutia wateja.

πŸ“Œ Unahitaji sticker za bidhaa, magari, maduka au matangazo mengine?
Tupo tayari kukuhudumia!

πŸ“ Tembelea Aok Design Tz β€” Creativity for Every Product
πŸ“ž Karibu sana!

UPDATE: BANNER DESIGN β€”Kazi nyingine nzuri kutoka Aok Design Tz!Bango hili la chakula limebuniwa kwa ubunifu na mvuto wa...
30/11/2025

UPDATE: BANNER DESIGN
β€”

Kazi nyingine nzuri kutoka Aok Design Tz!
Bango hili la chakula limebuniwa kwa ubunifu na mvuto wa hali ya juu ili kuvutia wateja na kuwasilisha taarifa kwa uwazi.

Unahitaji bango la biashara yako au taarifa ya huduma zako?
Tuambie wazo lako, sisi tutalitekeleza kwa ubora!

πŸ“Design | Branding | Printing
πŸ“² Aok Design Tz – Creativity for Every Product

Address

Tegeta Skanska
Dar Es Salaam
14122

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Aok Design Tz posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Aok Design Tz:

Share