Davié Mgongolwa Abson

Davié Mgongolwa Abson Associate Pastor Glory of Christ (T) Church
Director General Information and Public Relations
Radio

03/12/2016
Say Bye to Imo, Skype, Viber, line etc. Update your whatsapp now and enjoy😊😊
17/11/2016

Say Bye to Imo, Skype, Viber, line etc. Update your whatsapp now and enjoy😊😊

Say Bye to Imo, Skype etc. Update your whatsapp now and call me plz. Hahahahha
17/11/2016

Say Bye to Imo, Skype etc. Update your whatsapp now and call me plz. Hahahahha

11/11/2016

Uebert Angel

10/11/2016

wenye mfano wa utauwa, lakini wakikana nguvu zake; hao nao ujiepushe nao.2 TIM. 3:5 SUVAndiko hili lipo kwenye maneno ya...
28/10/2016

wenye mfano wa utauwa, lakini wakikana nguvu zake; hao nao ujiepushe nao.
2 TIM. 3:5 SUV

Andiko hili lipo kwenye maneno ya Mtume Paulo akimuonya Timothy kuhusu mambo ya hatari ya siku za mwisho alisema mengi lakini Hili moja linatatiza walio wengi Nimeona vyema Leo kwenye Breakfast & Bible ni share na watu kadhaa.

The same scripture in Good News "Bible Translation,
they will hold to the outward form of our religion, but reject its real power. Keep away from such people."
2 Timothy 3:5 GNT
Kuna watu wameibuka sio tu sasa Bali walikuwepo pia, ambao wamekuwa wakipinga matendo ya miujiza ya Mungu, mfano katika siku hizi za mwisho Mungu amejifunua kwa ajabu sana kupitia watumishi wake wengi kwa kutenda mambo makubwa sawa sawa na neno lake kuwa Utukufu wa Mwisho wa nyumba hii utakuwa mkubwa kuliko wa kwanza.

Lakini pamoja na Mungu kutenda yote hayo kumeibuka watu ambao wengine hujiita wakristo wakipinga nguvu za Mungu. Na hapa Mtume Paulo ana deal nao. Hakuna Mkristo wa kwelie /true Christian/genuine Christian anayeweza kupinga kunena kwa lugha, kutoa pepo, kufufua wafu, kuponya wagonjwa, n.k if any person or a church denies such; just know it is an extension of shrines.

It is true we were called na vipawa tofauti tofauti si dhambi kutokufanya lakini kupinga kuwa havifanyiki ni uchawi wa aina yake Hawa ni wenye mfano wa utauwa lakini wakipinga nguvu zake (Mungu). Kuna watu watatafuta kupinga pia mafunuo haya, huo muda tumia kuhubiri injili ya Ufalme. Good Morning.

&bible 'thateTakeNotes Insta:

USIKOSE.
17/09/2016

USIKOSE.

04/09/2016

Kwa wale watumiaji wa Radio; utaweza kumsikiliza Bishop Dr Josephat Gwajima kupitia RADIO FREE AFRICA (RFA) kila siku za Jumatano saa tatu kamili usiku; MARUDIO: Ijumaa saa nne usiku na Jumanne saa nne Usiku.

Address

PO. BOX 9090
Dar Es Salaam

Telephone

0714729805

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Davié Mgongolwa Abson posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share