Prime Publishers

Prime Publishers | Amazon Publishing Services |
Marketing & Branding Agency
Graphic Design

Publish on amazon, reach millions of readers!
25/04/2024

Publish on amazon, reach millions of readers!

Unahitaji kujifunza forex trading? K**a jibu ni ndiyo basi hii kozi inakufaa sana. Karibu sana kwenye kozi ya forex trad...
24/03/2024

Unahitaji kujifunza forex trading? K**a jibu ni ndiyo basi hii kozi inakufaa sana. Karibu sana kwenye kozi ya forex trading ambayo imeandaliwa kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya wanafunzi wa level zote (from beginner to advanced)

Kwenye kozi hii utajifunza topics zifuatazo:
1. Introduction to forex
2. Fundamental analysis
3. Technical analysis
4. Sentimental analysis
5. Risk management
6. Trading psychology

Pia utajifunza strategies zifuatazo:
1. Price action
2. Supply and demand
3. Smart money concepts

Na baada ya kozi kuisha utakuwa na usimamizi wa mwezi mmoja kuhakikisha unafanya kwa vitendo yale uliyofundishwa. Na kuhakikisha unauwezo wa kutrade mwenyewe na kuingiza faida kutoka sokoni.

Kwa mawasiliano zaidi piga +255 717 850 979

Unahitaji kuongeza mauzo? Tangaza biashara yako mtandaoni kwa matangazo ya kulipia (sponsored ads). Tupigie 0717 850 979
18/03/2024

Unahitaji kuongeza mauzo? Tangaza biashara yako mtandaoni kwa matangazo ya kulipia (sponsored ads). Tupigie 0717 850 979

Je, wewe una ndoto ya kuwa mwandishi au ni mwandishi unayetafuta mafanikio katika biashara ya uandishi? Usiangaike sana ...
10/03/2024

Je, wewe una ndoto ya kuwa mwandishi au ni mwandishi unayetafuta mafanikio katika biashara ya uandishi? Usiangaike sana zaidi ya kupublish kitabu chako amazon na ukawafikia mamilioni ya wasomaji duniani kote.

Prime Publishers tuko hapa kuhakikisha maono/ kipaji na Mawazo yako yanakuwa katika uhalisia kwa kukusaidia kupublish kitabu chako amazon na ukawafikia mamilioi ya wasomaji si tu walioko Tanzania bali duniani kote.

Tunafurahia kwa pamoja mafanikio ya baadhi ya Waandishi, Watanzania wenzetu Hamis T Hamsi ambaye tulipublish kitabu chake amazon chenye title “ Understand Your Purpose and What School Didn’t Teach You” Pamoja na Mwandishi Alex M Kazinduki ambaye tulipublish kitabu chake pia chenye title “The Ultimate Guide to Mastering Forex Trading” ambavyo vinafanya vizuri sokoni kwa kusomwa na watu mbalimbali duniani, jambo linalowapa kipato cha ziada Pamoja na kuongeza mtandao (connection) na watu mbali mbali ulimwenguni

Ukipublish kitabu chako leo Amazon, Prime Publishers tutakusaidia kufanya kazi zifuatazo:
1. Kuhakiki kitabu
2. Kukipanga na kukiformat
3. Kudesign cover la kitabu
4. Kukiformat kikizi vigezo vya kukipublish amazon
5. Kukipublish amazon (ebook & paperback)
6. Kukufungulia account ya mwandishi
7. Kuandaa wasifu wa mwandishi na kitabu
8. Kujaza fomu na kukamilisha masuala yote ya kodi USA
9. Kushughulikia na kuunganisha njia za malipo utakazo pokelea pesa yako
10.Kutangaza kitabu chako amazon
11.Kudesign blog ya kitabu chako
12.Kukusaidia kutangaza kitabu chako kupitia mitandao yako ya kijamii
13.Ushauri na kushirikiana na wewe bega kwa bega ,mwanzo mwisho ili upate kazi bora na unayoitaka wewe.

Tupigie simu sasa kupitia:

+255 717 850 979

Ukipublish kitabu chako leo Amazon, Prime Publishers tutakusaidia kufanya kazi zifuatazo:1. Kuhakiki kitabu2. Kukipanga ...
18/02/2024

Unahitaji kujifunza Graphic Design? Karibu sana kwenye kozi hii ya graphic design kwa lugha ya Kiswahili kutoka Prime Pu...
29/01/2024

Unahitaji kujifunza Graphic Design?
Karibu sana kwenye kozi hii ya graphic design kwa lugha ya Kiswahili kutoka Prime Publishers.

Kozi hii imeandaliwa kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya watu wote wenye hitaji la kujifunza graphic design aidha wawe ndo wanaanza kabisa (beginner) au wawe na ufahamu kidogo (intermediate) wa graphic design, kwani mafunzo yameanza kwa kufundisha jinsi ya kutumia program ya adobe photoshop ambayo itatumika katika kudesign na kufundishia kozi hii.

Haya ndio Mambo utakayo jifunza kwenye kozi hii ya graphic design:

1. Photoshop basics: katika kozi hii ya Graphic design, utajifunza kudesign kwa kutumia program ya Adobe photoshop ambayo utapatiwa bure kabisa k**a sehemu ya course bonus, kwa ajili ya kufanyia mazoezi yale utakayofundishwa.

2. Utajifunza jinsi ya kudesign Posters na Flayers kwa kutumia adobe photoshop

3. Utajifunza jinsi ya kudesign Identity card (ID) na business card

4. utajifunza jinsi ya kudesign social media pots ( Instagram, Facebook, youtube na twitter)

5. Utajifunza jinsi ya kudesign Logo mbalimbali za makampuni, mashule na taasisi mbalimbali

6. Utajifunza jinsi ya kudesign vyeti (certificate) mbalimbali

7. Utajifunza jinsi ya kudesign cover za vitabu

8. Utajifunza jinsi ya kupresent kazi mbalimbali kwa kutumia mockups

9. Utajifunza jinsi ya kudesign na kupresent kazi kwa ktumia mockups

10. Utajifunza jinsi ya kudesign marketing posts yaani matangazo mbalimbali ya mtandaoni.

11. utajifunza jinsi ya kudesign label za bidhaa mbalimbali.

12. utajifunza mambo mengine mengi yanayohusiana na graphics design k**a calendar, bronchures, invoices n.k

13. Utajifunza jinsi ya kutengeneza GIFs kwenye photoshop

14. Utajifunza jinsi ya kutumia ujuzi wako wa graphic design kujiajiri k**a graphic designer na kuanza kujitengenezea kipato.

Kozi Bonus
1. Adobe Photoshop CC 2021
2. Microsoft Office 2019
3. Mockups
4. Templates and Fonts
4. 24/7 Support

Kwa mawasiliano zaidi +255 717 850 979

Unahitaji kujifunza Graphic Design? Karibu sana kwenye kozi hii ya graphic design kwa lugha ya Kiswahili kutoka Prime Pu...
15/11/2023

Unahitaji kujifunza Graphic Design?
Karibu sana kwenye kozi hii ya graphic design kwa lugha ya Kiswahili kutoka Prime Publishers.

Kozi hii imeandaliwa kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya watu wote wenye hitaji la kujifunza graphic design aidha wawe ndo wanaanza kabisa (beginner) au wawe na ufahamu kidogo (intermediate) wa graphic design, kwani mafunzo yameanza kwa kufundisha jinsi ya kutumia program ya adobe photoshop ambayo itatumika katika kudesign na kufundishia kozi hii.
Haya ndio Mambo utakayo jifunza kwenye kozi hii ya graphic design:

1. Photoshop basics: katika kozi hii ya Graphic design, utajifunza kudesign kwa kutumia program ya Adobe photoshop ambayo utapatiwa bure kabisa k**a sehemu ya course bonus, kwa ajili ya kufanyia mazoezi yale utakayofundishwa.

2. Utajifunza jinsi ya kudesign Posters na Flayers kwa kutumia adobe photoshop

3. Utajifunza jinsi ya kudesign Identity card (ID) na business card

4. utajifunza jinsi ya kudesign social media pots ( Instagram, Facebook, youtube na twitter)

5. Utajifunza jinsi ya kudesign Logo mbalimbali za makampuni, mashule na taasisi mbalimbali

6. Utajifunza jinsi ya kudesign vyeti (certificate) mbalimbali

7. Utajifunza jinsi ya kudesign cover za vitabu

8. Utajifunza jinsi ya kupresent kazi mbalimbali kwa kutumia mockups

9. Utajifunza jinsi ya kudesign mockups za simu.

10. Utajifunza jinsi ya kudesign marketing posts yaani matangazo mbalimbali ya mtandaoni.

11. utajifunza jinsi ya kudesign label za bidhaa mbalimbali.

12. utajifunza mambo mengine mengi yanayohusiana na graphics design k**a calendar, bronchures, invoices n.k

13. Utajifunza jinsi ya kutengeneza GIFs kwenye photoshop

14. Utajifunza jinsi ya kutumia ujuzi wako wa graphic design kujiajiri k**a graphic designer na kuanza kujitengenezea kipato.

Kozi Bonus
1. Adobe photoshop CC 2021
2. Microsoft Office 2019
3. Mockups
4. 24/7 Support

Faida ya Kujiunga na Kozi hii

1. Utaweza kujifunza graphic design kwa lugha ya Kiswahili ukiwa kokote kulingana na ratiba zako.

2. Utaweza kupata ujuzi utakao kusaidia uweze kudesign projects kwa ajili ya biashara zako mwenyewe hivyo utaweza kukomboa maelfu ya pesa unazotoa kwa designers.

3. Utaweza kupata ujuzi utakao kuwezesha wewe kujibrand na kujiajiri k**a graphic designer na utaanza kujitengenezea kipato k**a graphic designer
Karibu sana .

Ukipublish kitabu chako leo Amazon, Prime Publishers tutakusaidia kufanya kazi zifuatazo:1. Kuhakiki kitabu2. Kukipanga ...
18/10/2023

Ukipublish kitabu chako leo Amazon, Prime Publishers tutakusaidia kufanya kazi zifuatazo:

1. Kuhakiki kitabu

2. Kukipanga na kukiformat

3. Kudesign cover la kitabu

4. Kukiformat kikizi vigezo vya kukipublish amazon

5. Kukipublish amazon (ebook & paperback)

6. Kukufungulia account ya mwandishi

7. Kuandaa wasifu wa mwandishi na kitabu

8. Kujaza fomu na kukamilisha masuala yote ya kodi USA

9. Kushughulikia na kuunganisha njia za malipo utakazo pokelea pesa yako

10.Kutangaza kitabu chako amazon

11.Kudesign blog ya kitabu chako

12.Kukusaidia kutangaza kitabu chako kupitia mitandao yako ya kijamii

13.Ushauri na kushirikiana na wewe bega kwa bega ,mwanzo mwisho ili upate kazi bora na unayoitaka wewe.

Tupigie simu sasa kupitia:

+255 717 850 979

Je unahitaji kutangaza biashara yako mtandaoni ili uwafikie wateja  wengi?K**a jibu ni ndiyo karibu sana Prime Publisher...
18/10/2023

Je unahitaji kutangaza biashara yako mtandaoni ili uwafikie wateja wengi?

K**a jibu ni ndiyo karibu sana Prime Publishers kwa huduma zote za matangazo ya kulipia mtandaoni yaani sponsored ads

Ukitangaza biashara yako na Prime Publishers tutakupatia huduma zifuatazo:

1. Account setting
2. 2. Sponsored ads
3. Content Creation
4. Customer Targeting
5. Opening Disabled Account

Tupigie simu sasa kupitia:

+255 717 850 979

Tunafurahia kwa pamoja mafanikio ya baadhi ya Waandishi, Watanzania wenzetu. Na leo Pongezi za dhati zinaenda kwa kaka H...
18/10/2023

Tunafurahia kwa pamoja mafanikio ya baadhi ya Waandishi, Watanzania wenzetu. Na leo Pongezi za dhati zinaenda kwa kaka Hamis T Hamsi ambaye tulipublish kitabu chake amazon chenye title “Understand Your Purpose and What School Didn’t Teach You” .

Ahsante sana ndugu Hamis T Hamisi kwa kutuamini Prime Publishers na kutukabidhi kitabu chako tukipublish amazon.

Kila la kheri katika safari ya mafanikio ya kazi zako za uandishi. Ni Imani yangu kitabu chako kitafanya vizuri na kitawafikia watu wengu ulimwenguni kote na utaanza kuvuna matunda ya kazi yako kwa kuongeza kipato, connection mbalimbali ulimwenguni kote na kupata marafiki na kuongeza followers wako kutoka kila kona ya dunia.

Prime Publishers: You are why we publish

For more information on how to publish your book on amazon please call

+255 717 850 979

Follow Prime Publishers

Address

Dar Es Salaam
12110

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Prime Publishers posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share