GMA Business Store

GMA Business Store Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from GMA Business Store, Dar es Salaam.

Pata huduma zifuatazo:

👉🏾 SME Bando za Airtel na Vodacom
👉🏾 POCKET WI-FI za Airtel na Halotel
👉🏾 Laini za Halotel za Chuo/Community/Faith na M2M
👉🏾 Laini za uwakala
👉🏾Lipa Namba mitandao yote

Piga simu namba 0714720001

Nafasi ya kazi kuwa afisa mauzo (sales agent) wa Airtel SME:👉🏾 Umri ni miaka 18 au zaidi👉🏾Kazi unaifanya popote katika m...
26/12/2025

Nafasi ya kazi kuwa afisa mauzo (sales agent) wa Airtel SME:

👉🏾 Umri ni miaka 18 au zaidi
👉🏾Kazi unaifanya popote katika mipaka ya Tanzania
👉🏾Unatakiwa kuwa na smartphone ambayo ni android sio iOS
👉🏾Unatakiwa kuwa na laini ya airtel kwa ajili ya kufanyia hii kazi

Structure ya malipo ya Airtel SME:

💱Nauli 36,000 ukiwa na sales 10 au zaidi kwa wiki.

💱Vocha 40,000 ukiwa na sales 40 au zaidi kwa mwezi

💱New GA kulipwa miezi 4 k**a ifuatavyo:
1. Mwezi wa kwanza 60%
2. ⁠Mwezi wa pili 35%
3. ⁠Mwezi wa tatu 35%
4. ⁠Mwezi wa nne 35%

💱Kamisheni ya Migration ni 20% mwezi mmoja kwa utaratibu ufuatao:
1. Agent kulipwa 20% ya Laini zilizosajiliwa kabla ya Disemba 2025
2. ⁠Migration Laini zitakazosajiliwa kuanzia Disemba 2025 na kuendelea hazitomlipa SSO 20% kamisheni k**a KYC iliyosajili na iliyoiboresha (upgrade) ni KYC mbili tofauti.

Maelekezo ya ziada:
1. SSO kulipwa nauli 36k kwa kufika sales 10 au zaidi hata k**a ni mchanganyiko wa new GAs na migration, au migration zilizotumia KYC tofauti kuanzia Disemba 2025 au zaidi.
2. ⁠SSO pia kulipwa 40K ya vocha hata k**a kuna mchanganyiko wa new GAs na migration.
3. ⁠Fanya new GAs zaidi ili kupata kamisheni kubwa zaidi.

NB: New Gross Adds (GAs) ni laini ambayo imesajiliwa kwa code/access/user ya afisa mauzo na ikawezeshwa kupata menu/bando za SME na mteja akaiwekea kifurushi ndani ya mwezi husika.

Kwa mawasiliano:
📞 +255 788 121 900 au +255 714 720 001
📧 [email protected]

22/10/2025

Airtel Chapakazi Packages
Unalipia 100,000/= Unapata:
✍🏽️Kifurushi bila kikomo [unlimited bundle]
✍🏽️ CUG package kupiga simu bure kwa members
✍🏽️ Kwenye laini zako za airtel GB 20, dakika 2000 na sms 2000
✍🏽️Router bure
✍🏽️Powerbank bure
✍🏽️Chaja bure
✍🏽️Ethernet waja bure
✍🏽️Installation and servicing bure
✍🏽️Delivery bure [Dar es Salaam tu]

Zipo pia packages za juu ya hapo unapata ofa kubwa zaidi.

Karibu sana

Yas Portable CPE RouterBei ni 105,000/= mwezi wa kwanza unapata full package:1. Router bure2. Internet bure mwezi mzima3...
08/10/2025

Yas Portable CPE Router
Bei ni 105,000/= mwezi wa kwanza unapata full package:
1. Router bure
2. Internet bure mwezi mzima
3. Chaja bure
4. Powerbank 4000 mAh
5. Ethernet wire bure

Sifa zake:
1. Inauga watu 32 maximum
2. Speed kuanzia 10mbps package ya 70k na 20mbps package ya 100k
3. Range ya mita 100 inafika.

Mawasiliano: 0714720001

Airtel Prepaid SMEHizi ni bando za SME unapata kwa gharama nafuu zaidi. Kuipata hiyo bando unatakiwa kuwa na namba ya ai...
31/08/2025

Airtel Prepaid SME

Hizi ni bando za SME unapata kwa gharama nafuu zaidi.

Kuipata hiyo bando unatakiwa kuwa na namba ya airtel, namba yako isiwe ya lipa namba wala usiwe ya uwakala.

1. Uwe na TIN namba (k**a huna nakutengenezea bure)

2. Ujiwekee vocha ya bando unayotaka kununua mwenge laini yako ya Airtel

3. B.L

Mawasiliano piga 0788121900

Kwa maelekezo zaidi piga simu namba 0788121900
21/08/2025

Kwa maelekezo zaidi piga simu namba 0788121900

Nafasi za kazi kuwa sales agent wa Airtel SME.Kazi hii inahusu kuuza vifurushi vya Airtel SME kwa wafanyakazi na wafanya...
21/08/2025

Nafasi za kazi kuwa sales agent wa Airtel SME.
Kazi hii inahusu kuuza vifurushi vya Airtel SME kwa wafanyakazi na wafanyabiashara wa kati na wadogo.
Kwa mawasiliano zaidi piga namba 0788121900

17/07/2025
24/06/2025
Kwa mawasiliano zaidi 0788121900
24/06/2025

Kwa mawasiliano zaidi 0788121900

Hizi ni bando za SME unapata kwa gharama nafuu k**a unavyoona hapo.Kuipata hiyo bando unatakiwa kuwa na namba ya airtel,...
15/05/2025

Hizi ni bando za SME unapata kwa gharama nafuu k**a unavyoona hapo.

Kuipata hiyo bando unatakiwa kuwa na namba ya airtel, namba yako isiwe ya lipa namba wala usiwe ya uwakala.
👉🏾 Uwe na TIN namba (k**a huna nakutengenezea bure)
👉🏾 Majina matatu
👉🏾 Ujiwekee vocha ya bando unayotaka kununua hapo.

Address

Dar Es Salaam

Telephone

+255714720001

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when GMA Business Store posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share