Alex cyprian

Alex cyprian Graphics designer, photographer and video creator

Najua ni kwa namna wanakuacha ukitukana matusi yote😂
22/02/2026

Najua ni kwa namna wanakuacha ukitukana matusi yote😂

Happy SundayLuka 8:17
22/02/2026

Happy Sunday
Luka 8:17

21/02/2026

Kuna tofauti kubwa kati ya IMPRESSION na REACH, Wengine wamekua wakichanganya haya maneno mawili.
IMPRESSION ni mara ngapi Tangazo au post yako mtu Mmoja ameona.
REACH ni idadi ya watu walioona Tangazo au Post.
Follow kwa tips k**a Hizi!

Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini account za udaku, michezo na burudani huwa zinakua kwa haraka sana na kupata follower ...
20/02/2026

Hivi ulishawahi kujiuliza kwanini account za udaku, michezo na burudani huwa zinakua kwa haraka sana na kupata follower ndani ya kipindi kifupi?

20/02/2026
20/02/2026

Hizi ndio mbinu 3 nzuri unapaswa kutumia unapotaka kukua kibiashara katika mitandao ya kijamii!

19/02/2026

Wafanyabiashara wengi bado wanatumia PRE-PAID PAYMENT bila kujua kuna njia rahisi zaidi POST-PAID PAYMENT kwenye Meta Ads.
✅ Ads zinaendelea bila interruption
✅ Algorithm inapata data vizuri
✅ Performance ya matangazo inaongezeka
✅ Unalipa baadae kulingana na matumizi
Ukihitaji matangazo yako yawe stable na yaletee matokeo halisi, huu ni mfumo unaotakiwa kuanza kutumia leo.

❓ Unalalamika biashara haisogei… lakini unaogopa Sponsored Ads?❓ Unataka wateja wapya… lakini hutaki kuwekeza hata elfu ...
17/02/2026

❓ Unalalamika biashara haisogei… lakini unaogopa Sponsored Ads?
❓ Unataka wateja wapya… lakini hutaki kuwekeza hata elfu 10 kwenye matangazo?
❓ Unapost kila siku… halafu unasubiri miujiza itokee?
Biashara ni vita ya kuonekana.
K**a huwekezi kwenye matangazo, usishangae mauzo yakilala.
Chagua moja:
👉 Kuogopa kutumia pesa
AU
👉 Kukua na kupata wateja wapya kila siku 🔥
Call/ Whatsapp: 0738321502

Pamoja na yote ya kufanya katika kazi zako usiache kuiombea biashara yako/ Huduma.Mara ya mwisho kuomba kibali kwa Mungu...
15/02/2026

Pamoja na yote ya kufanya katika kazi zako usiache kuiombea biashara yako/ Huduma.
Mara ya mwisho kuomba kibali kwa Mungu kwa ajili ya biashara yako au huduma unazotoa ni lini? Au tukuache😃
Anyways, HAPPY SUNDAY FAM!

Wafanyabiashara wengi wanapost kila siku wakitarajia kuuza papo hapo… lakini mauzo hayaonekani. 😮‍💨Tatizo si bidhaa yako...
14/02/2026

Wafanyabiashara wengi wanapost kila siku wakitarajia kuuza papo hapo… lakini mauzo hayaonekani. 😮‍💨
Tatizo si bidhaa yako — tatizo ni hatua unazoruka kwenye safari ya kupata wateja online/mtandaoni au kuuza!
Save, Share kisha Follow upate tips zaidi

Address

Tabata Kinyerezi
Dar Es Salaam
255

Telephone

+255688420988

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Alex cyprian posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Alex cyprian:

Share