29/11/2023
CAF CONFEDERATION STANDING 📊…
✍️Baada ya Mechi za mkondo wa kwanza wa Kombe la Shirikisho Afrika na hapo inayoonyesha ni misimamo ya makundi yote manne…
✍️Sasa tunasubir mechi za Mko ndo wa pili zitakazopigwa wiki ijayo kwenye viwanja mbalimbali..
✍️Usm Alger wameanza kwa kishindo ikumbukwe kua Klabu hiyo Ndio Bingwa mtetezi wa kombe hilo baada Ya kucheza Fainali na Klabu ya Yanga kutoka Tanzania na Kuwafunga huko Algeria….
✍️Sasa je Watachukua tena?..au bado mapema kusema hivyo juu yao?
✍️Dondosha Coment yako hapo chini ili tuweze kushare mawazo….
Manyara Sports Management CAF champions league & Confederation Cup