01/01/2026
Tar 19/12/2025 nilijiambia wazi kabisa..
๐ Mwezi January natakiwa nispend almost $400 tu kwa Ads.
Swali likawa moja..
Nifanye nini nipate 1M ndani ya hizi siku 10 zilizobakia..?
Nikakumbuka kanuni ya msingi ya kutimiza malengo:
โ Sio BAHATI
โ
Ni KUELEWA
Kanuni 2 Muhimu.. Ni Kujua
1. Nataka nini EXACTLY?
2. Nifanye nini nipate ninachokitaka?
๐ Tafsiri yake ni moja..
Bila "CLARITY" hakuna goal inakamilika.
Baada ya hapo nikatumia FORMULA moja kali sana "REVERSE ENGINEERING"!
Formula hii ilinisaidia kuvunja lengo langu vipande vipande ๐
Ili nipate 1M, natakiwa kuingiza ngapi kwa siku?
Natakiwa kuuza bidhaa/huduma ngapi?
Nifanye nini nipate mteja wa 1, 2, 3โฆ hadi 10?
Nilichofanya kwa ufupi:
โ๏ธ Ili niingize 1M
๐ Natakiwa kuuza bidhaa 10 kwa wateja 10 tu
โ๏ธ Ili nipate wateja 10
๐ Natakiwa nipate watu 100 walio-QUALIFY
๐ Nizungumze nao simu moja kwa moja
โ๏ธ Kwenye kila watu 10
๐ Mtu 1 lazima anunue
Swali la muhimu:
Hawa watu 100 wanatoka wapi?
โก๏ธ Nililipia Ads
โก๏ธ Nikachuja
โก๏ธ Nikapata watu sahihi
โก๏ธ Nikazungumza nao
โก๏ธ Nikafunga mauzo
๐ฅ Hivyo tu! BOOM ๐ฅ 1M iko mezani
๐ก Mwezi huu nimeamua kuitumia pesa hii kuunda malengo mapya ya January.
Kwanini Nimeandika Haya Yote? Kwasababu Wengi Tunapanga Malengo Yanashindwa Kutimia Kwasababu Hayapo Clear...
Swali kwako..
UMEJIFUNZA NINI KUTOKA HAPA?
Niambie hapa chini ๐๐ฌ