Mkono wa thamani

Mkono wa thamani ni mkono wa thamani kusaidia watoto

19/11/2025
11/11/2025

Unatamani kuilinda bidhaa yako dhidi ya vumbi au unyevunyevu wakati kuihifadhi au kusafirisha?
Tucheki tukuwekee liner

06/11/2025
⚠️⚠️Hatumiliki brand yoyote inayoonekana pichani.
06/11/2025

⚠️⚠️Hatumiliki brand yoyote inayoonekana pichani.

24/10/2025

Behind TheScenes
Kumbe Content creation ni mchakato.

23/10/2025

Ni muhimu kufahamu aina ya vifungashio au viroba vinavyofaa kwa matumizi ya bidhaa yako. Aina moja ya kiroba haiwezi kufaa kwa ajili chakula, nafaka, mbolea, mkaa nakadhalika.

⚠️⚠️Hatumiliki brand yoyote inayoonekana kwenye video hii.

22/10/2025

Je wajua? Kupitia printing wateja wako wanapata taarifa za muhimu kuhusu bidhaa yako. Ikiwemo expire date, ujazo, mawasiliano yako pamoja na yaliyomo kwenye bidhaa. Taarifa hizi humuwezesha kufanya maamuzi tena ya kuendelea kuchagua bidhaa yako kila inapokuwepo sokoni.

Hujachelewa kuprint na sisi.
Tupigie leo tukuhudimie.

17/10/2025

Jitihada zetu ni kuhakikisha unalifikia soko lako vizuri kwa kukuprintia kwa ubora na wakati. Kwetu utapata mifuko na viroba vya ukubwa tofauti ili kukidhi mahitaji yako.

Karìbu tukuprintie!
Kwa maulizo tupigie

15/10/2025

Una bidhaa gani? Tuna print viroba na vifungashio vya matumizi mbalimbali kuanzia bidhaa za ujenzi, chakula, kilimo, mifugo au hata manunuzi ya sokoni.

Karibu uprint na sisi. Kwa ubora wa kazi, kasi na uzoefu

Address

Bondeni Mbez
Dar Es Salaam
57

Opening Hours

Monday 00:00 - 00:15
Tuesday 00:15 - 00:00
Wednesday 00:00 - 00:15
Thursday 00:00 - 00:15
Friday 00:00 - 00:15
Saturday 00:00 - 00:15
Sunday 00:00 - 00:15

Telephone

+255678301442

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mkono wa thamani posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share