New HOPE Ministry

New HOPE Ministry This is an outreach ministry located in mwanza Tanzania. Anybody can join from any church, any country. Our purpose is to preach the Gospel

Mwaka mpya ukawe wenye baraka. Mungu akupe fursa mpya
02/01/2023

Mwaka mpya ukawe wenye baraka. Mungu akupe fursa mpya

Tuendelee kukumbuka siku ya kuzaliwa Bwana wetu Yesu kristo
27/12/2022

Tuendelee kukumbuka siku ya kuzaliwa Bwana wetu Yesu kristo

11/09/2017

Ukiota na ukaona nyoka anaingia eneo lako la kazi, ujue kuna udanganyifu katika kazi yako eidha ni wewe ama wafanyakazi wenzako wanafanya udanganyifu.

MWANZO 3:1-6 nyoka alipoingia bustani ya edeni ambayo adamu alipewa kazi hapo na Mungu kwamba aipalilie na kuitunza, alikuja na udanganyifu katika bustani hiyo.

K**a hadi utaamka usingizini nyoka yule hakutoka kwenye sehemu hiyo ya kazi, ujue muda si mrefu utafukuzwa kazi kwa sababu ya udanganyifu.

MWANZO 3:23-24 Bwana Mungu alimfukuza adamu kutoka kwenye bustani ambayo alipewa kibarua cha kupalilia na kulipwa mshahara wa matunda yote ya bustani hiyo, sasa akapelekwa huko akataabike, lakini nyoka hakufukuzwa kwenye bustani ile, hivyo uwepo wa nyoka bustanini mwa eden ndio ulisababisha Adam kufukuzwa humo.

06/09/2017

Mwezi 11/2017 nitakuwa nahubiri mkutano mjini johanessbarg nchini Africa kusini. Nitawafahamisha tarehe za mkutano. Endeleeni kutuombea

Huyu ndugu Bwana yesu alimponya alikuja kwenye mkutano akiwa anaumwa kifua na kutapika damu, baada ya Maombi alipona hap...
04/09/2017

Huyu ndugu Bwana yesu alimponya alikuja kwenye mkutano akiwa anaumwa kifua na kutapika damu, baada ya Maombi alipona hapohapo. Yesu anatenda kazi

Miongoni mwa waliompkea Bwana Yesu tulipokuwa tunahubiri huko kijijini lumonge nchini Burundi 20/08/2017
04/09/2017

Miongoni mwa waliompkea Bwana Yesu tulipokuwa tunahubiri huko kijijini lumonge nchini Burundi 20/08/2017

Baadhi ya watu waliompokea yesu tulipokuwa tunahubiri huko bariadi mkoani simiyu.
04/09/2017

Baadhi ya watu waliompokea yesu tulipokuwa tunahubiri huko bariadi mkoani simiyu.

04/09/2017

Praise the Lord, we are very happy to let you know 10/17/2017 we will be preaching in Bujumbura Burundi again. Keep praying for us

08/11/2016

brothers and sisters, we are going to preach to Burundi this december, then january we are going to kenya, please keep praying for us

13/06/2016

Mungu Hakuangaika Kumzuia Sauli Asimtese Daudi BALI Alihangaika Kumlinda Daudi Asidhuriwe Na Sauli.
Hakumzuia Daniel kuingizwa ktk tundu la simba bali aliwageuza simba kuwa rafiki zake.!
Hakuwazuia Shedrak, Meshak na Abednego kutupwa ktk tanuru bali alizuia moto usiwaunguze.!!
Hata Wewe Mungu Hatazuia Maadui Wasikufuatilie BALI Atakulinda Maadui Wasikushinde.
TEGEMEA ULINZI NA USHINDI WA MUNGU MBELE YA ADUI ZAKO WOTE.
Mungu Akubariki Na Kukutunza.
AMEN.!!

24/11/2015

Join our ministry whatsapp group. Coment your whatsapp number here the we will add you to the group.

26/10/2015

Tunaendelea na maombi kwamba nchi iwe na amani wakati huu wa uchaguzi. Mungu irehemu Tanzania

Address

Dar Es Salaam
255

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when New HOPE Ministry posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share