12/06/2013
Serikali ya wanafunzi Dasjoso inapenda kuwataarifu wale wote walioomba hati za kusafiria ziara ya kimasomo Kenya kuwa awamu ya kwanza ya Hati hizo zimetoka leo
12/6/2013...Hivyo unaombwa kufika ofisini kuchukua pasport yako au wasiliana waziri wa Elimu Kichere Daudi Mataro.
Wafuatao waje kuchukua Hati zao za kusafiria.
1.JANETH STEPHEN BANNALI
2.FRANK RENATUS MEZA MEZA
3.KIIZA HUSSEIN SUNGURA
4.JAZILA SHABAN MRUTU
5.MARY AIDAN CHIFWILA
6.REVINA JOHN LAZARO
7.FRANK MIHAYO KAYAGILA
8.AVEMARIA ADRIAN LUHIMBO
9.BRIGITA HENRY MSASALAGA
10.ENANCE AJACKSON MREMA
11.EPHRAM WILLIAM MPINGA
12.ROGATHE FREDRICK MANGESHO