Boda2bodatv

Boda2bodatv ukurasa huu ni wa taarifa za habari tu.. https://www.youtube.com/channel/UCIJ6x3aA_VMfJx7kzXvAhIA/

Serikali imezindua na kukabidhi boti maalum ya uokoaji na kuzima moto yenye thamani ya Sh bilioni 1.5, ikiwa ni hatua ya...
26/09/2026

Serikali imezindua na kukabidhi boti maalum ya uokoaji na kuzima moto yenye thamani ya Sh bilioni 1.5, ikiwa ni hatua ya kuongeza uwezo wa kukabiliana na majanga katika Ziwa Nyasa.

Boti hiyo ina injini mbili zenye nguvu ya Horse Power 250 kila moja, uwezo unaolenga kuimarisha kasi na ufanisi wa operesheni za uokoaji na uzimaji moto majini.

Akizungumza wakati wa uzinduzi uliofanyika mjini Mbambabay,Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Brigedia Jenerali Ahmed Abbas Ahmed, amesema uwekezaji huo ni sehemu ya juhudi za Serikali kuboresha huduma muhimu, ikiwemo usafiri wa majini na mifumo ya kukabiliana na majanga. โ€” in Ruvuma, Tanzania.

MBOMBO!!โ€ฆโ€ฆโ€ฆ..Huyu Mheshimiwa Waziri Dr. Dorothy Gwajima nampenda vepee!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ maana aninifurahisha sana unavyokuja ndivyo ...
24/09/2026

MBOMBO!!โ€ฆโ€ฆโ€ฆ..Huyu Mheshimiwa Waziri Dr. Dorothy Gwajima nampenda vepee!๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ maana aninifurahisha sana unavyokuja ndivyo anavyokupokea sio shida zake๐Ÿ˜‚

Sasa jifanye chizi kwenye post zake na yeye atakujibu k**a chizi unavyotaka anataka๐Ÿ˜‚โœ…

PYEE!! gwajimad

๐Ÿšฉ ๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : UEFA Nations League PORTUGAL ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น 1๏ธโƒฃโž–๏ธ0๏ธโƒฃ WALES ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ท๓ ฌ๓ ณ๓ ฟโšฝ๏ธ 22" Joao Felix
24/09/2026

๐Ÿšฉ ๐…๐”๐‹๐‹ ๐“๐ˆ๐Œ๐„ : UEFA Nations League

PORTUGAL ๐Ÿ‡ต๐Ÿ‡น 1๏ธโƒฃโž–๏ธ0๏ธโƒฃ WALES ๐Ÿด๓ ง๓ ข๓ ท๓ ฌ๓ ณ๓ ฟ
โšฝ๏ธ 22" Joao Felix

"nimekuwa nasikia sana eti oooh Wadada Wa singida sisi ni Malaya ndo maana kazi zetu ni baamedi, sawa sikatai, umewahi k...
24/09/2026

"nimekuwa nasikia sana eti oooh Wadada Wa singida sisi ni Malaya ndo maana kazi zetu ni baamedi, sawa sikatai, umewahi kujiuliza kwanini sisi ndo tuna tafutwa kuwa Baamed?

Sisi ni Warembo, na waume Zenu Wana penda wakija baa wanywe huku wana safisha macho, sisi ni kivutio Kwa sababu singida ndo Mkoa unao ongoza kutoa wanawake Warembo

Halafu niwaambie na kitu kingine, Wahudumu wengi kwenye makampuni ya Ndege hapa Tanzania ni Wadada kutoka singida halafu wana fuatiwa na Wachaga, hiyo ni Siri nimewapa

Wanawake kutoka singida Tukigomea kazi ya Baamed Baa nyingi Zita Fungwa Kwa kukosa wateja"

๐Ÿ—ฃ๏ธ Amesema Femi muigizaji Wa Jua Kali

Kuna ukweli hapa?

โ€” ๏ฟผfeeling wonderful in Dar es Salaam.

23/09/2026
"Naomba huyu aliyetumwa kuandika huu ujumbe aweke record sawa. Vita na Mimi HAKUSHINDA ila alibebwa kwa mbeleko. Walikaa...
23/09/2026

"Naomba huyu aliyetumwa kuandika huu ujumbe aweke record sawa. Vita na Mimi HAKUSHINDA ila alibebwa kwa mbeleko. Walikaa, wakajua hawezi kushinda ndio maana wakakata jina. Arusha ingekuwa zaidi ya Kigamboni.
Kushinda maana yake angeshindanishwa. Nifuatilie vizuri!". - Ameandika Mrisho Gambo, Mbunge wa zamani wa Arusha Mjini (CCM)


Nyota wa Kimataifa wa Misri, Mohammed Salah  hii leo amefanikiwa kupachika mabao (3) na kutoa pasi moja ya bao kwenye us...
19/09/2026

Nyota wa Kimataifa wa Misri, Mohammed Salah hii leo amefanikiwa kupachika mabao (3) na kutoa pasi moja ya bao kwenye ushindi wa timu yake ya Trabzonspor, ilipoinyuka Galatasaray bao 4-1 kwenye mchezo wa Logi kuu ya Uturuki.

Mwamba wa moto...

Msomaji wa Qurโ€™ani kutoka Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ na Qari wa Kimataifa, Fardan Adam, ameanza safari ya kurejea nyumbani akiwa pamoja...
19/09/2026

Msomaji wa Qurโ€™ani kutoka Tanzania ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ na Qari wa Kimataifa, Fardan Adam, ameanza safari ya kurejea nyumbani akiwa pamoja na mke wake, ambaye anatoka Jakarta, nchini Indonesia ๐Ÿ‡ฎ๐Ÿ‡ฉ .

Fardan Adam alifunga ndoa na mwanadada huyo Septemba 15, 2026, katika tukio lililowaunganisha watu kutoka Tanzania na Indonesia.

Kwa mujibu wa taarifa zilizotolewa, sherehe ya ndoa upande wa Tanzania inatarajiwa kufanyika Septemba 29, 2026, katika Kijiji cha Kashi, Kondoa mkoani Dodoma.

Hatua hiyo imepokelewa kwa furaha na pongezi kutoka kwa ndugu, jamaa na watu mbalimbali, huku wengi wakimtakia Qari Fardan Adam na mke wake maisha mema ya ndoa yenye amani, upendo na baraka.

Hongera Qari Fardan Adam na mke wako! ๐ŸŽ‰๐Ÿ’

๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

18/09/2026

huu ndio utani wa jadi mzuri
pleas like comment and sub cribe



๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

Address

Https://www. Youtube. Com/channel/UC5tZ1NwYVjZFdrFLjefjNmQ/
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Boda2bodatv posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share