Quality printers & Office supplies

Quality printers & Office supplies OFFERING
✅ EPSON PRINTER
✅ CANON PRINTER
✅ COMPUTER
✅ HEAT PRESS MACHINE
✅ COLD LAMINATION

📍 Kariakoo, Dar es Salaam - Muhonda & Ndanda St.

Call/WhatsApp +255 (0) 743 306 589

Your trusted partner for all printing needs

06/05/2026

✅Mashine hii inaweka picha au maandishi kwenye vifaa kwa kutumia joto na shinikizo.

✅Inafaa kwa kuprinta kwenye t-shirt, jezi,, na bidhaa ndogo ndogo.

✅Ni ndogo (mini) lakini ina nguvu ya kutosha (mighty) kuhamisha rangi kutoka karatasi ya sublimation hadi kwenye kitengo cha mwisho.

✅Material Zinazoweza Kutumika:
T-shirt / jezi: hasa zenye polyester au mchanganyiko wa polyester (100% polyester inafaa zaidi kwa sublimation).

✅Vifaa vya plastiki: inayoingiliana na sublimation coating.

✅Inafaa kwa kuweka nembo au maandishi kwenye chupa(ceramic mugs): ikiwa na coating maalum ya sublimation.

✅Chaguo nyingine ndogo: k**a vile keychains, phone cases, na puzzles ndogo zilizofunikwa kwa coating ya sublimation.

🔥Ufafanuzi muhimu: Mashine hii haipakii rangi moja kwa moja, inatumia karatasi ya sublimation ambayo rangi imechapishwa kwanza, kisha mashine hii inapiga moto na shinikizo kuhamisha rangi kwenye kitu cha mwisho.
WASILIANA NASI LEO KWA MAHITAJI AU MAELEZO ZAIDI, TUNAPATIKANA DAR ES SALAAM KARIAKOO MTAA WA & NDANDA AU TUPIGIE KWENYE 0743 306 589

24/04/2026

UNATAFUTA VIFAA BORA KWA AJIRI YA KUANZA AMA KUENDELEZA BIASHARA YAKO YA PRINTING? SOMA HAPA CHINI👇👇

Cutting plotter ni kifaa cha kisasa kinachoweza kufanya kazi nzuri ya kukata stickers kwa haraka na kwa ubora wa juu. Hapa ni baadhi ya kazi zinazofanywa na cutting plotter ambazo zitakufaa k**a una biashara au unapenda kufanya kazi za kipekee:

1. Kukata Stickers za Kuweka Kwenye Jezi na T-shirt 👕
Cutting plotter inakuwezesha kutengeneza stickers za kipekee za kubandika kwenye jezi na T-shirt. Ikiwa unataka kufanya branding kwa timu yako ya soka, au kutengeneza design za kipekee kwa wateja wako, plotter itakuwa mkombozi wako.
Mfano: Kutengeneza stickers za logo za timu, majina, au ujumbe maalum kwa jezi na t-shirt.

2 Kukata Stickers za Kutangaza Biashara
K**a unamiliki shop, saloon, car wash, au resta, cutting plotter itakuwezesha kutengeneza stickers za kubandika kwenye magari yako, maduka, na vifaa vyako vya biashara ili kuvutia wateja.
Mfano: Kukata stickers za magari za logo ya biashara yako, alama za mtaa, au matangazo ya biashara.

3. Kukata Stickers za Kuweka Kwenye Vifaa vya Elektroniki
Cutting plotter pia ni nzuri kwa kufanya stickers za vifaa k**a smartphones, laptops, na tablets. Hii ni njia nzuri ya kutoa urembo kwa vifaa vyako vya kielektroniki au kufanya branding. Mfano: Kutengeneza stickers za laptops au stickers za simu za kibiashara au za kibinafsi.

4.Kukata Alama za Biashara (Signage)
Ikiwa unataka kutengeneza alama za biashara yako, k**a banner, poster, au sticker za ofisi, cutting plotter itakusaidia kukata kwa usahihi na ubora wa juu. Mfano: Banner za maduka au stickers za mlango wa ofisi.

5.Uundaji wa Stickers za Kipekee
Cutting plotter inaruhusu kufanya stickers za maumbo ya kipekee kwa michoro na muundo wowote. Hii ni muhimu kwa wale wanaotaka kuunda stickers ambazo si za kawaida. Mfano: Stickers za kumbukumbu za harusi, birthday stickers, au stickers za biashara za kipekee.

6. Kukata Stickers za Kuandika
Ukiwa na cutting plotter, unaweza kukata stickers za maneno k**a "sale", "open", au ujumbe mwingine wowote wa tangazo kwenye maduka yako. Mfano: Kutengeneza stickers za "OPEN" au stickers za matangazo ya ofa kwa wateja.

🔥Kwa nini Cutting Plotter Inakufaa?

✅Haraka na Rahisi: Inakusaidia kufanya kazi kwa haraka na bila usumbufu, hasa k**a unahitaji kubuni stickers nyingi kwa wateja.

✅Ubora wa Juu: Inakupa matokeo bora ya stickers na michoro, kwa hiyo wateja wako watapenda sana.

✅Ubunifu wa Kipekee: Unaweza kuunda maumbo, michoro, na maandiko ambayo hayapo sehemu nyingi wene!.
KWA MAELEZO ZAIDI KUHUSU NAMNA YA KUTUMIA KIFAA HIKI TAFADHAL TUTAFUTE KUPITIA WHATSAPP+255(0)743306589 AU FIKA OFSINI KWETU DAR ES SALAAM KARIAKOO MTAA WA MUHONDA & NDANDA

"Unataka Mafanikio? Hii Ni Fursa Yako Ya Kipekee!"Vifaa Bora vya Uchapaji na Mashine za Kisasa Zote Hizi kwa Bei Nafuu!T...
12/03/2026

"Unataka Mafanikio? Hii Ni Fursa Yako Ya Kipekee!"

Vifaa Bora vya Uchapaji na Mashine za Kisasa Zote Hizi kwa Bei Nafuu!
Tunavyo vifaa vya uchapaji vyenye ubora wa hali ya juu kwa bei inayoshangaza. Pata mashine zako za Heat Press, Plotter Cutter, na Cold Lamination sasa!

🔥 Single Flat Heat Press Machine - 650,000 TZS

🔥 5 in 1 Heat Press Machine - 610,000 TZS

🔥 8 in 1 Heat Press Machine - 670,000 TZS

🔥 Cup Heat Press Machine (Kwa Vikombe) - 350,000 TZS

🔥 Cap Heat Press Machine - 550,000 TZS

🔥 Plotter Cutter - 820,000 TZS

🔥 Cold Lamination - 240,000 TZS

💡 Kuboresha Biashara yako kwa teknolojia ya kisasa na vifaa vya uchapaji vya nguvu!
Usikose fursa hii ya kuongeza tija na ubora kwenye bidhaa zako.
📞 Wasiliana nasi leo na hakikisha unapata mashine yako!
QUALITY PRINTERS, YOUR PRINTING PARTNER FOR ALL YOU PRINTING NEEDS

🌟 Canon G3410 & G2410 Printers – Ubora wa Uchapa kwa Matokeo Mazuri na kazi endelevu 🔹 Kuchapa Picha BoraCanon G3410 na ...
10/02/2026

🌟 Canon G3410 & G2410 Printers – Ubora wa Uchapa kwa Matokeo Mazuri na kazi endelevu

🔹 Kuchapa Picha Bora
Canon G3410 na G2410 hutoa ubora wa juu wa picha, ukifanya picha zako kuwa wazi na za rangi kamili.

🔹 Multi-Functionality kwa Biashara na Nyumbani
Print – Uchapa haraka na ubora wa juu kwa picha, nyaraka, na zaidi.

Scan – Rahisi kuscan nyaraka zako na kuziweka kwenye kompyuta au kifaa chako chochote.
Copy – Nakili nyaraka kwa ubora na ufanisi, bila usumbufu wowote.

🔹 Kifaa cha Wazi na Rahisi Kutumia
Muunganisho wa WIFI: Wezesha uchapaji bila kujali mahali ulipo, kwa kutumia simu yako au kompyuta.

✅Muunganisho wa USB: Wasiliana kwa urahisi na kifaa chochote cha kawaida.
Eco-friendly Ink System: Inatumia matank ya ink ya bei nafuu, hukusaidia kupunguza gharama za uchapaji kwa muda mrefu.

🔹 Kufanya Kazi kwa Kasi
Canon G3410 & G2410 ziko na kasi ya uchapaji ya haraka. Hii inahakikisha utapokea nyaraka zako kwa haraka, bila kupoteza muda.

🔹 Imara na Imara kwa Biashara
Hizi ni printers zinazoweza kustahimili kazi nyingi kwa ufanisi. Hivyo, k**a unahitaji printer kwa ofisi, biashara au matumizi binafsi, Canon ni chaguo lako bora!

📍 Location: Dar es Salaam, Kariakoo, Mtaa wa Muhonda & Ndanda
📞 Piga Simu au WhatsApp: 0743306589 kwa ushauri, bei na maelezo zaidi.

06/02/2026

USIKOSE PUNGUZO HILI KUBWA LA BEI 🔥 🔥 🔥 🔥

EPSON PRINTERS L3210 ,L3250 ,3251 .

Zote hizi printer zinakupa faida zinazofanana:

✅ 3-in-1 → Print | Scan | Copy
✅ Ubora wa juu wa printing hadi 5760 × 1440 dpi

✅ Gharama nafuu – Wino wake unadumu, chupa moja inaweza kuchapa hadi 6200 kurasa za rangi na 8100 kurasa nyeusi

✅ Uchapishaji wa kasi – Inafaa kwa ofisi, stationery na matumizi ya shule

✅ Rahisi kuunganisha – zina WiFi & WiFi Direct (zinaweza kuchapa moja kwa moja kutoka simu au computer) isipokuwa L 3210 (haina WiFi)

✅ Uaminifu na uimara – Printer zinazodumu muda mrefu bila matatizo makubwa

✅ EcoTank Technology – Hakuna cartridges, mfumo wa tanki kubwa za wino unarahisisha kazi na kupunguza gharama

✅*Uunganishaji USB cable + wireless 🛜 🛜*

✅Printer zote zina uwezo wa kuchapisha size za karatasi tofaut tofaut k**a vile A4 ,A5 & A6

PUNGUZO!!!
🟣 3210.................360,000
🟣 3250................380,000
🟣 3251....................390,000

🚛🚛 KUMBUKA KUNA HUDUMA YA KUTUMA MIZIGO NZIMA .

Fika sasa ujipatie printers Bora kwa ajiri ya biashara yako au matumiz yako binafsi,

🌐🌐Tunapatkana Dar es salaam kariakoo mtaa wa muhonda & ndanda au tupgie simu / WhatsApp 0743 306 589 743306589
FM TECHNOLOGY your partner for all your printing needs.

06/02/2026

USIKOSE PUNGUZO HILI KUBWA LA BEI🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

EPSON PRINTERS L3210 ,L3250 ,3251 .

Zote hizi printer zinakupa faida zinazofanana:

✅ 3-in-1 → Print | Scan | Copy
✅ Ubora wa juu wa printing hadi 5760 × 1440 dpi

✅ Gharama nafuu – Wino wake unadumu, chupa moja inaweza kuchapa hadi 6200 kurasa za rangi na 8100 kurasa nyeusi

✅ Uchapishaji wa kasi – Inafaa kwa ofisi, stationery na matumizi ya shule

✅ Rahisi kuunganisha – zina WiFi & WiFi Direct (zinaweza kuchapa moja kwa moja kutoka simu au computer) isipokuwa L 3210 (haina WiFi)

✅ Uaminifu na uimara – Printer zinazodumu muda mrefu bila matatizo makubwa

✅ EcoTank Technology – Hakuna cartridges, mfumo wa tanki kubwa za wino unarahisisha kazi na kupunguza gharama

✅*Uunganishaji USB cable + wireless 🛜 🛜*

✅Printer zote zina uwezo wa kuchapisha size za karatasi tofaut tofaut k**a vile A4 ,A5 & A6

PUNGUZO!!!
🟣 3210.................360,000
🟣 3250................380,000
🟣 3251....................390,000

🚛🚛 KUMBUKA KUNA HUDUMA YA KUTUMA MIZIGO NZIMA .

Fika sasa ujipatie printers Bora kwa ajiri ya biashara yako au matumiz yako binafsi,

🌐🌐Tunapatkana Dar es salaam kariakoo mtaa wa muhonda & ndanda au tupgie simu / WhatsApp 0743 306 589 743306589
FM TECHNOLOGY your partner for all your printing needs.

BEI SAFI 💵💵💵💵 ANZA /BORESHA BIASHARA YAKO YA STATIONERY/PRINTING KWA KUJIPATIA MASHINE NA MATERIALS YENYE UBORA WA JUU N...
06/02/2026

BEI SAFI 💵💵💵💵 ANZA /BORESHA BIASHARA YAKO YA STATIONERY/PRINTING KWA KUJIPATIA MASHINE NA MATERIALS YENYE UBORA WA JUU NA KWA BEI NAFUU KUTOKA KWETU ,JIPATIE VIFAA MBALI MBALI K**A VILE:

---

🔥🔥EPSON PRINTERS

✅ L3210 – TZS 360,000

✅ L3211 – TZS 360,000

✅ L8100 – TZS 1,150,000

✅ L3250 – TZS 390,000

✅ L4260 – TZS 740,000

✅ L2170 – TZS 850,000

✅ L8050 – TZS 830,000

✅ L3170 – TZS 950,000

✅ L5290 – TZS 950,000

✅ L14150 – TZS 1,350,000A3+

✅ L18050 – TZS 1,690,000A3+

✅11050. ...TZS. 1300,000 A3+

✅15150......TZS.2200000. A3+

---

🔥🔥CANON PRINTERS

✅ MG2540s – TZS 160,000

✅ MG2541s – TZS 160,000

✅ TS3340 – TZS 230,000

✅ TS3440 – TZS 230,000

✅ TR4640 – TZS 250,000

✅ TS5340a – TZS 250,000

✅ G2420 – TZS 370,000

✅ G2410 – TZS 370,000

✅ G3410 – TZS 390,000

---

🔥🔥VIFAA VINGINE

✅ Heat Press Machines
- Mugs Press – TZS 350,000

- Caps Press – TZS 550,000

- 5 in 1 – TZS 600,000

- 8 in 1 – TZS 670,000

✅ Plotter Cutter (2 Feet) – TZS 825,000

✅ Vinyl Stickers
- 1 Box (25M) – TZS 185,000
- Kukata kwa Mita 1 – TZS 9000

✅ Roller
- Sugar Material – TZS 75,000
- 3D Material – TZS 75,000
- Plain Material – TZS 75,000

✅ Laminator – TZS 100,000

✅ ID Cutter – TZS 70,000

✅ Mugs/Vikombe
- White – TZS 3,500
- Black – TZS 5,000

✅ Sublimation Paper (100 pcs) – TZS 25,000
✅ Dark heat transfer (10 pcs). TZS 18000
✅ LIGHT TRANSFER PAPER. TZS 18000

MAWASILIANO & MAHALI TUNAPOPATIKANA

📍 Kariakoo, Mtaa wa Muhonda & Ndandaaaa

📞 Simu/WhatsApp: +255 743 306589.

21/01/2026

BEI ZIMESHUKA ⚡⚡⚡, Plotter cutter:.....ni kifaa kinachotumika kwa kukata nyenzo mbalimbali, k**a vile vinyl, karatasi, plastiki, na nyinginezo, kwa kutumia programu maalum na vidokezo vya kompyuta. Inafanyiwa kazi k**a printer, lakini badala ya kuchapisha picha, inakata muundo unaoletwa kwenye faili la kompyuta.

🌐Hivi ndivyo cutting plotter inavyofanya kazi:.....................

✅Kupokea Maagizo (Input): Cutting plotter inahitaji faili la kielektroniki, ambalo lina muundo wa picha au maandiko unayotaka kukata. Programu maarufu k**a CorelDRAW, Adobe Illustrator, au AutoCAD hutumika kuunda au kuhariri muundo, na kisha faili hilo huletwa kwenye plotter kupitia programu ya kukata.

✅ Kuandaa Nyenzo: Kuweka nyenzo (k**a vinyl au karatasi) kwenye kifaa, na kuhakikisha zipo sawa ili zisiweze kuhamasika wakati wa kukata. Nyenzo hiyo huwekwa kwenye sehemu ya kukata ya plotter.

✅. Programu ya Kukata: Programu hiyo hutuma maagizo kwa plotter kwa kusema ni wapi inapaswa kukata. Cutting plotter ina kisichochukua sana kwa mchakato wa kukata na hutumia alama k**a vile mikasi inayotumia blade inayozunguka ili kukata sehemu fulani za nyenzo. Blade inatembea juu ya nyenzo kwa usahihi wa milimita, ikifuata muundo wa kompyuta.

✅. Kukata: Blade inakataa sehemu ya nyenzo kulingana na muundo ulio kwenye faili la kompyuta. Hii inafanyika kwa mabadiliko madogo ya harakati za kifaa cha kukata, na mara nyingi blade inatakiwa kubadilishwa kulingana na aina ya nyenzo inavyotumika.

✅Matokeo: Baada ya mchakato wa kukata kukamilika, kipande kilichokatwa kinaweza kuchukuliwa na kutumika kwa matumizi ya kiufundi, masoko, au ubunifu.

🌐Matumizi ya Cutting Plotter:

✅Uundaji wa lebo na sticker.

✅Matangazo ya nje (vinyago na mabango).

✅Mitindo ya mavazi na michoro ya textile.

✅Uundaji wa alama na maandiko ya logo.

Cutting plotters ni muhimu katika sekta ya utengenezaji wa michoro ya majina, mabango, alama, na vifaa vya kutangaza.

21/01/2026

Heat Press Machine ni mashine inayotumika kuhamisha picha, maandishi au logo kwenye bidhaa kwa kutumia joto na shinikizo. Inatumika sana kwenye biashara ya uchapishaji wa T-shirt, kofia, vikombe, na bidhaa za matangazo.

Kazi Kuu
✅Kuprint T-shirt, jezi, hoodie

✅Kuprint begi, kofia, taulo

✅Kuprint karatasi za transfer na vinyl

✅ kuprint vikombe

✅ Kuprint chupa

👍Ina digital temperature control

Ina timer

👍Joto hufika hadi 200°C au zaidi

👍Inatumia umeme wa kawaida wa nyumbani

🔥Aina za Heat Press machine

✅ Single Flat heat press 38×38(kwa T-shirt tu) ....... 640,000 tzs

✅Mug heat press (vikombe tu) ......350,000

✅Cap heat press (kofia tu)...........540,000

✅ 5 in 1 heat press machine (combo) 630,000
✅ 8 in 1 heat press machine (combo ) 690,000

🌐Lakini single heat press kawaida humaanisha flat heat press kwa ajiri ya T-shirt.tu

Faida
✅Rahisi kutumia

✅Bei nafuu

✅Inafaa kwa wanaoanza biashara

✅Matokeo yake ni safi na ya kitaalaam

📌📌KARIBU UJIPATIE VIFAA BORA KWA BEI RAHIS.

📌📌 MAELEKEZO NA MSAADA WA NAMNA YA KUTUMIA KABLA NA BAADA YA KUNUNUA ,
📍📍 TUNAPATKANA DAR ES SALAAM KARIAKOO MTAA WA MUHONDA & NDANDA
0743306589

06/01/2026

BEI ZA JANUARY 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 (BEI SAFI)

EPSON PRINTERS L3210 ,L3250 ,3251 .

Zote hizi printer zinakupa faida zinazofanana:

✅ 3-in-1 → Print | Scan | Copy
✅ Ubora wa juu wa printing hadi 5760 × 1440 dpi

✅ Gharama nafuu – Wino wake unadumu, chupa moja inaweza kuchapa hadi 6200 kurasa za rangi na 8100 kurasa nyeusi

✅ Uchapishaji wa kasi – Inafaa kwa ofisi, stationery na matumizi ya shule

✅ Rahisi kuunganisha – zina WiFi & WiFi Direct (zinaweza kuchapa moja kwa moja kutoka simu au computer) isipokuwa L 3210 (haina WiFi)

✅ Uaminifu na uimara – Printer zinazodumu muda mrefu bila matatizo makubwa

✅ EcoTank Technology – Hakuna cartridges, mfumo wa tanki kubwa za wino unarahisisha kazi na kupunguza gharama

✅*Uunganishaji USB cable + wireless 🛜 🛜*

✅Printer zote zina uwezo wa kuchapisha size za karatasi tofaut tofaut k**a vile A4 ,A5 & A6

PUNGUZO!!!
🟣 3210.................360,000
🟣 3250................380,000
🟣 3251....................390,000

🚛🚛 KUMBUKA KUNA HUDUMA YA KUTUMA MIZIGO NZIMA .

Fika sasa ujipatie printers Bora kwa ajiri ya biashara yako au matumiz yako binafsi,

🌐🌐Tunapatkana Dar es salaam kariakoo mtaa wa muhonda & ndanda au tupgie simu / WhatsApp 0743 306 589 743306589
FM TECHNOLOGY your partner for all your printing needs.

Address

Ndanda Na Muhonda Street
Dar Es Salaam

Opening Hours

Monday 09:00 - 18:00
Tuesday 06:00 - 18:00
Wednesday 09:00 - 18:00
Thursday 09:00 - 18:00
Friday 09:00 - 18:00
Saturday 09:00 - 18:00

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Quality printers & Office supplies posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share