01/03/2026
| Yanga imeifunga Simba jumla ya magoli 17 katika mechi 16 za ligi kuu walizokutana tangu msimu wa 2017/18.
Na Simba imefunga Yanga jumla magoli 11.
Sasa leo nani ataongeza idadi!? Au takwimu hizi zitabaki k**a zilivyo..!!?
Mechi ni saa 2:15 usiku LIVE
Hii