Kitaa Hakiozi

Kitaa Hakiozi Elimu ya mtaa kwa mtaa! �� Ukweli,burudani,vichekesho, uhalisia na maarifa ya maisha na story Kali�

TRUMP AUZA "VISA ZA DHAHABU"!? 🇺🇸Tetesi zimezagaa kuwa Donald Trump ana mpango wa kuuza "visa za dhahabu" kwa matajiri w...
26/02/2025

TRUMP AUZA "VISA ZA DHAHABU"!? 🇺🇸

Tetesi zimezagaa kuwa Donald Trump ana mpango wa kuuza "visa za dhahabu" kwa matajiri wa kigeni wanaotaka kuingia Marekani! 😳💰 Inaonekana anaweka mfumo mpya wa uhamiaji unaolenga watu wenye hela na ujuzi maalum, huku akipunguza nafasi kwa wahamiaji wa kawaida.

Je, hii ni njia mpya ya kujitajirisha kisiasa au ni mfumo mzuri wa kusaidia uchumi wa Marekani? 🤔💵

Drop maoni yako hapa chini! 👇👇

Leo ni vita ya wakali! 🔥⚽ Simba SC 🦁 vs. Azam FC  – nani ataibuka mshindi? 🏆 Takwimu zinasema Simba wana nafasi kubwa, l...
24/02/2025

Leo ni vita ya wakali! 🔥⚽ Simba SC 🦁 vs. Azam FC – nani ataibuka mshindi? 🏆 Takwimu zinasema Simba wana nafasi kubwa, lakini Azam nao si wa kubeza .Je,watakubali kuingia kwenye mtego wa simba! 😤🔥

Drop maoni yako hapa 👇🏾

Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kitaa Hakiozi posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share