Omi.ads

Omi.ads Tunakusaidia kusimamia account yako ya matangazo

Tunakusaidia kuongeza mauzo katika biashara yako kupitia matangazo ya kulipia (Google ads, tiktok,meta ads n.k

Pia tunatatua changamoto mbali mbali katika akaunti za matangazo.

Jina Lilikuwepo, Lakini Halikuwa na Uhai Mtandaoni..........Mwezi mmoja uliopita, nilikutana na dada aitwaye Rehema.  Al...
16/11/2025

Jina Lilikuwepo, Lakini Halikuwa na Uhai Mtandaoni..........

Mwezi mmoja uliopita, nilikutana na dada aitwaye Rehema.
Alikuwa mjasiriamali, mwenye bidii na huduma nzuri mno. Alinieleza jinsi alivyojitoa kuhakikisha biashara yake inaonekana, lakini bado hakupata wateja wa kutosha.

"Tunaweka bidii, lakini watu hawatufikii... sijui shida ni nini."
Alizungumza kwa sauti ya kukata tamaa, huku akinitazama kwa macho yaliyojaa maswali.

Nilimwuliza, “Je, biashara yako inaonekana Google?”
Akasema, “Nina Google account, lakini sijaelewa vizuri hiyo sehemu ya profile. Sijui hata inafanyaje kazi.”

Ndipo nikamweleza, kwa upole lakini kwa uzito unaostahili:
"Leo hii, mtu kabla hajakupigia, kukutafuta au hata kununua, lazima akugoogle kwanza. K**a Google haionyeshi taarifa zako vizuri, basi unajipotezea nafasi."

Google Business Profile yake ilikuwa na jina tu bila picha, bila anwani sahihi, bila maelezo yanayoeleweka. Wateja waliokuwa wanamtafuta walikuwa wanapotea njiani.

Nilimwambia "Rehema, tatizo sio huduma yako bali ni jinsi unavyoonekana mtandaoni."
Ndipo nikamshika mkono na kumwonyesha huduma ya Google Profile Optimization.

Tulifanya haya:

Tukarekebisha jina picha na anwani yake kikamilifu

Tukapanga maneno muhimu ambayo wateja wake hutumia kutafuta

Tukawa tunapakia post za ofa na huduma kila wiki

Tukaanzisha sehemu ya mapokezi ya reviews za wateja waliowahi kupata huduma

Wiki moja tu baada ya kufanyiwa optimization, alianza kupokea simu.
Alinipigia akiwa na furaha, akisema:
“Watu wanasema wameniona Google, wengine wananifuata bila hata matangazo!”

Hapo ndipo aligundua kuwa uwepo sahihi mtandaoni ni mtaji.

Sio tu kwa makampuni makubwa hata biashara ndogo inahitaji kuonekana kwa uhalisia, uaminifu na mvuto kwenye Google.

K**a na wewe una Google Profile lakini haikuletei matokeo au huna kabisa usikae kimya k**a Rehema alivyofanya mwanzoni.

Nipo hapa kukusaidia.
Kwa sasa, nafasi ni chache kwa sababu ya wajasiriamali wengi wanaotaka huduma hii.

Tuma neno “GOOGLE” kwenda WhatsApp 0753 891 441
Uanze kusimama mtandaoni kwa hadhi inayolingana na bidii yako.

Jina lako lipo sasa lifanye lionekane, livutie na liaminiwe.

Watu walio kuona  mara moja, wakikumbushwa kwa njia sahihi, wana nafasi kubwa ya kuwa wateja wa kweli.  Hii ndiyo nguvu ...
11/07/2025

Watu walio kuona mara moja, wakikumbushwa kwa njia sahihi, wana nafasi kubwa ya kuwa wateja wa kweli.
Hii ndiyo nguvu ya kuuza kwa waliowahi kukuona wakati mwingine huwezi kuuza kwa mara ya kwanza, bali mara ya pili au ya tatu.

K**a bado hujui kufanya retargeting ,wasiliana nasi

0753891441

29/06/2025
Hili pambano halikuwa rahisi kipindi cha kwanza team physical waligaragazwa vibaya sana na team online,lakini dakika za ...
15/06/2025

Hili pambano halikuwa rahisi kipindi cha kwanza team physical waligaragazwa vibaya sana na team online,lakini dakika za magharibi ya roho team physical wakapata ushindi
onlinesolution

Kwa nini ubahatisha, wakati unaweza kutangaza kitaalamu?Tutakutengenezea tangazo lako na kukupa ripoti ya kina kuhusu ta...
13/06/2025

Kwa nini ubahatisha, wakati unaweza kutangaza kitaalamu?

Tutakutengenezea tangazo lako na kukupa ripoti ya kina kuhusu tangazo lako na kukuonyesha jinsi pesa zako zilivyo tumika

Wasiliana nasi 0753891441

08/05/2025



05/05/2025




Kwa Nini Akaunti Yako Inafungiwa Kufanya Matangazo?Katika platforms k**a Facebook Ads, Instagram Ads, kuna sababu kadhaa...
26/04/2025

Kwa Nini Akaunti Yako Inafungiwa Kufanya Matangazo?

Katika platforms k**a Facebook Ads, Instagram Ads, kuna sababu kadhaa zinazoweza kusababisha akaunti yako kufungiwa (ad account restricted, disabled au banned).
Hizi ndio sababu kuu:

1. Kukiuka Sera za Matangazo (Ads Policies)

✅ Unapotangaza bidhaa au huduma ambayo haikubaliki kwa mujibu wa sera (k**a: bidhaa haramu, madai ya kupotosha, maudhui ya watu wazima, huduma za fedha zisizo rasmi), unaweza kufungiwa haraka.

👉🏽 Mfano:Kutoa ahadi za mapato makubwa bila uthibitisho (mfano: "Pata Milioni 5 ndani ya wiki!").

2. Malipo ya Shaka au Billing Issues

✅ Malipo yako yakikataliwa, au ukitumia kadi ambayo muda wa matumizi umeisha Meta inaweza kufungia akaunti yako .

Bonyeza. chart whatsap kupata suluhisho la tatizo lako au piga namba nilizoweka kwenye tangazo

.ads

🚫 Unapost kila siku lakini hupati likes wala mauzo?  💸 Unafanya matangazo sana lakini unaishia kupoteza  pesa bila matok...
25/04/2025

🚫 Unapost kila siku lakini hupati likes wala mauzo?

💸 Unafanya matangazo sana lakini unaishia kupoteza pesa bila matokeo?

😩 Unajisikia k**a mitandao ya kijamii haikusaidii kabisa kwenye biashara?

Usihofu tena! Omi.ads tunalo suluhisho lako.

✅ Tunatengeneza matangazo yenye matokeo makubwa kwa biashara yako:

👉🏿 Yanalenga watu sahihi – asilimia 70 ni wateja wanaoweza kununua.

👉🏿 Yanakuongezea mauzo na kukuza brand yako kwa kasi.

📲 Tuma ujumbe sasa WhatsApp 👉 0753 891 441
Tuanze safari ya mafanikio leo! 🚀


.ads


Address

Dar Es Salaam
Dar Es Salaam
1234

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Omi.ads posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share