11/08/2025
Unahitaji kuweka huduma kwa wateja?
โโโโโโโโโโโโโโโโโ
ยป Tunafundisha wajasiriamali wadogo na wakubwa kutumia teknolojia pamoja na mifumo ya kisasa k**a ChatGPT, CRM Chatbots | AI Auto-Replies | Delay SMS | BulkSMS | Sponsored Ads | Follow-up SMS (Reminders) | CRM Systems | All Business Automations ili kuokoa muda, gharama, kuongeza kipato na ufanisi wa huduma kwa wateja asilimia 100%! โจ
Kila mteja anayekutumia ujumbe inbox anakuletea fursa. Lakini je, una muda wa kujibu kila mmoja kwa haraka, kwa heshima na kitaalamu? Usiendelee kupoteza wateja wako kwa kukosa ushirikiano wako!
๐ก Tunakuletea suluhisho la kisasa kabisa: Mfumo wa Majibu ya Haraka kwa kutumia AI (ChatGPT, Gemini & Deepseek) au keywords.
Mfumo huu utabadilisha kabisa jinsi unavyowasiliana na wateja wako:
โ๏ธ Unapokea ujumbe โ AI inajibu papo hapo hata k**a wewe upo bize
โ๏ธ Ujumbe wowote kuhusu huduma zako, bei, muda wa kazi n.k โ AI inajua jinsi ya kujibu kwa upole na ufanisi
โ๏ธ Unaweza kutumia ChatGPT, Gemini au DeepSeek ndani ya mfumo โ kwa majibu yenye akili, busara na usahihi
โ๏ธ Unaweka majibu yako binafsi (templates), mfumo unayatumia kila inapohitajika
โ๏ธ Unauweka WhatsApp, Instagram, Telegram, Facebook, hadi SMS za kawaida โ hakuna mteja anayepitwa
*Badilisha namna unavyopokea wateja bila kuongeza mzigo wa kazi.*
Ni rahisi, ni haraka, na ni teknolojia rafiki kwa kila mtu.
๐ Gusa hapa: https://wa.me/255689653728?text=Nahitaji%20unisaidie%20kuweka%20mfumo%20wa%20majibu%20whatsapp