13/05/2026
Matokeo haya hayaji kwa bahati - yanatokana na strategy sahihi ya matangazo. ππ₯
Katika campaign hii, tumefanikisha kupata matokeo mazuri kupitia messaging conversations kwa gharama nafuu sana.
Hii ndiyo nguvu ya digital advertising inayofanywa kitaalamu.
Huduma zetu ni pamoja na;
π«° Ads Management - Kurusha matangazo ya biashara yako kwa malengo sahihi na matokeo chanya.
π«° Account Troubleshooting - Kurekebisha changamoto zote za Facebook & Instagram.
π«° Professional Account Setup - Kuandaa Ads Account yako kitaalamu ili uweze kurusha matangazo kwa ufanisi, kufikia wateja sahihi, na kukuza biashara yako.
K**a unataka biashara yako ionekane zaidi, ipate wateja wengi, na matangazo yako yafanye kazi kweli - tupo tayari kukusaidia.
π Call/WhatsApp: 0692315806 | 0629240102acley
Disclaimer: Content hii ni kwa madhumuni ya elimu na kuonesha uwezo wa huduma zetu za matangazo ya kidigitali.