08/07/2026
Lens za Gwabo Production zinakusogezea episode mpya na ya tofauti sana! 📸✨
Kutana na Emiliana, rafiki yangu niliyekutana naye Law School. Licha ya kusomea sheria, mapenzi yetu kwenye sanaa, ubunifu, na biashara vimetuunganisha kwa namna ya kipekee sana.
Kwenye mazungumzo haya, tumezungumza kwa kina jinsi sheria na sanaa zinavyoweza kuiva pamoja kwenye chungu kimoja na kuleta kitu cha kitofauti. 🍲⚖️🧶 Stay tuned! 🚀