Anda Printers

Anda Printers 🖨️ Quality Printing | Branding | Packaging
🤝 Trusted by Businesses Across Tanzania
📍 Chang’ombe Keko, DSM
📞 Let’s print your vision : 0753 113 388

Powering ideas into reality, Workers in the Printing Industry bring Creativity to life across the Globe.
01/05/2026

Powering ideas into reality, Workers in the Printing Industry bring Creativity to life across the Globe.

Today we commemorate the union of Zanzibar and Tanganyika on April 26th 1964
26/04/2026

Today we commemorate the union of Zanzibar and Tanganyika on April 26th 1964

Umechoka na notebooks za kawaida zinazosahauliwa? ✋🏽 Fikiria notebook yenye rangi zinazong’aa, design inayovutia, na ubo...
17/04/2026

Umechoka na notebooks za kawaida zinazosahauliwa? ✋🏽

Fikiria notebook yenye rangi zinazong’aa, design inayovutia, na ubora unaodumu muda mrefu

Hiyo ndiyo nguvu ya DTF Notebook Printing! Teknolojia ya DTF inakupa rangi zinazodumu bila kupotea, design yoyote unayoitaka, na ubora wa hali ya juu kwa bei unayomudu. Inafaa kwa shule, biashara, na matumizi yote ya kila siku.

Notebook yako isiwe tu kitabu — iwe kauli yako! 📒🔥 Tuma DM sasa au bonyeza link iliyo kwenye bio kuanza order yako leo! ⏳ Usikawile — slots za wiki hii zinakwisha haraka!

andaprinters

Tupo wazi wateja wetu kwa huduma bora Na Haraka zaidi 🔥🔥
08/04/2026

Tupo wazi wateja wetu kwa huduma bora Na Haraka zaidi 🔥🔥

🇹🇿 KARUME DAY 🇹🇿Tunamkumbuka shujaa wetu, Mzee Abeid Amani Karume — aliyetupigania kwa moyo wote na kuweka msingi wa umo...
07/04/2026

🇹🇿 KARUME DAY 🇹🇿
Tunamkumbuka shujaa wetu, Mzee Abeid Amani Karume — aliyetupigania kwa moyo wote na kuweka msingi wa umoja na maendeleo ya taifa letu.

Leo si siku ya kumbukumbu tu… ni siku ya kujifunza, kuhamasika na kuendeleza alichokiamini.

Tuendelee kujenga Tanzania yenye nguvu, umoja na mafanikio. 💪🇹🇿

Happy Easter to you all
05/04/2026

Happy Easter to you all

BIDHAA YAKO INAWEZA KUWA NZURI… LAKINI LABEL MBOVU INAUA MAUZO YOTE!  Ukweli ni huu — mteja hanunui tu bidhaa, ananunua ...
04/04/2026

BIDHAA YAKO INAWEZA KUWA NZURI… LAKINI LABEL MBOVU INAUA MAUZO YOTE!

Ukweli ni huu — mteja hanunui tu bidhaa, ananunua muonekano kwanza.
Na hapo ndipo Anda Printers Limited tunaingia kukubadilishia mchezo kabisa.

👉 Tunakupa huduma kamili ya:
✔️ Product Label Design – design inayovuta macho na kuuza
✔️ Printing ya ubora wa juu – rangi kali, finishing safi
✔️ Packaging solutions – bidhaa yako ionekane premium sokoni

Hii si label tu… ni silaha ya kuongeza mauzo yako kila siku.

📞 Piga simu au tutumie ujumbe WhatsApp sasa: 0753 113 388
🚀 Anda Printers Limited – Tunaboresha muonekano, tunaongeza thamani ya brand yako

May your Heart be filled with grace and peace
03/04/2026

May your Heart be filled with grace and peace

Kwenye event, dukani au ofisini — mteja anaamua ndani ya sekunde chache k**a atakusikiliza au atakupita. Roll Up Banner ...
02/04/2026

Kwenye event, dukani au ofisini — mteja anaamua ndani ya sekunde chache k**a atakusikiliza au atakupita.

Roll Up Banner yako ndiyo silaha yako ya kwanza ya kuvutia attention.

ANDA PRINTERS LIMITED tunakupa:
✔️ Design za kisasa zinazovutia macho
✔️ Print ya ubora wa juu isiyofifia kirahisi
✔️ Material imara kwa matumizi ya muda mrefu

Usikubali biashara yako ipotee kwenye kelele za ushindani —
onekana, tambulika, na uvutie wateja kwa urahisi.

📞 Wasiliana nasi leo tukutengenezee Roll Up Banner itakayokutangaza popote ulipo

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Anda Printers posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share