TOG'S MEDIA

TOG'S MEDIA πŸ“° Tog’s Media is General Online Media
Across multiple fields, including πŸ† Sports β€’ 🎭 Entertainment β€’ 🌍 Society
πŸ“Š News | 🧠 Analysis | πŸŽ₯ Digital Content.

Let's Join Together πŸ“·πŸŽ€πŸ“ŒπŸ“ŒπŸ“Œ

Pale katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Simba na Yanga wamekipiga uwanjani na kutoshana nguvu ya magoli 2-2katika ...
03/05/2026

Pale katika Uwanja wa Meja Jenerali Isamuhyo, Simba na Yanga wamekipiga uwanjani na kutoshana nguvu ya magoli 2-2
katika mchezo wa Ligi Kuu Bara uliopigwa
leo Mei 3, 2026.

Simba ilitangulia kufunga kupitia kwa Libasse Gueye na Clatous Chama, Yanga ikasawazisha kwa magoli ya Prince Dube na Bakari Mwamnyeyo.

msimamo wa Ligi
Yanga alama 48
Simba alama 43
timu zote zikiwa zimecheza michezo 20.

Follow Togs Media

✍️ Maoni ya mdau
03/05/2026

✍️ Maoni ya mdau

01/05/2026

Mwanaume usipitwe na huu ujumbe.

Ikumbukwe Joramu Nkumbi ni mtaalamu wa uongozi, mwalimu, mwandishi wa vitabu, na balozi wa Baraza la Kiswahili la Taifa (BAKITA) nchini Tanzania, mwenye uzoefu wa zaidi ya miaka 8. Anajulikana kwa mafunzo ya uongozi, utamaduni, na mbinu za ushawishi (ulumbi)

Follow Togs Media

01/05/2026

Tunza Hii Mwenyekiti wa wasemaji Hakawii kubadilisha goli 😁😁

"Hatimae nimepata picha na kombe"Ujumbe wa Ahmed Ally baada ya kuwa BINGWA WA MUUNGANO CUP.
01/05/2026

"Hatimae nimepata picha na kombe"
Ujumbe wa Ahmed Ally baada ya kuwa BINGWA WA MUUNGANO CUP.

ANDIKO LA HAJI MANARA "Ndio football but na Sisi tupunguze midomo midomo , tunachonga mno kupitiliza wakati kocha wetu n...
30/04/2026

ANDIKO LA HAJI MANARA
"Ndio football but na Sisi tupunguze midomo midomo , tunachonga mno kupitiliza wakati kocha wetu ni Muomba Mungu tu!!

Tulionyesha kujiamini kupitiliza nje ya uwanja na kufanya mbwembwe nyingi za kipuuzi,Show za kindezi kibao kabla ya mechi tukasahau uzito wa kukutana na Makolo.

Mnawaaminisha hadi Washabiki wetu kwamba ni ise tu kwetu,Mechi hz hazihitaji mazoea.

Derby haihitaji dharau na tusipokuwa makini watatukanda tena jumapili!!

Na Wallah Wakishinda ntakuja na viboko hapo kaunda kuwatandika.

Forget Follow, Togs Media.

30/04/2026

Mwambie atusamehe sisi πŸ˜πŸ™ŒπŸ™Œ

Haya yote chanzo ni πŸ˜„

29/04/2026

πŸ† SIMBA SC NI MABINGWA WA MUUNGANO CUP! πŸ”΄

Simba SC wamewashinda wapinzani wao wakubwa Young Africans SC kwa ushindi mgumu wa 1-0 baada ya muda wa nyongeza na kutwaa ubingwa wa Muungano Cup!

⚽️ Shujaa: Mwalimu
⏱️ Goli la ushindi lilipatikana dakika za mwisho za muda wa nyongeza

27/04/2026

Pumzika kwa Amani Mzee wetu, Tunamshukuru Mungu kwa zawadi ya Maisha yako hapa Duniani,

Tog's Media Tunatoa pole za dhati kwa Kwa familia, ndugu, Jamaa Na Marafiki wote.

Tasnia ya Sanaa pia itakukumbuka na kukuenzi kwa Mazuri yako shujaa. πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ˜­πŸ•ŠοΈπŸ•ŠοΈ


Mwanzo mwisho kuhusu tukio la risasi Washington ilivyotokeaHapa chini ni muhtasari wa namna tukio la risasi lililoripoti...
26/04/2026

Mwanzo mwisho kuhusu tukio la risasi Washington ilivyotokea

Hapa chini ni muhtasari wa namna tukio la risasi lililoripotiwa katika Hoteli ya Washington Hilton, Marekani lilivyotokea, ukionyesha muda kwa saa za Afrika Mashariki (EAT) na kwenye mabano kwa saa za Mashariki ya Marekani (ET – Eastern Time. Rais Donald Trump, mkewe na viongozi wengine wa Marekani akiwemo Makamu wa rais, JD Vance. walinusurikia kwa kuondolewa na walinzi haraka.

Lilitokea alfajiri kuanzia saa 03:35 kwa saa za Afrika Mashariki ambayo ilikuwa saa 20:35 usiku kwa saa za Washington D.C., Marekani).

03:35 EAT (20:35 ET – Washington D.C., Marekani) Milio ya risasi inasikika katika Hoteli ya Washington Hilton iliyopo Washington D.C. Wageni wanajificha kchini ya meza wa hofu. Maafisa wa usalama wanamfikia haraka Donald Trump na watu wake wa karibu na kuwatoa eneo la tukio kwa ulinzi mkali.

04:17 EAT (21:17 ET – Washington D.C., Marekani) Donald Trump anatoa taarifa yake ya kwanza kupitia mtandao wa Truth Social, akisema mshukiwa wa tukio hilo β€œamek**atwa”.

04:36 EAT (21:36 ET – Washington D.C., Marekani) Trump anasema anaondoka katika hoteli hiyo kwa maelekezo ya vyombo vya usalama na sheria.

05:29 EAT (22:29 ET – Washington D.C., Marekani) Trump anachapisha video inayoonekana kuonyesha mwanzo wa tukio la risasi. Baadaye anachapisha pia picha ya mshukiwa.

05:30 EAT (22:30 ET – Washington D.C., Marekani) Anazungumza katika mkutano na waandishi wa habari akiwa Ikulu ya White House, akiwa na maafisa wakuu wa serikali. Anasema kuna uwezekano mshukiwa alikuwa akifanya kazi peke yake (β€œlone wolf”).

05:50 EAT (takriban 22:50 ET – Marekani) Vyombo vya habari vya Marekani, ikiwemo CBS, vinamtaja mshukiwa kuwa ni Cole Tomas Allen, mwenye umri wa miaka 31, kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali vya uchunguzi.

06:10 EAT (takriban 23:10 ET – Torrance, California, Marekani) Picha za moja kwa moja zinaonyesha polisi wakifanya msako katika nyumba moja mjini Torrance, California, k**a sehemu ya uchunguzi unaoendelea.

06:15 EAT (takriban 23:15 ET – Washington D.C., Marekani) Mwanasheria wa Marekani wa huko eneo la Columbia anasema mshukiwa anatarajiwa kufikishwa mahak**ani Jumatatu kwa mashtaka rasmi

Follow Togs Media



"Safari ya kutafuta elimu na mafanikio haijawahi kuwa rahisi. Kuna muda unahisi kuchoka, kukata tamaa, au kuona mambo ha...
21/04/2026

"Safari ya kutafuta elimu na mafanikio haijawahi kuwa rahisi. Kuna muda unahisi kuchoka, kukata tamaa, au kuona mambo hayaendi. Lakini kumbuka, uchungu unaoupata leo ndio utakaokupa utamu wa maisha ya baadaye. Usiache kupambana! πŸ’ͺπŸ“š"

"Uongozi wa Young Africans Sports Club Haujafanya mazungumzo na Klabu/Mtu yoyote kuhusu kumuhitaji mchezaji Seleman Mwal...
18/04/2026

"Uongozi wa Young Africans Sports Club Haujafanya mazungumzo na Klabu/Mtu yoyote kuhusu kumuhitaji mchezaji Seleman Mwalimu.

Hizi ni Taarifa za uzushi na hazina ukweli wowote. Mawakala/Wachambuzi tumieni mbinu nyingine ya kuwatafutia Mikataba wachezaji wenu, Hii ya kuitumia Yanga imetosha sasa.

Nb: Kuhusu Wachambuzi wanaoandika/Kuongea Habari zenye lengo la kuichafua Klabu ya Yanga, viongozi wanashughulikia jambo hilo na muda sio mrefu nitawajuza hatua zitakazochukuliwa.

Daima mbele Nyuma Mwiko" Ameandika

Ikumbukwe siku za hivi karibuni zimeibuka tetesi kumhusu Suleman Mwalimu wa klabu ya Wydad Casablanca ya Morocco ambaye yupo kwa mkopo Simba Sc kuhitajika na Klabu ya Yanga Sc mwishoni mwa msimu huu.

Follow Togs Media.

Address

Dar Es Salaam

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when TOG'S MEDIA posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share