Vedastus Seko

Vedastus Seko .Expert Of Marketing
•Social Media Marketing •Sponsored Ads
Let's Connect Here 👇
>>[https://wa.link/012pn9

27/04/2026

❤️reelsinstagram

17/04/2026

❤️reelsinstagram
Hustla😎

16/04/2026

Jinsi Ya Kujenga BIASHARA Ya Uhakika Mtandaoni Bila MALIPO...By The Way...Unaweza Ukawa Unajiuliza Ni Siri Gani Hiyo?......
16/04/2026

Jinsi Ya Kujenga BIASHARA Ya Uhakika Mtandaoni Bila MALIPO...

By The Way...

Unaweza Ukawa Unajiuliza Ni Siri Gani Hiyo?...

Well...

Soma Hii Mpaka Mwisho
Baada ya Kugundua Siri Hii Utafaidika Na Haya...👇
✅.Utaongeza Mauzo Mara 10+ Zaidi
✅.Utajenga Mfumo Wa Kuuza Supplements zako Bila Kuchati na Wateja
✅.Utageuza Wateja Wauliziaji Kuwa Wateja Wanunuaji Wa Bidhaa Au Huduma Yako

Now...

Ili Kupata Taarifa ya Kupata Yote Hayo BURE

Tuma Neno "Online" Kupitia Namba Hapa Chini👇
>>0712059504

P.S

Nafasi Ni Kwa Ajili ya Watu Wachache Tu

Kwahiyo...

Tuma Neno "Online" SASAHIVI Usije Ukakosa Nafasi

>>0712059504

Jinsi Ya Kujenga BIASHARA Ya Uhakika Mtandaoni Bila MALIPO...By The Way...Unaweza Ukawa Unajiuliza Ni Siri Gani Hiyo?......
16/04/2026

Jinsi Ya Kujenga BIASHARA Ya Uhakika Mtandaoni Bila MALIPO...

By The Way...

Unaweza Ukawa Unajiuliza Ni Siri Gani Hiyo?...

Well...

Soma Hii Mpaka Mwisho

Baada ya Kugundua Siri Hii Utafaidika Na Haya...👇
✅.Utaongeza Mauzo Mara 10+ Zaidi
✅.Utajenga Mfumo Wa Kuuza Supplements zako Bila Kuchati na Wateja
✅.Utageuza Wateja Wauliziaji Kuwa Wateja Wanunuaji Wa Bidhaa Au Huduma Yako

Now...

Ili Kupata Taarifa ya Kupata Yote Hayo BURE

BOFYA Hapa Chini SASAHIVI 👇
>>[https://wa.link/n7fkjt

P.S

Nafasi Ni Kwa Ajili ya Watu Wachache Tu

Kwahiyo...

BOFYA Hapa Chini SASAHIVI Usije Ukakosa
>>[https://wa.link/n7fkjt

*Nilitaka Kumkataa Kinyozi MPYA Kisa Nimezoea Kunyolewa Na Niliyemzoea Kutoka Na Mtindo Aliokuwa Ananinyoa...*..Mkuu Uki...
03/04/2026

*Nilitaka Kumkataa Kinyozi MPYA Kisa Nimezoea Kunyolewa Na Niliyemzoea Kutoka Na Mtindo Aliokuwa Ananinyoa...*
..Mkuu Ukininyoa Vibaya Sikupi Hela

Jamaa Akacheka Sana-kisha Akaniambia Kaa Kwenye Kiti Mdogo Wangu...
..Nikunyoe Nikikunyoa Vibaya Basi

*"Usinipe Hela"*
..In Short Hapa Ambapo Huwa Nanyoa Wanalipisha Tshs 2,000 Tu

Hii ni Wiki Moja Iliyopita

Sikia...

Kuna Somo Nahitaji Tupate kwa Pamoja-kabla Sijakusimulia Hii Story Ya Mimi Na Kinyozi Mpya

Iko Hivii...

Wateja Huwa Hawapendi kujaribishiwa Hata Mara Moja...
..Yaani:

Mteja Aje Kwako Alafu Ajue Huna Uwezo Wa Kumpa Suluhisho Sahihi

Trust Me...

Atakukimbia Tu 🤣

Ngoja Nikuulize Hili Swali Hapa Chini...
..Umeenda Hospitalini Kutibiwa(kufanyiwa Upasuaji)

Alafu...

Unakutana na Madaktari Hawa Wawili...

*Daktari A:* Anasema Mimi Ndio Nimetoka Chuo Muhimbili Jana Tu Nimegraduate Sina Experience Ya Kupasua Watu Nimezoea Tu Kupasua Maiti 🤣💔

*Daktari B:* Mimi Nina Uzoefu wa Miaka 7 Nimefanya Upasuaji kwa Wagonjwa zaidi Ya 200 Na Wote Wamepona Hizi Hapa Shuhuda Zao(Anakuonyesha Portfolio yake)

Kuwa Mkweli Tu Utamchagua Nani Daktari A Au Daktari B?...

Umesema Daktari B Eenh?...

Well:

Hivyo Ndivyo Hata Wateja Huwa Wanachagua...
..Sehemu Pa Kununua Bidhaa Au Huduma Fulani

Let's Back To The Story...

Ilikuwa mida Ya 18:25 Jioni
..Nilikuwa nipo Mitaa Ya Magomeni

Nikaingia Saluni Moja Hivii Ya Kawaida Tu...
..Of Course Huwa Napenda Sana Kwenda Yale Maeneo

Kwasababu...

Yule Anayenyoa Mule Ndani ni Mshikaji Wangu Sana-Pia Ananyoa Vizuri Saaana 😋

Basi Bhana...

Baada ya Kuingia ndani ya Saluni nikakuta Jamaa Anamnyoa mteja Mwingine...
..Ile nimekaa Kwenye Sofa Nakula Kiyoyozi pamoja Na Muziki Wa Celine Dion *"My Heart Will Go On"*

Akaja...

Jamaa Kasokota Rasta...
..Akaniambia Kaa Kwenye Kiti Nikunyoe

Nikamuuliza Ili Kupata Uhakika Unasemaje?...

Kaa Kwenye Kiti Nikunyoe...

Nikamwambia Namsubiria Huyo Mwingine Amalize Ndio Nimezoea Kunyolewa Na Yeye...
..Akaniuliza Hauna Haraka?...

Nikajibu Nina Haraka 🤣

Hapo Tayari Amanipa Sababu Ya Kunyoa Haraka(Kuokoa Muda)

Nikaona Isiwe Kesi Au Vp...

Nikakaa Kwenye Kiti...
..Kabla Hajaanza Madoido Yoyote

Nikamchimba Mkwara 😆

Ukininyoa Vibaya Sikupi Hela yako
..Akasema Fresh

Baada ya Hapo...Hata Kabla Sijawambia Chochote Akaniambia Unanyoa Ngazi Tatu Eeenh?...

Nikajibu Ndio

Nikajiuliza Kimoyo-moyo Huyu Jamaa Kajuaje Aisee 🤣💔
..Kumbe Ana Uzoefu wa Zaidi Ya Miaka 5 Kwenye Field ya Kunyoa

Niwe Mkweli Tu...Nikawa Mpole Mazima 🫩

Akaniambia Nipe Dkk 25 Mkuu...

Majibu Utayaona...

Aisee Nilishangazwa Na Ujuzi Aliokuwa nao Huyu Mwamba...
..Alininyoa Vizuri Sana

Na:

Niwe Mkweli Tu Nikampa Hela Kiroho Safi Kabisa...

Je Ni Kwanini Nimekupa Hii Story?...

Well...

Iko Hivii:

Wateja Huwa Wananunua Kwa Watu Ambao Tayari Wana Matokeo Ya Wateja Wengine(Hakikisha Unajenga Portfolio Yako)

Huo ndio utakuwa Mwanzo wa Kuwahudumia Wateja Wengi Zaidi...

Mteja Huwa Hana Shida Kutoa Hela Yake Sehemu ambayo Anajua Anapata Matokeo...
..Na Kinyume Chake Ni Sahihi

Anyways...

I Hope Umepata Value Familia 🫡

Am Your Guy

Vido

As Our Sacred Slogan Says:

*"You Can Either Find A Way Or Make A Way"*

Address

Magomeni
Dar Es Salaam

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Vedastus Seko posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share