Kampuni YA Matangazo

Kampuni YA Matangazo Tunatoa huduma ya Matangazo Mbalimbali
kwa njia ya Mtandao na Tunakuwezesha kufikia Wateja wengi kwa

karibu kwa Huduma ya kutangaziwa Biashara yako ama Huduma yako.

23/07/2023

Tangaza biashara yako nasi

02/07/2023

Tangaza NASI

02/07/2023

Hi

05/08/2022

Karibu kwa Huduma ya matangazo

25/04/2022

Tunatoa Huduma ya Matangazo Mtandaoni hivyo tupo kwaajili ya kutangaza fursa, kazi, biashara na Huduma zingine ambazo Zinafanywa ama Zinatolewa na Wafanyabiashara ama wajasiliamali Mbalimbali kokote kule waliko Tanzania.

Tunao uwezo Mkubwa na wa Uhakika wa kutangaza fursa, kazi, biashara ama Huduma yako na kufikia wateja wengi, Maalumu(Specific) kwa Huduma ama hitaji Lako haraka na kwa Ufanisi zaidi.

Matangazo YETU yote ya wateja huyaandaa kwa kuzingatia Mambo yafuatayo:

1. AINA YA TANGAZO.

2. LENGO LA TANGAZO.

3. WAHITAJI WA TANGAZO
Hapa tunajadiliana na Mteja Kisha tunaset(tunaandaa) Tangazo kulingana na Tangazo linalenga watu gani zaidi.
k**a vile ▪️ Wakike tuu.
▪️ Wakiume tuu.
▪️Wakike na wakiume
Pamoja na kuzingatia Tangazo liwafikie watu wa Rika gani(Umri).

4. ENEO LA TANGAZO
Tunashauriana na Mteja ili kufahamu anahitaji Tangazo lake Lionekane Sehemu gani.
Mfano tangazo Lionekane;
i. Nchi za Nje.
ii. Nchi nzima
iii. Mikoa mingapi/ Mkoa gani
iv. Wilaya ngapi/Wilaya Gani
v. Eneo Fulani ndani ya Wilaya.

5. MUDA WA TANGAZO
Hapa tunaandaa Tangazo Lako kadiri ya Uwezo wako kifedha.
Tizama hapo Chini Unaweza chagua Tangazo Lako lirushwe hewani kwa Mujibu wa Utaratibu Upi kwa kuzingatia Muda na idadi ya watu Tangazo litakao wafikia.
Gharama hizi ziko katika Mchanganuo wa Makundi Matano pia Utaratibu wa Tangazo kurushwa hewani ni Kuanzia siku moja Hadi sita Kisha kwa wiki Moja, Mbili, Tatu Hadi Nne(Mwezi mmoja).

.

WASILIANA NASI KWA NAMBA
ZIFUATAZO TUKUHUDUMIE.
0768 - 31 98 68.

Call/text/WhatsApp
................... Nyote MNAKALIBISHWA.................

25/04/2022

Karibu Sana Tukuhudumie..

Address

Dodoma
Dodoma Outlying

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kampuni YA Matangazo posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kampuni YA Matangazo:

Share