Meshaki kisonga

Meshaki kisonga Mtaalamu wa Digital Marketing
Nakusaidia biashara kupata wateja zaidi online kupitia Ads, Content, na Social Media
DM au WhatsApp kuanza 🚀

11/04/2026

Haufanyi mauzo ?achaku eleza phyisical features za bidhaa yako na anza kuelezea benefit za bidhaa yako kwa mteja

11/04/2026
09/04/2026

Tatizo sio bidhaa tatizo ni hili👇

08/04/2026

Wafanyabiashara wengi wanafanya kosa hili bila kujua… 🚫
Unaelezea sana bidhaa yako ina nini (features),
lakini unasahau kitu muhimu zaidi 👇
👉 Mteja hajali sana “ina nini”
👉 Anajali “itanisaidiaje”
Ndiyo maana unaona:
❌ Views zipo
❌ Likes zipo
❌ Lakini mauzo hakuna
Badilisha approach:
Uza matokeo (benefits), sio maelezo tu ya bidhaa.
📌 Kumbuka:
Watu hawanunui bidhaa… wananunua solution ya tatizo lao.
🔥 K**a umejifunza kitu:
👍 Like
💬 Comment “VALUE”
🔁 Share na mfanyabiashara mwenzako
Follow kwa mbinu zaidi za kukuza mauzo yako online 🚀

06/04/2026

Unapopuuzia comments za wateja… unapoteza pesa bila kujua! 😳💸

Address

Dodoma
Dodoma
440

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Meshaki kisonga posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share