Swahili Marketing Agency

Swahili Marketing Agency Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Swahili Marketing Agency, Marketing Agency, Ilazo, Dodoma.

Digital Marketing Strategy for Corporates & SMEs Growth
πŸš€Teaching & Building Profitable Brands Through Digital Marketing
πŸ“ŠSocial Media Management | Funnels | Copywriting
πŸ“ˆContents | Logo,Graphic Designing & Office Documentation
Let's ConectπŸ“²0765113961

Kickstart your career with us!We are looking for creative,  driven interns  ready  to learn, grow and make an impact. Ap...
16/04/2026

Kickstart your career with us!

We are looking for creative, driven interns ready to learn, grow and make an impact.
Apply now and be part of our journey.

Appl now:
WhatsApp no 0765113961
[email protected]

K**a unakazi ya Marketing  au Branding inayohita Graphics Designing na printing πŸ–¨ ...Wasiliana nasi 0765113961
09/04/2026

K**a unakazi ya Marketing au Branding inayohita Graphics Designing na printing πŸ–¨ ...

Wasiliana nasi 0765113961

Kuna aina nyingi za ujuzi wa kidigitali,(Digital skills) na kila ujuzi unaweza kabisa kubadilisha maisha yako endapo uta...
04/04/2026

Kuna aina nyingi za ujuzi wa kidigitali,
(Digital skills) na kila ujuzi unaweza kabisa kubadilisha maisha yako endapo utajifunza na kuufanyia kazi.

Inaweza kuwa ni kuwalipisha wateja wanaohitaji huduma zako au unaweza kuajiriwa kupitia ujuzi huo.

Tunapenda kufahamu kwa upande wako wewe, ni ujuzi upi unakunyima usingizi na ungependa kujifunza na kuufahamu vyema.

Uki- comment ujuzi wako hapa tutakupa muongozo kamili wa namna ya kujifunza au kuboresha ujuzi.


Happy International Women's Day 2026...
08/03/2026

Happy International Women's Day 2026...

17/02/2026

Tumefurahishwa sana na maendeleo waliyoyafikia mabingwa na wauzaji wa vipodozi kwa bei ya jumla na rejareja jijini dodoma.

Wanawasaidia wateja wao kwa kuwapa elimu ya vipodozi sahihi vya kutumia kulingana na aina ya ngozi uliyonayo.

Pia wamekuwa msaada mkubwa kwa wale wanaotamani kuingia kwenye biashara ya vipodozi kwa kuwapa muongozo sahihi wa biashara ya vipodozi na kisha kuwauzia vipodozi kwa bei ya jumla na nafuu sana.

Leo tulipata nafasi ya kukagua mfumo wa mauzo upya na kufanya tathimini ya hatua inayofuata ambayo ni kutumia social media marketing kutanua wigo wa mauzo na kufikia wateja wapya.

Happy New Year 2026πŸŽ‰πŸŽŠπŸ”₯  Inawatakiwa Heri ya Mwaka Mpya Watanzania Wote, Africa na Dunia kwa Ujumla. Mwaka huu ukawe wa b...
01/01/2026

Happy New Year 2026πŸŽ‰πŸŽŠπŸ”₯

Inawatakiwa Heri ya Mwaka Mpya Watanzania Wote, Africa na Dunia kwa Ujumla.

Mwaka huu ukawe wa baraka, biashara na mafanikio makubwa.

Ukawe chachu ya kujifunza ujuzi wa kidigitali kuchochea ukuaji na mauzo makubwa kwenye biashara.

04/12/2025
Biashara nyingi hazifeli kwa sababu hawajui kupost - zinafeli kwa sababu hawajui kutengeneza content zenye kuleta matoke...
04/12/2025

Biashara nyingi hazifeli kwa sababu hawajui kupost - zinafeli kwa sababu hawajui kutengeneza content zenye kuleta matokeo chanya...

Hapa tumekuwekea siri 6 za kutengeneza content zenye kuleta ufanisi na kuongeza mauzo ambazo biashara na makampuni mengi hawazijui.

Slide ➑️

Kwenye digital marketing ushindani sio kupost sana, ni kupost kwa akili na mfumo

Kila post/content unayotengeneza hakikisha inafanya mojawapo kati ya mambo haya:

πŸ‘‰ Inavutia audience husika.

πŸ‘‰ Inaelimisha kuhusu faida za bidhaa/huduma zenu.

πŸ‘‰ Inamsaidia mteja kufahamu alichokuwa hakifahamu kuhusu changamoto zake na namna ya kuzitaua.

πŸ‘‰ Inamgeuza msomaji kuwa mteja (convert)

Lakini biashara nyingi zinatengeneza post/content ambazo hazina direction, hazina psychology, hazina system hivyo hazileti matokeo.

Kufanya hivi ni kupoteza rasirimali na muda.
Jambo hili linazigharimu biashara nyingi na hawapati ukuaji (growth), hawaaminiki (trust) na hakuna mauzo mengi(sales)

Save hii πŸš€
Share na umtag mdau anayehangaika kutengeneza content za biashara yake au content zake binafsi.

Tufollow upate framework na system zinazoongeza growth bila kupoteza rasirimali na muda.
Wasiliana nasi πŸ“²0739113961 / 0765113961

23/09/2025

Biashara yako ni kubwa… lakini muonekano wake ukoje?

Kumbuka biashara bila graphics bora, ni k**a duka lisilokuwa na taa.

πŸ’‘ Swahili Marketing Agency tunakupa logos, posters, social media templates and management, company profile vitakavyo kusaidia kukuza brand yako na kuvutia zaidi wateja kwenye biashara yako.

Tunazingatia picha zenye uwezo wa kuleta mauzo, na sio picha zinazovutia au kupendeza macho ya wateja peke yake!

Content zinazoshawishi na kubadlisha likes na comments kuwa mauzo.

Ingawa wateja hupenda kuona ubunifu, ubora na usafi.

Sisi tunakuongezea logo kali, poster na company profile inayovutia + content zenye mvuto = wateja wengi zaidi!

Na hii ndiyo kazi yetu Swahili Marketing Agency πŸ’š

Shirikiana nasi leo tuanze kuibadilisha biashara yako!
Call & Whatsapp 0739 113 961

Unajua ni kwanini kupost mara kwa mara ( Consistency ) kwa mpangilio maalumu kunaongeza  ukuaji wa biashara au kampuni y...
23/09/2025

Unajua ni kwanini kupost mara kwa mara ( Consistency ) kwa mpangilio maalumu kunaongeza ukuaji wa biashara au kampuni yako, kutazamwa na kufatiliwa zaidi mitandaoni ?...

1. Algorithm Inapenda Consistency-
Mitandao ya kijamii k**a Facebook, Instagram na TikTok huwa inaonyesha zaidi post, Reels na story kutoka kwenye akaunti zinazo post mara kwa mara na kwa mpangilio maalumu.

2. Followers Wako Watajenga Mazoea-
Ukiwa unapost kwa mpangilio maalumu, wafuasi wako wa mtandaoni watazoea kuona maudhui yako.

Hii itawafanya wasiisahau brand yako kirahisi na itaongeza ushiriki wao kwenye likes, comments, saves na shares.

3. Inaongeza Uaminifu Kwenye Brand Yako-
Consistency huonyesha followers wako kuwa unajali, uko makini na unajua unachokifanya.

Wateja wanapoona una Consistency wanakuchukulia wewe k**a mtaalamu wa kweli na sio mtu wa kubahatisha.

4. Inaongeza Uhusiano wa Karibu na Wateja-
Kupost mara kwa mara kunakupa nafasi ya ziada ya kuwasiliana na wateja ( followers ) wako.

Utajibu maswali yao, na kutoa ushauri kwa kadri wanavyokuhitaji.

Na kadri wanavyokufahamu ndivyo wanavyozidi kukupenda au kuipenda brand yako na kuiamini.

5. Inaleta Matokeo ya Muda Mrefu-
Huenda matokeo usiyaone kwa haraka lakini amini hii ndio njia ya pekee kwa sababu kadri unavyoendelea unakuwa unajenga msingi imara wa kuonekana, kuaminika na hatimae kuongeza mauzo.

Kwa kifupi kabisa.

Kupost mara kwa mara kwa mpangilio maalumu =
Kuonekana Zaidi + Kuaminika + Kuongeza Mauzo.

🎯 Brands that stay visible win.
Swahili Marketing helps you shine online ✨️

Let's take your business to the next level
πŸ“±0739113961 // 0765113961





14/08/2025

Mitandao ya jamii haikutengenezwa kwa ajili ya kupoteza muda hapana, imetengenezwa kwa ajili ya kuwasiliana, kushirikiana na kutengeneza PESA.

Lakini swali ni moja tu...

UNAITUMIAJE?

πŸ“Œ Unapost tu kila kitu bila mpangilio maalumu?

πŸ“Œ Unapoteza muda mwingi uki-scroll bila faida yoyote?

πŸ“Œ Au unaitumia kuongeza wateja na mauzo yako bila kuwalazimisha wateja?

πŸ‘‰NBπŸ‘‰ K**a huwezi kuelezea ni jinsi gani mitandao inaweza kukuza na kuongeza mauzo kwenye biashara yako.

πŸ’ͺBasi haujui kitu unachopaswa kufanya.

βœ…οΈ Tutakufundisha jinsi ya kutumia mitandao KUJITANGAZA na KUUZA kwa lugha ya wateja wako kuendana na aina ya biashara au kampuni yako.

Karibu Swahili Marketing Agency.
Kazi yetu ni kubadili likes kuwa deals na followers kuwa wateja.

K**a unataka kuongeza mauzo kwenye biashara yako kwa kutumia mitandao ya jamii comment neno
" NATAKA KUJIFUNZA "

Haijalishi wewe ni mjasiriamali, mfanyabiashara au kampuni yenye brand tayari.
Hapa ndipo mahali pazuri pa kuanzia na kupata matokeo.


Address

Ilazo
Dodoma
163

Opening Hours

Monday 07:45 - 19:00
Tuesday 07:45 - 19:00
Wednesday 07:45 - 19:00
Thursday 07:45 - 19:00
Friday 07:45 - 19:00
Saturday 02:00 - 17:00
Sunday 10:00 - 16:00

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Swahili Marketing Agency posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share