Mataa Shop

Mataa  Shop Karibu kwa mahitaji ya taa za sola kwa ulinzi wa nje, garden , kuta za fensi, na kwenye sites mbalimbali. Tunapatikana Nyarugusu, Geita. Affiliate Marketer

Hizi ni taa za solar na sio umeme, zinapatikana kwetu    Nyarugusu Geita, Piga simu no 0764309806
20/03/2026

Hizi ni taa za solar na sio umeme, zinapatikana kwetu Nyarugusu Geita,
Piga simu no 0764309806

Unatumia nini umeme ukikatika!?
19/03/2026

Unatumia nini umeme ukikatika!?

Jipatie taa za sola imara kwa mwanga bora.Taa hizi haziingii maji ,ni water proof,Zina sensor, unaweza kuiset iwake mwan...
19/03/2026

Jipatie taa za sola imara kwa mwanga bora.

Taa hizi haziingii maji ,ni water proof,

Zina sensor, unaweza kuiset iwake mwanga mkali au mwanga wa kawaida na kuongeza mwanga inapo sense mtu.

Bei kuanzia elfu 95,000 kulingana na uwezo wa taa utakayo hitaji.

Tunapatikana Nyarugusu Geita. Mawasiliano 0764309806

18/03/2026

Ondoa hofu ya kukatika kwa umeme na taa za sola .
Watts 300.

18/03/2026
Unapata shida ya kukatika kwa umeme na kukwamisha shughuli katika site yako!?Jipatie taa za sola zinazowaka masaa zaidi ...
18/03/2026

Unapata shida ya kukatika kwa umeme na kukwamisha shughuli katika site yako!?

Jipatie taa za sola zinazowaka masaa zaidi ya 10 bila kuisha nguvu

Taa hizi zina jiwasha zenyewe muda wa giza na kujizima kunapo pambazuka

Zina kua na panel ya sola upande wa juu na upande wa chini ni taa na zina remote yake

Zina sensor ya kuifanya iiongeze mwanga mara tu baada ya ku sense movement ya mtu.

Taa zetu ni water proof haziharibiki kwa maji wala vumbi

Zinapatikana kwa bei tofauti kulingana na uwezo wa taa yani Watts

Tunapatikana Nyarugusu Geita tupigie kwa namba 0764309806

Address

Geita

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Mataa Shop posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share