Kaka Wanted Printing

  • Home
  • Kaka Wanted Printing

Kaka Wanted Printing Contact information, map and directions, contact form, opening hours, services, ratings, photos, videos and announcements from Kaka Wanted Printing, Printing Service, .

29/04/2026

𝗔𝗡𝗭𝗔 𝗕𝗜𝗔𝗦𝗛𝗔𝗥𝗔 𝗞𝗪𝗔 𝗠𝗧𝗔𝗝𝗜 𝗪𝗔 𝟰𝟬𝟬,𝟬𝟬𝟬 𝗧𝗨✅

Je, unatafuta ujuzi unaoweza kukuingizia kipato kila siku?
Jifunze Screen Printing na uwe mtaalamu wa kuprint: 👕 T-Shirts
👜 Mifuko
📦 Vifungashio
na bidhaa nyingine nyingi za kibiashara

📌 Mafunzo ni ya vitendo (practical) kuanzia mwanzo hadi Uwe mtaalamu

Utajifunza:
✅ Kutengeneza na kuandaa screen (frame)
✅ Mchanganyiko sahihi wa rangi
✅ Printing safi na yenye ubora
✅ Mbinu za bei na kupata wateja
✅ Jinsi ya kuanzisha biashara yako mwenyewe

💰 Cha kuvutia zaidi👇
🚀 Unaweza kuanza hii biashara kwa mtaji wa Tsh 400,000 tu!
Hakuna mashine ghali, hakuna uzoefu wa awali unaohitajika.

🎓 Aina za Mafunzo na Gharama:
🔹 Ana kwa Ana: Tsh 200,000/=
🔹 Online: Tsh 100,000/=

👥 Mafunzo yanafaa kwa:
✔ Vijana wanaotafuta ajira mbadala
✔ Wanaotaka kujiajiri
✔ Wamiliki wa biashara ndogo
✔ Mtu yeyote mwenye ndoto ya kipato cha uhakika

Usiache ndoto yako ibaki ndoto — geuza kuwa biashara!

📲 Wasiliana nasi sasa 0656781501 kwa usajili na maelezo zaidi. Nafasi ni chache!

Unahitaji Tshirt ikiyoprintiwa maneno yoyote yale? Sisi ndio Mabingwa. Wasiliana nasi 0656781501
26/03/2026

Unahitaji Tshirt ikiyoprintiwa maneno yoyote yale? Sisi ndio Mabingwa. Wasiliana nasi 0656781501

Yes.. We print😊Wasiliana nasi 0656781501 kuweka oda yako
25/03/2026

Yes.. We print😊

Wasiliana nasi 0656781501 kuweka oda yako

Karibu Tukufanyie Kazi Yenye Ubora Wa Hali Ya Juu kutoka Kwetu..Tunapatikana Mecco Mwanza.. Wasiliana nami 0656781501
24/03/2026

Karibu Tukufanyie Kazi Yenye Ubora Wa Hali Ya Juu kutoka Kwetu..

Tunapatikana Mecco Mwanza.. Wasiliana nami 0656781501

19/03/2026

Watoto Wadogo msipige kelele Nyumba ya Mungu😀

Unapenda Rangi gani Ya Tshirt?Tuna rangi zote na ubora wa hali zote.Tshirt zetu printed zipo kwa bei ya 10000, 15000 na ...
19/03/2026

Unapenda Rangi gani Ya Tshirt?

Tuna rangi zote na ubora wa hali zote.

Tshirt zetu printed zipo kwa bei ya 10000, 15000 na 25,000

Tunapatikana Mecco Mwanza

Tunafanya Delivery Nchi nzima.

Wasiliana nami 0656781501

Unahitaji Kupendeza Ukiwa Umevaa Tshirt Design Hii?Basi wasiliana nami 0656781501 ujipatie Kwa Bei Ya Jumla Na Rejareja
19/03/2026

Unahitaji Kupendeza Ukiwa Umevaa Tshirt Design Hii?

Basi wasiliana nami 0656781501 ujipatie Kwa Bei Ya Jumla Na Rejareja

19/03/2026

Kuwa Mkweli Tu... Ushawahi Tembelea Mbuga ipi Mpaka sasa?

Je, Biashara Yako Inahitaji kufikia wateja wengi Zaidi?Je, unajua kwamba mifuko au vifungashio vilivyochapishwa nembo (l...
13/11/2025

Je, Biashara Yako Inahitaji kufikia wateja wengi Zaidi?

Je, unajua kwamba mifuko au vifungashio vilivyochapishwa nembo (logo) ya biashara yako vinaweza kuongeza thamani ya bidhaa zako na kukusaidia kujitangaza zaidi?

Jipatie mifuko imara na yenye ubora wa hali ya juu, iliyochapishwa kitaalamu kwa kutumia teknolojia ya kisasa, ili bidhaa zako zionekane za kipekee na zenye mvuto.

D-CUT
A6 (pcs 100)-Tsh 35,000
A5 (pcs 100) - Tsh 40,000
A4 (pcs 100) - Tsh 50,000
A3 (pcs 100) - Tsh 60,000
A2 (pcs 100) - Tsh 80,000

LOOP HAND
A4(PCS 100)- Tsh 60,000
A3 (Pcs 100)- Tsh 70,000
A2 (Pcs 100)- Tsh 100,000

Mifuko hii inapatikana tayari ikiwa imechapishwa, hivyo utaichukua na kuanza kuitumia mara moja.

Usichelewe!

Wasiliana nasi kupitia WhatsApp 0656781501 kuweka oda yako.

Tupo Mkolani Darajani Mwanza.
Delivery mikoani Tunafanya na atakayechukua mifuko pcs zaidi ya 500 atafanyiwa Delivery Bure hadi alipo

Fanya biashara yako itambulike sasa!

We Print.Mifuko A4 ikiwa 100 Tsh 50,000Wasiliana nasi whatsapp 0656781501Tupo Mwanza Mkolani
11/11/2025

We Print.

Mifuko A4 ikiwa 100 Tsh 50,000

Wasiliana nasi whatsapp 0656781501
Tupo Mwanza Mkolani

Address


Opening Hours

Monday 08:00 - 19:00
Tuesday 08:00 - 19:00
Wednesday 08:00 - 19:00
Thursday 08:00 - 19:00
Friday 08:00 - 19:00
Saturday 08:00 - 19:00

Telephone

+255656781501

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Kaka Wanted Printing posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Contact The Business

Send a message to Kaka Wanted Printing:

  • Want your business to be the top-listed Advertising & Marketing Company?

Share