Chosen1 Company

Chosen1 Company Salah first, everything else later
β€’ Deen over dunya
β€’ Striving for Jannah πŸŒ™

MICHEZONI LEO! πŸ”₯⚽ NBC PREMIER LEAGUE – MZUNGUKO WA 5🟑 FOUNTAIN GATE FC πŸ†š YANGA SC πŸŸ’πŸ“… Leo, Jumatatu 31 Agosti 2026⏰ Saa 1...
31/08/2026

MICHEZONI LEO! πŸ”₯

⚽ NBC PREMIER LEAGUE – MZUNGUKO WA 5

🟑 FOUNTAIN GATE FC πŸ†š YANGA SC 🟒
πŸ“… Leo, Jumatatu 31 Agosti 2026
⏰ Saa 10:00 Jioni
🏟️ Uwanja wa Sheikh Amri Abeid – Arusha

Wananchi wanaingia dimbani wakiwa na lengo moja β€” USHINDI! πŸ†Pamba Jiji nao hawaji kutembea… wanakuja kupambana mpaka dak...
28/08/2026

Wananchi wanaingia dimbani wakiwa na lengo moja β€” USHINDI! πŸ†
Pamba Jiji nao hawaji kutembea… wanakuja kupambana mpaka dakika ya mwisho! πŸ‘Š

πŸŽ™οΈ SWALI LA LEO:
πŸ‘‰ Je, Yanga wataendeleza ubabe?
πŸ‘‰ Au Pamba Jiji wataandika historia?

πŸ† MASHAUJAA πŸ†š KAGARAπŸ’₯ Dakika 90 za burudani, ushindani na kusisimua!
27/08/2026

πŸ† MASHAUJAA πŸ†š KAGARA
πŸ’₯ Dakika 90 za burudani, ushindani na kusisimua!

⚽ SIKU YA MECHI!Macho yote yanaelekezwa uwanjani! πŸ‘ŠπŸΎπŸ¦ SIMBA SC πŸ†š 🌊 COASTAL UNIONDakika 90 za presha, ushindani na buruda...
27/08/2026

⚽ SIKU YA MECHI!

Macho yote yanaelekezwa uwanjani! πŸ‘ŠπŸΎ
🦁 SIMBA SC πŸ†š 🌊 COASTAL UNION

Dakika 90 za presha, ushindani na burudani ya soka! πŸ”₯
Ni nani ataibuka na ushindi? πŸ†

Kijiweni  leo wazee wa kijiwe cha kahawa moto na mastory ya mjini πŸŸοΈβš½οΈβš½οΈπŸ˜‚
25/08/2026

Kijiweni leo wazee wa kijiwe cha kahawa moto na mastory ya mjini πŸŸοΈβš½οΈβš½οΈπŸ˜‚

Michezoni wazee wa daiama mbele nyuma mwiko  ...hawataki mchezo kwenye mchezo 🏟️
24/08/2026

Michezoni wazee wa daiama mbele nyuma mwiko ...hawataki mchezo kwenye mchezo 🏟️

Mchezoni leo wana koma kumwanya na wazee wa  mawese , Yaniii mbeya city na mashujaa  / ni kati mamba na kiboko nani kibo...
23/08/2026

Mchezoni leo wana koma kumwanya na wazee wa mawese , Yaniii mbeya city na mashujaa / ni kati mamba na kiboko nani kiboko leoooo⚽️

Kijiweni    wazee wa mastory  wanayao  ya  kifundi πŸ˜‚πŸ˜‚ ila walisikika wakisema ila soka   mpira
23/08/2026

Kijiweni wazee wa mastory wanayao ya kifundi πŸ˜‚πŸ˜‚ ila walisikika wakisema ila soka mpira

Kunazid  kuchangamka nani ni nani bado  kila kona  ni  ni moto na focus kwenye mbungi
22/08/2026

Kunazid kuchangamka nani ni nani bado kila kona ni ni moto na focus kwenye mbungi

Michezoni leo   Geita gold kagera sugar  hali ni?? vipi nani atanyanyua mikono  yote miwili juu kushangilia ushindiii   ...
22/08/2026

Michezoni leo Geita gold kagera sugar hali ni?? vipi nani atanyanyua mikono yote miwili juu kushangilia ushindiii mpira

Address

2305
Kibaha
2305

Telephone

0719006043

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when Chosen1 Company posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share