DC Magoti Updates

DC Magoti Updates Hii ni page ambayo inatoa habari na shughuli za serikali ya wilaya ya kisarawe TUFATILIE ZAIDI KWENYE YOU-TUBE https://www.youtube.com/

KISARAWE INAONGOZA  KWA KUWASAIDIA WAZEE PWANI -DC MAGOTIKISARAWE.Mkuu wa Wilaya Kisarawe Mhe Petro Magoti amemwambia Mk...
06/10/2026

KISARAWE INAONGOZA KWA KUWASAIDIA WAZEE PWANI -DC MAGOTI

KISARAWE.
Mkuu wa Wilaya Kisarawe Mhe Petro Magoti amemwambia Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe Stanslaus Nyongo kuwa wilaya Kisarawe ina utaratibu wa kuwajali, kuwasikiliza na kuwapa vipaumbele wazee k**a utaratibu wa sera ya Taifa 06/10/2026.

Akizungumza hayo wakati wa Madhimisho ya siku ya wazee Mkoa wa Pwani mwaka 2026 yaliofanyika katika ngazi ya Mkoa ambapo alisisitiza jamii kuwalinda na kuwajali wazee,

"Binafsi nafuraha sana kuona wazazi na wazee katika ukuaji wa Hali Nzuri katika kuwapatia wazee afya,ulinzi na Ustawi wa jamii" alisisitiza Mhe Magoti

Aidha katika sherehe hiyo iliyohudhuriwa na Mkuu wa Mkoa Pwani ,Mbunge wa Jimbo la Kisarawe, Mkurugenzi mtendaji Halmashauri ya Wilaya Kisarawe, Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya Kisarawe,

Katika Madhimisho ya mwaka huu 2026 Kauli mbiu ni "Zama za Maisha Marefu: Tuboreshe Huduma kwa Wazee" ambapo Mkuu wa Mkoa amesisitiza kwa Wazee wapewe vipaumbele Bora na stahiki kwa jamii. Petro Magoti Ofisi ya Rais - TamisemiTBConline

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Stanslaus Nyongo, ameteembelea na Kukagua ujenzi wa kituo kipya cha Polisi cha Wilaya  ikiwa ...
06/10/2026

Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Stanslaus Nyongo, ameteembelea na Kukagua ujenzi wa kituo kipya cha Polisi cha Wilaya ikiwa ni sehemu ya ziara yake ya kikazi wilaya ya Kisarawe. Polisi RockerOfisi ya Rais - TamisemiPetro Magoti

Wananchi wa Kata ya Msimbu kitongoji cha Homboza, Wilaya ya Kisarawe wamejitokeza kwa wingi leo katika mkutano wa kusiki...
06/10/2026

Wananchi wa Kata ya Msimbu kitongoji cha Homboza, Wilaya ya Kisarawe wamejitokeza kwa wingi leo katika mkutano wa kusikiliza na kutatua kero zao ulioongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe Stanslaus Nyongo.
Katika mkutano huo uliohudhuriwa pia na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Mhe. Petro Magoti, wananchi wameeleza kero mbalimbali ikiwemo:
Uhaba wa maji safi na salama,Ubovu wa miundombinu ya barabara,Changamoto ya huduma za afya na elimu,
Migogoro ya ardhi.
Akizungumza na wananchi, Mkuu wa Mkoa amesema Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan imedhamiria kuhakikisha kero zote za wananchi zinatatuliwa kwa wakati.

Kwa upande wake, DC Kisarawe Mhe. Petro Magoti ameahidi kufanyia kazi maelekezo yote ya Mkuu wa Mkoa na kuhakikisha Homboza inapata maendeleo ya haraka.
Wananchi wameishukuru Serikali kwa kuwasikiliza na kuahidi kuendelea kuiunga mkono.
Ofisi ya Rais - TamisemiPetro Magoti

Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani ndani ya Wilaya ya Kisarawe alipotembelea eneo la ujenzi wa chuo cha ufundi VETA       Pe...
06/10/2026

Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani ndani ya Wilaya ya Kisarawe alipotembelea eneo la ujenzi wa chuo cha ufundi VETA
Petro Magoti Ofisi ya Rais - Tamisemi BBC NewsIkulu Mawasiliano

Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Stanslaus Nyongo ndani ya Wilaya ya Kisarawe leo tarehe 06.10.2026 alipotembelea uje...
06/10/2026

Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Stanslaus Nyongo ndani ya Wilaya ya Kisarawe leo tarehe 06.10.2026 alipotembelea ujenzi wa kiwanja cha michezo kilichoko chini ya jeshi la wananchi Tanzania kisarawe.
Petro Magoti Ofisi ya Rais - Tamisemi TBConline

Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Stanslaus Nyongo ndani ya Wilaya ya Kisarawe leo tarehe 06.10.2026     Petro MagotiO...
06/10/2026

Ziara ya Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Stanslaus Nyongo ndani ya Wilaya ya Kisarawe leo tarehe 06.10.2026
Petro MagotiOfisi ya Rais - TamisemiTBConline

Karibu Kisarawe Mhe. Muu wa Mkoa wa Pwani Petro Magoti Ofisi ya Rais - Tamisemi Pwani, Tanzania
05/10/2026

Karibu Kisarawe Mhe. Muu wa Mkoa wa Pwani
Petro Magoti Ofisi ya Rais - Tamisemi Pwani, Tanzania

05/10/2026

Umoja na Mshik**ano kati ya serikali na wananchi DC Petro Magoti akiwa na wananchi wa kitongoji cha kola ゚viralシ

Petro Magoti Utalii Plus Tanzania Ofisi ya Rais - Tamisemi
05/10/2026

Petro Magoti Utalii Plus Tanzania Ofisi ya Rais - Tamisemi

Petro Magoti   Ofisi ya Rais - Tamisemi
05/10/2026

Petro Magoti Ofisi ya Rais - Tamisemi

Address

20003
Kisarawe

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when DC Magoti Updates posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share