H-Kib ICT Solution

H-Kib ICT Solution H-Kib ICT Solution β€” Tunaongoza mustakabali wa teknolojia.

Hatusaidii tu kutengeneza kompyuta, tunaunda mifumo bunifu na automation smart inayokufanyia kazi hata ukiwa mbali.

26/02/2026

Sometimes big results need bigger sacrifices.
Comfort can wait. The vision can’t. πŸš€

26/01/2026

When I trying to fix my error code πŸ˜‚πŸ˜‚

πŸš€πŸš€πŸš€
16/12/2025

πŸš€πŸš€πŸš€

14/11/2025

Arduino Smart Door System β€” opens or closes automatically when smoke is detected

From dead drives to digital life again  H-Kib Tech Lab, We Make It Happen πŸ’‘
09/11/2025

From dead drives to digital life again H-Kib Tech Lab, We Make It Happen πŸ’‘

13/10/2025

Innovation starts with smart ICT Solutions!

10/07/2025

Ni tatizo gani linakukwaza sana kwenye kompyuta yako?

πŸ’‘ Sababu 3 kwanini kompyuta yako inaweza kuwa slow:1. Programu nyingi zinazofunguka kwa wakati mmoja.2. Hard disk imejaa...
09/07/2025

πŸ’‘ Sababu 3 kwanini kompyuta yako inaweza kuwa slow:

1. Programu nyingi zinazofunguka kwa wakati mmoja.

2. Hard disk imejaa au ni ya zamani sana (HDD badala ya SSD).

3. Virusi na mfumo wa Windows kuwa outdated.

⏳ Endelea kutufuata kwa tips zaidi kila Siku!
πŸ’¬ Unaweza pia kuuliza swali lolote la ICT kwenye comment – nitakujibu bila malipo.

Karibu kwenye group jipya la kujifunza ICT kwa vitendo β€” bure kabisa!Unataka kujua:βœ… Jinsi ya kutengeneza CV kwa simuβœ… K...
08/07/2025

Karibu kwenye group jipya la kujifunza ICT kwa vitendo β€” bure kabisa!

Unataka kujua:
βœ… Jinsi ya kutengeneza CV kwa simu
βœ… Kutuma email ya kikazi
βœ… Kutumia Google Forms na Ms Office?
βœ… Matengenezo ya kompyuta (Hardware & Software)
βœ… Matumizi sahihi ya Kompyuta n.k

πŸ‘‰ Jiunge hapa: [https://chat.whatsapp.com/LEmy83U3ziqLatkoOcRdgG?mode=ac_c]

07/07/2025

Address

Mwanjelwa
Mbeya

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when H-Kib ICT Solution posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share

Category