BrayB News

BrayB News
⚽ Apdate Za Kimichezo
⚽Ndani Ya Nchi Na Nje Ya nchi

Wakati wewe unaweza A yeye tayar anakuwa amewaza A,B,C na mawazo yake ni kutumia D ...😀😀🙌PEDRI 🔥🔥Ukiachana na Pe*******o...
01/03/2026

Wakati wewe unaweza A yeye tayar anakuwa amewaza A,B,C na mawazo yake ni kutumia D ...😀😀🙌PEDRI 🔥🔥

Ukiachana na Pe*******on pasi kwenda kwa Lamine Yamal ambayo ilizaa Hattrick yake ya kwanza ...

Kuna Pe*******on nyingine aliichapa kwenda kwa Kounde ambayo ilizaa bao la BABU Lewa 🙌🔥

Zile Pasi ni Upeo wa Hali ya Juu sana tena sana mnoo unahitaji QI yako iwe smart kufanya vile ..

Mwaga Moto mwingi kwa Magician Pedri Gonzalez ...🔥🔥🙌🙌.

Tutasema nini sisi hatuna Kiungo k**a Sandro Tonali ...Sisi tunapata wap nguvu ya kuongea wakati hatuna mido k**a Joelin...
28/02/2026

Tutasema nini sisi hatuna Kiungo k**a Sandro Tonali ...

Sisi tunapata wap nguvu ya kuongea wakati hatuna mido k**a Joelinton ..

Kukaa kimya ndiyo njia sahihi maana tunaongea nn wakati hatuna winga k**a Antony Gordon wala Elanga 🤕🙌

Culers mnalakusema kweli !!? Watu wana Teka refu kuliko Goli tutasema nini sisi ..

Tumeambiwa na beki zetu unga unga tutaweza vipi kumfunga Newcastle ..😃😃tuseme nn sisi

Hatuna Beki K**a Tripier mbavu kupanda na kushuka 🤕🙌

Hapa tulipo tunasubir tu kufungwa nje ndani k**a mlivyosema ...na sisi tumekubali kuwa hatuna timu ya kumfunga Newcastle

KITU pekee kinachotupa imani au kitu pekee tunalinga nacho ni FC BARCELONA ..as long as Barcelona imesimama hakuna kinachoshindikana .

Visca Barca 💙❤🔥✍🏻⚽️.

Via.

Nianze kwa kuomba radhi kwa kuchelewa kuwapostia mapema ratiba ya mechi za leo🙏🚩RATIBA YA MICHEZO YA LEO VIWANJANI – JUM...
24/01/2026

Nianze kwa kuomba radhi kwa kuchelewa kuwapostia mapema ratiba ya mechi za leo🙏

🚩RATIBA YA MICHEZO YA LEO VIWANJANI – JUMAMOSI, JANUARI 24, 2026

🏴 15:30 – West Ham United 🆚 Sunderland
🇮🇹 17:00 – Como FC 🆚 Torino FC
🇩🇪 17:30 – Bayer Leverkusen 🆚 Werder Bremen
🇩🇪 17:30 – Bayern Munich 🆚 Augsburg
🇩🇪 17:30 – FC Heidenheim 🆚 RB Leipzig
🏴 18:00 – Fulham FC 🆚 Brighton
🏴 18:00 – Burnley FC 🆚 Tottenham Hotspur
🏴 18:00 – Manchester City 🆚 Wolverhampton
🇳🇱 18:30 – Ajax Amsterdam 🆚 FC Volendam
🏟 19:00 – Esperance de Tunis 🆚 Simba Sports Club
🇹🇷 20:00 – Karagümrük 🆚 Galatasaray FK
🇩🇪 20:30 – Union Berlin 🆚 Borussia Dortmund
🇪🇸 20:30 – Sevilla FC 🆚 Athletic Club
🏴 20:30 – Bournemouth 🆚 Liverpool FC
🇵🇹 21:00 – Arouca 🆚 Sporting CP
🇫🇷 21:00 – Le Havre 🆚 AS Monaco
🏟 22:00 – RS Berkane 🆚 Pyramids SC
🇳🇱 22:00 – PSV Eindhoven 🆚 NAC Breda
🇪🇸 23:00 – Villarreal CF 🆚 Real Madrid CF
🇫🇷 23:05 – Olympique Marseille 🆚 RC Lens

*--FOLLOW & LIKE--*

Address

Karasha
Mlowo

Website

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when BrayB News posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Shortcuts

Share