M+ Online

M+ Online The Official Page of Inclusive Ideas Like It the Enjoy Different!

Wengi wetu tumezaliwa katika familia Maskini,Tukapambana na Kufanikiwa na Wengine tunapambana Tufanikiwe... To a neno kw...
11/05/2020

Wengi wetu tumezaliwa katika familia Maskini,Tukapambana na Kufanikiwa na Wengine tunapambana Tufanikiwe... To a neno kwa Mtoto huyu..

SHARE & LIKE PAGE

HEBU PITIA HII KIDOGO"Sio kila Jaribu au Shida Unayopitia kwamba Itakuwa yenye kukuvunja Moyo na Kuharibu mwenendo wa Ma...
13/10/2019

HEBU PITIA HII KIDOGO
"Sio kila Jaribu au Shida Unayopitia kwamba Itakuwa yenye kukuvunja Moyo na Kuharibu mwenendo wa Maisha yako LA HASHA! Pengine ni Moja ya Kipimo cha Uvumilivu Ambacho kitapelekea Akili yako kufunguka zaidi kimaendeleo .... Usikate tamaa Uwepo wa Mungu U Juu yako Daima.

SHARE & LIKE PAGE

19/08/2019
30/07/2019

HAKIKA MUNGU YUPO!
Mpendwa Msomaji Tafadhali Tazama Picha Hizi kwa Umakini Utaelewa Kitu..... Mtoto Huyu alisumbuliwa na Magonjwa Takribani 9 Ikiwamo Pumu,Utapiamlo,Kifaduro,Circle cell na Mengine Mengi ... Wazazi wake walipambana Sana Kumtibia na Kuwashirikisha Viongozi wa Kidini kwaajiri ya Maombezi Hatimaye Hali Imekuwa Njema kwa Mtoto Wao.

Chukua Japo sekunde 1 Kusema AMEN kwa Tukio Hili Kisha Share ili na Wengine Waone Hii!
Tafadhali Endelea Kuwa Nasi.......

Edited By;
- Suzy Mike -
Magandula Online â„¢

LIKE PAGE & SHARE

Je Wajua Taarifa za Kuuzwa kwa BALE??Je SAMATA??Comment Namba yako ya WhatsApp Tukuunganishe kwenye Group letu la Sport ...
28/07/2019

Je Wajua Taarifa za Kuuzwa kwa BALE??
Je SAMATA??
Comment Namba yako ya WhatsApp Tukuunganishe kwenye Group letu la Sport Extra Bureeee!

LIKE PAGE

DHAMBI NININI??👉Dhambi ni Pale Unapoiba vya Wenzako Halafu Ukiibiwa Unaanza Kulaumu na Kuumia.👉Dhambi ni Pale Unapoambiw...
26/07/2019

DHAMBI NININI??
👉Dhambi ni Pale Unapoiba vya Wenzako Halafu Ukiibiwa Unaanza Kulaumu na Kuumia.
👉Dhambi ni Pale Unapoambiwa Usifanye Mapenzi Bila Kinga Unaamua Kufanya , Baadae Unapata VVU Unaanza Kujutia na Kujisemea Eti "Ningejua!".
👉Dhambi ni Pale Unapo karibishwa na Mwenzio chakula Ukala Mpaka Mwisho,Kama vile Huna Kwenu.
👉Dhambi ni Pale Unapoambiwa Usivute Sigara ni Hatari kwa Afya yako Ila kwa Ubishi Unaendelea Kuvuta.
👉Dhambi ni Pale Unapoenda Club za Usiku ukiwa Umevaa Kimini Halafu Mwanaume Akikuita Unasema "Ushindwe kwa Jina La Yesu"
👉Dhambi ni Pale Jirani yako Anashida na Tsh. 500 Umuazime akanunue Panadol kwaajiri ya Mwanae Unasema "Mimi Mwenyewe Mia Tano". Wakati Hapo Ulipo Umevaa Kiatu cha Laki 1 Jeans ya Elf 30 na Kibode cha Elfu 50.
👉Dhambi ni Pale Unapomuona Mwenye shida na Kushindwa kumsaidia Halafu Ukipata Tatizo Usaidiwe na Watu.
👉Dhambi ni Pale Unapomtongoza Msichana Halafu Akakutaa baadae Ukaanza Kumwambia "Kwanza Unasura mbaya" Wakati yeye mwenyewe kakukataa Kwasababu ya Sura yako mbaya.

JE UMEJIFUNZA KITU??
LIKE PAGE YETU UPATE MAMBO YA KIELIMU ZAIDI.

Address

Mpanda
Mpanda

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when M+ Online posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share