3Js Kitchen and Home Appliances

3Js Kitchen and Home Appliances Kwa mkazi wa Mwanza na jirani ambaye umechoka kununua vyombo vya jikoni vya sare sare sasa tumekuletea suluhisho la mahitaji yako ya kabati la vyombo.

Kipindi hiki tunahitaji sana kula machungwa na malimao kwa ajili ya kuongeza kinga za Mwili dhidi ya COVID-19. Usikamue ...
07/05/2020

Kipindi hiki tunahitaji sana kula machungwa na malimao kwa ajili ya kuongeza kinga za Mwili dhidi ya COVID-19. Usikamue machungwa kwa mkono, njoo upate kitu cha kukamua mchungwa na malimao upate juisi nyingi zaidi....inapatikana dukani kwetu

Tunakuhakikishia kwamba vyombo vyetu ni unique...hutapata kwingine kokote. Njoo dukani leo.
06/05/2020

Tunakuhakikishia kwamba vyombo vyetu ni unique...hutapata kwingine kokote. Njoo dukani leo.

Kwa wale mnaopenda vyombo vizuri na havifanani na vya wengine...pendezesha kabati lako na meza yako ya chakula...
06/05/2020

Kwa wale mnaopenda vyombo vizuri na havifanani na vya wengine...pendezesha kabati lako na meza yako ya chakula...

Mali mpya na kali sana sasa zinapatikana dukani hapa Ghana.
06/05/2020

Mali mpya na kali sana sasa zinapatikana dukani hapa Ghana.

Quality is our first priority
17/06/2017

Quality is our first priority

Kwa nini uhangaike wakati vitu vizuri vyote vipo kwetu? Njoo dukani ujionee mwenyewe. Piga simu yetu na tutakufikishia p...
01/05/2017

Kwa nini uhangaike wakati vitu vizuri vyote vipo kwetu? Njoo dukani ujionee mwenyewe. Piga simu yetu na tutakufikishia popote ulipo. Kila unachokiona kwenye picha KIPO!!

Vitu vikali bado vipo. Karibu 3Js
01/05/2017

Vitu vikali bado vipo. Karibu 3Js

27/04/2017
K**a wewe huwa unapenda kunywa chai asubuhi wakati unawahi kazini basi hii inakufaa. Hili jug linachemsha maji ya chai k...
27/04/2017

K**a wewe huwa unapenda kunywa chai asubuhi wakati unawahi kazini basi hii inakufaa. Hili jug linachemsha maji ya chai kwa kutumia umeme wa gari yako. Weka maji ya baridi kwenye kikombe kichomeke kikombe kwenye sehemu ya sigara ya gari yako then maji yatachemka. Hii pia inapatikana dukani kwetu. Karibu sana.

Vyombo vya ukweli vimewasili. Njoo dukani leo ujipatie vyombo kwa  mahitaji yako.
27/04/2017

Vyombo vya ukweli vimewasili. Njoo dukani leo ujipatie vyombo kwa mahitaji yako.

Vijiko maridhawa...
05/04/2017

Vijiko maridhawa...

Address

Greeview, Ghana Street
Mwamza

Alerts

Be the first to know and let us send you an email when 3Js Kitchen and Home Appliances posts news and promotions. Your email address will not be used for any other purpose, and you can unsubscribe at any time.

Share